ZEDD Pharmacy

ZEDD Pharmacy IMMORTALIZING HEALTH. Pharmaceuticals | Medical Tourism | Supply Chain | Medical Equipments

TAARIFA KWA WATEJA WETU WAPENDWA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟJumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, matawi yote ya ZEDD Pharmacy hayatakuwa wazi kwa mud...
28/10/2025

TAARIFA KWA WATEJA WETU WAPENDWA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, matawi yote ya ZEDD Pharmacy hayatakuwa wazi kwa muda wa siku moja, ili kutoa nafasi kwa wafanyakazi wetu kushiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura ๐Ÿ—ณ๏ธ.

Tutarejea na kuendelea na huduma zetu k**a kawaida Alhamisi, tarehe 30 Oktoba 2025.

Asanteni kwa uelewa wenu na kwa kuendelea kuichagua ZEDD Pharmacy๐Ÿ’™

27/10/2025

DOVE SCRUB ZINAPATIKANA ZEDD PHARMACY; SINZA, SGR DAR & DODOMA.

๐Ÿ’ฐBei; 35,000/=
โ˜บ๏ธ

24/10/2025

GOLD SKIN BODY OIL GEL
๐Ÿ’ฐBei; 50,000/=
๐Ÿ“Sinza, SGR Dar & Dodoma
๐Ÿ“žDar - 0679960669 & Dodoma - 0772852263

23/10/2025

Retinol haitakiwi kutumiwa na mama mjamzito au anayenyonyesha kwa sababu inaweza kuathiri ukuaji wa mtoto tumboni ๐ŸคฐโŒ.
Badala yake, chagua bidhaa zenye Niacinamide, Hyaluronic Acid au Vitamin C hizi ni salama, husaidia ngozi kungโ€™aa, kuwa na unyevu na kubaki na afya bila madhara ๐Ÿ’งโœจ.

Kumbuka: Urembo ni muhimu, lakini afya ni kipaumbele ๐Ÿ’•
Tembelea ZEDD Pharmacy;Sinza, SGR Dar & Dodoma upate ushauri na bidhaa sahihi kwa ngozi yako.

๐ŸŒพ Rice Water Face Wash โ€“ huondoa uchafu na mafuta bila kukausha, huku ikisaidia ngozi kuwa laini na kungโ€™aa kwa asili.๐ŸŠ ...
22/10/2025

๐ŸŒพ Rice Water Face Wash โ€“ huondoa uchafu na mafuta bila kukausha, huku ikisaidia ngozi kuwa laini na kungโ€™aa kwa asili.

๐ŸŠ Vitamin C Face Wash โ€“ hufufua ngozi iliyochoka, hupunguza weusi na kuipa uso wako mwangaza unaongโ€™aa kila siku! ๐ŸŒž

๐Ÿ’ฐ Bei: 25,000/=
๐Ÿ‘‰ Zinapatikana ZEDD Pharmacy; Sinza, SGR Dar & Dodoma.

22/10/2025

Hizi ni serum ambazo zitasaidia ngozi yako ya uso ionekane yenye afya, angavu na laini. Zote zinapatikana ZEDD Pharmacy: Sinza, SGR Dar es Salaam, na Dodoma.

Huyu ni mteja wetu ambaye alifika ZEDD Pharmacy wiki 2 zilizopita kutafuta suluhisho la tatizo la ngozi (VERRUCA PLANA)....
22/10/2025

Huyu ni mteja wetu ambaye alifika ZEDD Pharmacy wiki 2 zilizopita kutafuta suluhisho la tatizo la ngozi (VERRUCA PLANA). Leo anarudi kushuhudia matokeo mazuri aliyoyapata baada ya kutumia bidhaa tulizomshauri ๐Ÿ‘โœจ

K**a na wewe unasumbuliwa na magonjwa ya ngozi, madoa, au tatizo lolote la ngozi, usipoteze muda
๐Ÿ‘‰ fika ZEDD Pharmacy โ€“ Sinza, SGR Dar & Dodoma
upate ushauri wa kitaalamu na bidhaa bora kabisa

22/10/2025

Bado tunaendelea kuhimiza umuhimu wa kutumia sunscreen, kwani miale ya jua huharibu ngozi na hupunguza nguvu ya products unazotumia kufanya kazi ipasavyo.

Hizi hapa sunscreen bora kutoka APLB, zinazolinda ngozi yako dhidi ya jua huku zikiipa unyevunyevu na mng'ao wa asili ๐ŸŒฟ๐Ÿ’ง

๐Ÿ“ Zinapatikana ZEDD Pharmacy โ€“ Sinza, SGR Dar & Dodoma
๐Ÿšš Free delivery kwa order kuanzia 50,000!

ANTI-AGING MASKUnatafuta njia ya kuboost collagen na kufanya ngozi yako ionekane ya ujana, laini, na isiyozeeka? Hii ndi...
21/10/2025

ANTI-AGING MASK
Unatafuta njia ya kuboost collagen na kufanya ngozi yako ionekane ya ujana, laini, na isiyozeeka? Hii ndio bidhaa sahihi kwa ajili yako! ๐Ÿ’†โ€โ™€๏ธ
โœ… Inatumika usiku tu kwa matokeo bora.
๐Ÿ’ฐ Bei: Tsh 85,000/=
๐Ÿ“ ZEDD Pharmacy: Sinza, SGR Dar & Dodoma

21/10/2025

Fix Derma Shadow Sun Screen - 40,000/=
Aloe Soothing Sun Cream - 36,000/=
Zote ni SPF 50+
Zinapatikana; Sinza, SGR Dar & Dodoma

Medicube Glutathione Glow Serum ni siri ya ngozi safi, yenye kukupa mng'ao wa asili na rangi ya usawa(even skin).Husaidi...
21/10/2025

Medicube Glutathione Glow Serum ni siri ya ngozi safi, yenye kukupa mng'ao wa asili na rangi ya usawa(even skin).
Husaidia:
๐ŸŒŸ Kupunguza weusi na kuleta mng'ao wa asili (glowing effect)
๐Ÿ’ง Kurejesha unyevunyevu na kufanya ngozi kuwa soft & smooth
๐Ÿงด Kupunguza alama za uchovu (lines) na kufanya ngozi ionekane fresh muda wote

๐Ÿ“ Zinapatikana ZEDD Pharmacy โ€“ Sinza, SGR Dar & Dodoma

COSRX SERUM & MOISTURIZER.Hii ni kwa ajili ya watu ambae ngozi zao za uso ni kavu sana, rangi haijabalance na haina muon...
20/10/2025

COSRX SERUM & MOISTURIZER.
Hii ni kwa ajili ya watu ambae ngozi zao za uso ni kavu sana, rangi haijabalance na haina muonekano mzuri. Hii set itafanya miuguza ngozi yako itakuwa bora kabisa.

Hii combo itakuwa na free delivery kwa Dar na Dodoma๐Ÿšš
Tunapatikana; Sinza, SGR Dar & Dodoma.

Address

66FJ+734, Inbound Street, Dar Es Salaam Dar Es Salaam TZ, 00255 Dar Es Salaam Dar Es Salaam 00255
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZEDD Pharmacy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ZEDD Pharmacy:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram