Pona Health

Pona Health Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pona Health, Health & Wellness Website, Dar es Salaam.

Ni heshima kubwa kwa  pona health kupata nafasi ya kuhudhuria
24/08/2025

Ni heshima kubwa kwa pona health kupata nafasi ya kuhudhuria

Yesterday, we were proud to be part of the CRDB International Marathon, where we offered free health screenings — includ...
18/08/2025

Yesterday, we were proud to be part of the CRDB International Marathon, where we offered free health screenings — including blood pressure and body weight checks — along with health education for the runners. Our goal is to ensure everyone stays healthy and strong.


Furaha ya familia ni uhakika ukiwa na App ya Pona health.😍Pakua app yako sasa, Ongea na Daktari kupata ushauri wa kiafya...
18/08/2025

Furaha ya familia ni uhakika ukiwa na App ya Pona health.😍

Pakua app yako sasa, Ongea na Daktari kupata ushauri wa kiafya, linda afya ya uwapendao ukiwa mbali nao.

Playstore; Pona health.
Appstore; Pona health App

Nani kati yetu anapenda kusubirishwa? Hakuna.🤔🫠Kuanzia sasa Pona health, inakuondolea kero ya kusubiri foleni ya kumwona...
15/08/2025

Nani kati yetu anapenda kusubirishwa? Hakuna.🤔🫠

Kuanzia sasa Pona health, inakuondolea kero ya kusubiri foleni ya kumwona Daktari Hospitalini.

Pakua App yako sasa, uweze kuongea na Daktari ukiwa mahali popote, muda wowote.

Playstore; Pona health.
Appstore; Pona health App.

Hakuna haja ya kuwa na wasi wasi unapokutana na changamoto ya kiafya, Muulize Daktari.Pakua App ya Pona health sasa, kuw...
14/08/2025

Hakuna haja ya kuwa na wasi wasi unapokutana na changamoto ya kiafya, Muulize Daktari.

Pakua App ya Pona health sasa, kuwasiliana na Daktari mahali popote, wakati wowote.

Playstore; Pona health.
Appstore; Pona health App.

Usikubali kubaki nyuma, saizi ni mwendo wa kidigitali.💁🏿😄Ukiwa na App ya Pona health wasiliana na Daktari mahali popote,...
13/08/2025

Usikubali kubaki nyuma, saizi ni mwendo wa kidigitali.💁🏿😄

Ukiwa na App ya Pona health wasiliana na Daktari mahali popote, muda wowote.

Hakuna haja ya kutembea umbali mrefu kupata ushauri wa Daktari, Pumzisha miguu yako, relax.Kupitia App ya Pona Health, w...
11/08/2025

Hakuna haja ya kutembea umbali mrefu kupata ushauri wa Daktari, Pumzisha miguu yako, relax.

Kupitia App ya Pona Health, wasiliana na Daktari kwa njia ya simu yako ya mkononi.

Play-store & Appstore (Pona health.)

Usijitibie nyumbani pasipo ushauri wa Daktari.‼️‼️Ukiwa nyumbani wasiliana na Daktari kupitia simu yako ya mkononi kwa u...
09/08/2025

Usijitibie nyumbani pasipo ushauri wa Daktari.‼️‼️

Ukiwa nyumbani wasiliana na Daktari kupitia simu yako ya mkononi kwa ushauri zaidi.

Pakua App ya Pona health (playstore & Appstore).
Au Gusa link kwenye Bio.

Foleni inakera sana, hasa ukiwa na jambo la haraka la kuongea na Daktari.Kuanzia sasa ni rahisi pakua app ya Pona health...
08/08/2025

Foleni inakera sana, hasa ukiwa na jambo la haraka la kuongea na Daktari.

Kuanzia sasa ni rahisi pakua app ya Pona health, kuepuka foleni Mahospitalini.

Pona health App (playstore & appstore).
(Gusa link kwenye Bio).

Hakuna haja ya kupanic, Daktari unaweza kumpata kupitia simu yako mkononi na kutatua changamoto zako.Pakua App ya Pona h...
07/08/2025

Hakuna haja ya kupanic, Daktari unaweza kumpata kupitia simu yako mkononi na kutatua changamoto zako.

Pakua App ya Pona health sasa. (Playstore & Appstore). Gusa link kwenye Bio kupakua App yako.

Ni rahisi sana, Ukiwa na simu tu unaweza kupata ushauri kutoka kwa daktari moja kwa moja.Pakua App ya Pona health sasa (...
06/08/2025

Ni rahisi sana, Ukiwa na simu tu unaweza kupata ushauri kutoka kwa daktari moja kwa moja.

Pakua App ya Pona health sasa (Playstores & Appstore).

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pona Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram