Afya na Virutubisho

Afya na Virutubisho Nutrionist

*ONDOA TATIZO LA MISULI KULEGEA, KUSHINDWA KURUDIA, KUKOSA HAMU NA KUKOSA NGUVU NA STAMINA KWA NJIA HII!:*Inawezekana up...
07/12/2022

*ONDOA TATIZO LA MISULI KULEGEA, KUSHINDWA KURUDIA, KUKOSA HAMU NA KUKOSA NGUVU NA STAMINA KWA NJIA HII!:*

Inawezekana upata changamoto mojawapo katika hizo, au baada ya kumaliza laundi ya kwanza ukitaka kuendelea uume huwa lege lege, Kutoa mbegu mapema kabla ya tendo au unapojisaidia haja ndogo au kubwa, unakosa hamu kabisa ya tendo.

Wengine kupata maumivu makali ya Korodani au korodani zinalegea na uume kunywea au kusinyaa k**a wa mtoto.

Kawaida changamoto hii inapaswa imutokee mtu mwenye miaka zaidi ya 70 kwenda juu tena mara moja moja siyo kila siku, Lakin mambo hayako hivyo kwa maisha ya sasa. Vijana miaka 30, 40 na watu wazima mpaka 60 tatizo limekuwa kubwa na linazidi kuwa kubwa!

K**a ulipitia mchezo wa punyeto hapo zamani,
Mfumo wako wa vyakula unavyotumia, una msongo wa mawazo, Unatumia vilevi vikali, Una ugonjwa Sukari, Pressure n.k, Changamoto hii haiwezi kuwa mbali nawe! Lakini kwa kijana k**a upo addicted na vitendo vya kuangalia picha za ngono basi ni rahisi kupata shida hii.

*NINI UFANYE KUMALIZA TATIZO HILI !??*

Kwa ajili yako wewe unaetaka kuzidi kuwa imara, kulinda nguvu zako hata k**a uko sawa na kuhakikisha haupati shida yoyote, Wewe ambae tayari unatatizo ili urudi kawaida na maanisha wewe unaeishia bao moja na unashindwa kuendelea na tendo, Maumbile yanapungua, Uliyejichua yaani k**a uliwahi kupiga punyeto, Unae poteza hamu ya tendo la ndoa na ambae unatoa mbegu kidogo.

*TUMIA ARG PLUS, MULTI MACA NA MEN VITALITY SUPPLEMENTS - MKOMBOZI KWA WANAUME WOTE.*

Ndiyo, hizi bidhaa mbili zimefanya mabadiliko makubwa sana kwa wanaume wengi sana ambao nimewahudumia bidhaa hizi na ambao walikuwa na Matatizo hayo

Hizi ni sababu kuu 7 za kwa nini utumie virutubisho vya *ARGI+, MULTI MACA na MEN VITALITY SUPPLEMENTS* kwa ajili ya kuimalisha, kulinda, kutunza na kutibu kabisa tatizo la nguvu za kiume hata k**a hali yako ikiwa mbaya kiasi gani zitakupatia matumain mapya na kurudi katika hali yako bila kutumia madawa hatarishi kwa afya yako kwa ujumla.

*1. Kuimalisha mzunguko wa damu.*
Bidhaa hizi tatu zinakusaidia kuimarisha mzunguko wa damu mwili mzima na kwenye mfumo wa uzazi na kuufanya uume uweze kupata damu ya kutosha hivyo kuwa na uwezo wa kusimama k**a msumari,
Huondoa mafuta mabaya kwenye mishipa, hubalance presha na kuimalisha utendaji kazi wa moyo.
Ili uweze kusimamisha vizuri, damu inatakiwa ifike ya kutosha katika Dhakari yako, hivyo bidhaa hii itafanya uume unakuwa unasimama imara zaidi na unakuwa na uwezo wa kuludia tendo la ndoa mara nyingi zaidi.

*2. Kuimarisha mishipa ya damu.*
Mzunguko wa damu ukiwa vizuri kwenye uume husaidia kuimalisha mishipa au misuli yake, hata k**a ulijichua yaani punyeto mishipa inaludi kawaida na maumbile k**a yalipungua kwa sababu ya kujichua uume unaongezeka na kuludi k**a awali,
naomba uelewe k**a umezaliwa hivo hivo uume wako mdogo hautaongezeka lakin k**a uume ulipungua kwa sababu zozote mwanzoni ulikuwa mkubwa unaludi ukubwa ule unaotakiwa.

*3. Kubalance hormone:*
K**a hamu ya tendo la ndoa imepungua, huhisi hisia wakati wa tendo la ndoa pia k**a ukimaliza bao la kwanza hisia/hamu zinapotea zinakusaidia kuludisha hormone sawa ambapo hamu ya tendo la ndoa inaongezeka.

*4. Kuimarisha na kulinda tezi dume.*
Hii k**a wewe unaumri kuanzia miaka 40 kwenda juu hii ni muhim sana kwako kwani unapoitumia unaepuka kutanuka kwa tezi dume mapema na kuzidi kuwa na nguvu za kiume k**a kijana wa miaka 25, waliopata shida ya tezi dume nadhani watanielewa ninachokimaanisha tezi dume ikianza kusumbua mambo yako katika tendo pia nayo yana haribika.

*5. Huongeza wingi na ubora wa mbegu.*
Kwa mtu ambae anakiwango kidogo cha mbegu hii itamsaidia sana kuimalisha na kuongeza wingi na ubora, k**a unashindwa kumpa ujauzito mwanamke au mwanamke anashindwa kupata mimba na mmefanyiwa check up hakuna tatizo lolote na mambo mengine yako sawa hii itakusaidia sana kuludi kawaida,
Hii nakupa asilimia 100% kabsa kwani nina shuhuda za wanaume wengi sana na wanawake pia shida zao za kapata watoto kupitia hizi wamefanikiwa

*6. Nguvu za kiume:*
Kuwahi kufika kilelen yaani kumaliza ndani ya dakika chache, uume kusimama lege lege, kuchelewa kuendelea na tendo baada ya bao la kwanza na kushindwa kumaliza au kuchukua mda mlefu wakati mwingine kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa shida hio inaisha, kwasababu mzunguko wa damu utakuwa sawa, nguvu na stamina pia.

*7. Pumzi:*
Wanaume wengine huishiwa nguvu haraka wakati wa tendo la ndoa yaani huchoka haraka mwingine akimaliza tendo anaweza kupitiwa mpaka na usingizi mzito kweli, Sasa hizi zitakusaidia kuupa mwili nguvu ambapo mishipa hulishwa protin ya asili ambapo mwili unakuwa na nguvu za kudumu.

*HILI NI SULUHISHO SAHIHI NA LA KUDUMU KWA CHANGAMOTO HIZO.*

UNGEPENDA KUANZA KUTUMIA SASA, NJOO UPATE MWONGOZO!??

Note:
Hizi siyo dawa ni ni lishe yaani virutubisho havina athari zozote mbaya kwa mtumiaji.
Hazina masharti yoyote wakati wa matumizi

Address

Dar Es Salam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255688757440

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Virutubisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na Virutubisho:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram