04/12/2025
Klinki ya Masikio, Pua na Koo ya Hans Mgaya Hospital ina jukumu la kufanya uchuguzi, kutibu na kudhibiti matiatizo ya sikio, pua, koo, kichwa na shingo kwa watoto na watu wazima.
Huduma za Kilinki hii zinalenga kuimarisha Afya yako ikiwa ni pamoja na uchunguza na kutibu: Kuziba masikio na kupungua usikivu ‘Hearing abnormalities’, Kutokwa uchafu na kujaa Nta masiko masikioni - ear discharge and excessive wax; Maumivu ya kichwa na usoni; Kutoka damu puani; Kuvimba na kuota nyama kwenye koo na pua, magonjwa mengine ya Allergy na mengineyo mengi.
Karibu matibabu na uchunguzi kutoka kwa Daktari Bingwa – ‘ENT Specialist’
Kwa uchunguzi na matibabu, Karibu H.M Hospital au wasiliana nasi kwa namba 0748053303 kwa maelezo zaidi!
pua
healthythroat
gooddoctor
hansmgayahospital