23/09/2025
🍎🍎 *JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI?*
+255676737155
Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao.
Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.
🍎🍎 *VYANZO VYA SUMU MWILINI*
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana:
🍏MCHAFUKO WA HALI YA HEWA MFANO. VIWANDA NA MAGARI
🍏MATUMIZI YA DAWA ZA HOSPITALI KWA MUDA MREFU
🍏MATUMIZI YA POMBE NA TUMBAKU
🍏UCHAFUZI WA VYANZO VYA MAJI TUNAYOYATUMIA MARA KWA MARA
🍏UKOSEFU WA LISHE BORA
🍏MATUMIZI MAKUBWA YA VYAKULA VYA KISASA
🍏Uzito mkubwa
🍏Njia za uzazi wa mpango za kisasa
🥭🥭 *DALILI ZA KUWA SUMU MWILINI*
🍎 Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele n.k
🍎 Kuwa na uzito wa kupindukia
🍎 Kutopata choo au kupata choo kigumu
🍎 Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
🍎 Kichwa kuuma kila mara (Dalili maarufu)
🍎 Kupata miwasho sehemu mbali mbali za mwili/ mcharuko
🍎 Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
🍎 Kuwa na hasira mara kwa mara.
🍎Tumbo kujaa gesi nk
🍎ALLERGY YA VYAKULA AU HALI FULANI MWILINI
🥭🥭 *MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU*
🍎Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🍅Kupata maambukizi ya figo
🍎Kupata maambukizi ya Ini
🍎Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
🍎Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
🍎Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
🍎Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
🍎Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.nk.
🍏🍏 *SULUHISHO LA KUDUMU*
*📌Kwa watu wenye changamoto hizo tumewaandalia PROGRAM YA tibalishe / virutubisho muhimu ili kuondokana na matatizo hayo.*
🌶🌶 *FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI* .
🍏Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.
🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.
🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke
🍏Huweka hedhi sawa na kuondoa maumivu wakati wa hedhi.
🍏Husaidia kuongeza virutubisho na kuupa Mwili afya na kulainisha Ngozi na kuifanya Ngozi kuwa ng'avu na laini.
🍏Huondoa uchovu Na kuupa nguvu.
🍏Huondoa sumu zote mwilini
🍏Inaimarisha ubongo na kutunza kumbu kumbu
🍏Inaondoa madhara ya pombe na kulinda ini na figo
🍏Inaondoa mafuta yaliyo zidi mwilini
🍏Inazuia kuota kitambi baada ya kuitumia
🍏Inaondoa sukari iliyo zidi mwilini
🍏Ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu(presha)
+255757046981
+255676737155
TUPIGIE TUKUSAIDIE.