leys__wellness

leys__wellness ✨VIRUTUBISHO|LISHE|AFYA , nitakusaidia kupunguza uzito , kitambi, nyama uzembe ndani ya siku 9-24 tu

09/03/2026
Food inspo
09/03/2026

Food inspo

07/03/2026

𝗙𝗒π—₯π—˜π—©π—˜π—₯ π—”π—Ÿπ—’π—˜ π—©π—˜π—₯𝗔 π—šπ—˜π—Ÿ:
Ni kinywaji cha asili kinachosaidia:
1. Kuboresha Mmeng’enyo wa Chakula
2. Kusafisha Mwili (Detox)
3. Kuimarisha Kinga ya Mwili.
4. Kusaidia Afya ya Ngozi na Mwili kwa Ujumla

π—žπ—ͺπ—”π—‘π—œπ—‘π—œ π—‘π—œ π— π—¨π—›π—œπ— π—¨ π—ͺπ—˜π—ͺπ—˜ π—¨π—§π—¨π— π—œπ—˜?
Kwa sababu mwili wetu unahitaji kusaidiwa kusafisha sumu na kuboresha mfumo wa chakula ili uwe na afya bora kila siku.

π…πŽπ‘π„π•π„π‘ π€π‘π†πˆ+
Ni supplement yenye L-Arginine inayosaidia:
1. Kuboresha Mzunguko wa Damu.
2. Kuongeza nguvu na stamina.
3. Kusaidia Afya ya Moyo.
4. Kuboresha Performance ya Mwili.

π—žπ—ͺπ—”π—‘π—œπ—‘π—œ π—‘π—œ π— π—¨π—›π—œπ— π—¨ π—ͺπ—˜π—ͺπ—˜ π—¨π—§π—¨π— π—œπ—˜?
Kwa sababu mzunguko mzuri wa damu ni msingi wa afya bora, nguvu mwilini, na utendaji mzuri wa mwili kila siku.

π—œπ—‘ π—šπ—˜π—‘π—˜π—₯π—”π—Ÿ:
Ukichanganya Aloe Vera Gel na Argi+ unasaidia mwili wako kusafisha, kuimarisha kinga, kuboresha damu na kuongeza nguvu.

17/02/2026

Ukweli ni huu…
uzito haupungui kwa kuwish tu.
Kila siku unasema β€œnitapunguza.”
Wiki zinapita.
Miezi inapita.

Confidence inazidi kushuka polepole.
Nimefungua nafasi chache sana kwa watu serious wanaotaka ku-reset mwili wao kwa siku 9.
Hii sio ya majaribio.
Ni ya watu waliokata tamaa ya kuahirisha.

Ukijua umechoka kuanza upya kila Monday
WhatsApp neno β€œUZITO” sasa hivi.
Nafasi zikijaa, nimefunga. πŸ”₯

16/02/2026

TUMA NENO β€œπ—¨π—­π—œπ—§π—’β€ KWENYE WHATSAPP NUMBER +255 765 33 2611 NIKUPATIE MWONGOZO

Karibu Ujaribu our FIT Program kwa Bei Nafuu Kabisa k**a njia Salama ya Kupungua Kiafya Itakupa uwezo wa Kupunguza na / bila Kuharibu Afya yako, kwa Utumiaji wa Virutubisho vya Chakula na Kupata Muongozo wa na sahihi.
β €β €β €
KWA MAELEZO ZAIDA WASILIANA NASIβ €β €β €
DM/Call/WhatsApp +255 765 33 2611β €β €β €

[𝐻𝑖𝑧𝑖 π‘π‘–π‘‘β„Žπ‘Žπ‘Ž π‘ π‘–π‘œ π‘‘π‘Žπ‘€π‘Ž, 𝑛𝑖 π‘£π‘–π‘Ÿπ‘’π‘‘π‘’π‘π‘–π‘ β„Žπ‘œ π‘£π‘¦π‘Ž π‘β„Žπ‘Žπ‘˜π‘’π‘™π‘Ž, β„Žπ‘Žπ‘§π‘–π‘›π‘Ž π‘‘β„Žπ‘’π‘šπ‘’π‘›π‘– π‘™π‘Ž π‘˜π‘’π‘‘π‘–π‘π‘’ π‘Žπ‘’ π‘˜π‘’π‘§π‘’π‘–π‘Ž π‘’π‘”π‘œπ‘›π‘—π‘€π‘Ž π‘€π‘œπ‘€π‘œπ‘‘π‘’]β €β €β €
β €β €β €
fitprogram weightloss healthy PunguaUzito Afya Chakula Mazoezi Diet Foodisbae C9Program C9Forever C9Results C9

16/02/2026

K**a umejisikia kwenye hii video… usikae kimya.”
Wanaume wengi wanapitia hii,
ila hawajui waanzie wapi.
Nitumie DM neno β€œLEVEL”
nikupe info kwa siri 🀫πŸ”₯

20/01/2026

Unachoka kila siku bila sababu? Tumbo linauma mara kwa mara? Unajisikia mzito, huna nguvu, unaumwaumwa ovyo au kinga ya mwili iko chini? πŸ˜”
Hizi ni dalili za mwili wako kuhitaji msaada.
Aloe Vera Gel + Fields of Greens zinasaidia:
βœ… Kusafisha mfumo wa mwili (detox)
βœ… Kuboresha mmeng’enyo wa chakula
βœ… Kuongeza kinga ya mwili
βœ… Kurudisha nguvu na uchangamfu wa asili 🌿
Usingoje ugonjwa ndio ukukumbushe afya ni muhimu. Anza kujijali leo πŸ’š

πŸ“¦ Zinapatikana sasa
πŸ“² Wasiliana nami: 0765332611

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255764204175

Website

https://wa.me/message/IMX2AN3VSRMZN1

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when leys__wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to leys__wellness:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram