30/11/2025
Huu ni ushuhuda wa matumaini, si tu kwa familia ya Ndugu Hassan, bali kwa jamii nzima. Kupitia gharama nafuu, vifaa vya kisasa, na umahiri wa madaktari wetu, ameweza kurejeshewa uwezo wa kuwaona wapendwa wake, kusoma, na kuendelea na shughuli zake za kilimo kwa uthabiti mpya.
Karibu KSI Charitable Eye Centre β mahali ambapo nuru ya kuona inaanza upya.