Afya ya Uzazi na Ushauri

Afya ya Uzazi na Ushauri Tunakuhabarisha elimu ya uzazi salama kwa njia zilizo salama kiafya na kiimani

Swali lako ni la msingi sana, linahusu mchanganyiko wa makundi ya damu na athari zake wakati wa ujauzito. Hali hii inahu...
04/05/2025

Swali lako ni la msingi sana, linahusu mchanganyiko wa makundi ya damu na athari zake wakati wa ujauzito. Hali hii inahusiana na Rh factor (Rhesus factor), ambayo ni sehemu ya kundi la damu. Hapa ni maelezo ya msingi:

Wewe ni O- (una damu ya kundi O na huna Rh factor).

Mke wako ni O+ (kundi sawa lakini ana Rh factor).

Katika hali hii, hakuna tatizo kubwa la moja kwa moja wakati wa ujauzito wa kwanza, lakini kuna mambo ya kuzingatia:

1. Hatari ya Rh incompatibility

Kwa kuwa wewe ni Rh-negative na mke wako ni Rh-positive, kuna uwezekano mtoto akarithi Rh-positive kutoka kwa mama.

Ikiwa damu ya mtoto (Rh+) itaingia kwenye mfumo wa damu wa mama (ambaye ni Rh+), hakuna tatizo kwa sababu mama tayari ana Rh+.

Lakini k**a mama angekuwa Rh- na mtoto akawa Rh+, hapo ndipo kungekuwa na tatizo—mwili wa mama unaweza kutengeneza kinga dhidi ya damu ya mtoto.

Kwa kuwa mke wako ni Rh-positive, hakuna hatari ya "Rh incompatibility" katika ujauzito.

2. Kundi la damu la mtoto

Mtoto anaweza kurithi kundi la damu O+, O-, kulingana na michanganyiko ya vinasaba kutoka kwa wazazi.

Hakuna tatizo kubwa litakalotokea kutokana na hili, mradi mama si Rh-negative.

Hitimisho:

Katika hali yako, hakuna hatari kubwa ya kiafya kwa mama wala mtoto kutokana na tofauti ya Rh factor.

Ila ni muhimu kila ujauzito kufuatiliwa kwa karibu na daktari kwa vipimo vya kawaida.






#

Asante kwa swali lako, na ni vizuri sana kuwa makini na masuala ya makundi ya damu hasa kwa wanandoa wanaopanga kupata w...
03/05/2025

Asante kwa swali lako, na ni vizuri sana kuwa makini na masuala ya makundi ya damu hasa kwa wanandoa wanaopanga kupata watoto.

Kwa muktadha huu:

Wewe una A- (Rh negative)

Mke wako ana AB+ (Rh positive)

1. Suala la Rh Factor (Rhesus factor):

Hili ndilo jambo muhimu zaidi katika muktadha huu.

Kwa sababu mke wako ni Rh positive (AB+), na wewe ni Rh negative (A-), hakuna hatari kubwa ya Rh incompatibility.

Rh incompatibility huwa tatizo kubwa pale ambapo mama ni Rh-negative na mume ni Rh-positive, kwa sababu mtoto anaweza kurithi Rh positive kutoka kwa baba, na mwili wa mama ukaanza kutengeneza antibodies dhidi ya damu ya mtoto. Hili halitokei kwa urahisi kwenye mimba ya kwanza, lakini linaweza kuwa tatizo kwenye ujauzito unaofuata.

Kwa hali yenu:

Mke wako ni Rh positive – hana hatari ya kutengeneza antibodies kwa sababu tayari ana Rh positive.

Hivyo, hamna hatari ya Rh incompatibility kwa watoto wenu.

2. Suala la urithi wa makundi ya damu kwa watoto:

Watoto wenu wanaweza kuwa na moja ya makundi haya: A, B, AB, au hata mara chache sana O – kulingana na urithi wa jeni kutoka kwa wazazi.

Hitimisho:

Hakuna tatizo la kiafya linatarajiwa kati yenu linapokuja kwenye makundi ya damu na uzazi.

Ila k**a kuna historia yoyote ya matatizo ya ujauzito au mimba kutoka kwa mkeo, basi ni vyema tuwasiliane kwa vipimo vya ziada kwa ushauri wa daktari na matibabu

+255766181461




TATIZO LA UKE KUWA MKAVUUke kuwa mkavu ni Tatizo ambalo Husababishwa na upunguvu wa Homoni au Kutokuwa na uwiano wa Homo...
08/03/2024

TATIZO LA UKE KUWA MKAVU

Uke kuwa mkavu ni Tatizo ambalo Husababishwa na upunguvu wa Homoni au Kutokuwa na uwiano wa Homoni ya Estrogen ambayo hupelekea Misuli ya uke kusinyaa na kukosa Vilainishi.

ZITANGATIO
🥑 Kwa kawa uke unatakiwa kuwa ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na raha ya Tendo
🥑 Ute huu ukizidi sana au Kupungua Sana nalo ni Tatizo pia

VISABABISHI VYA UKE KUWA MKAVU
1️⃣. Utumiaji mafuta yenye Kemikali (Curtxmetric)
2️⃣. Magonjwa ya Zinaa na Fangasi
3️⃣. Matumizi ya Sabuni za Antibiotics kwa kuoshea uke
4️⃣. Woga na wasi wasi
5️⃣. Upunguvu wa Homoni

DALILI ZA UKE KUWA MKAVU

1. Maumivu Wakati wa Tendo la Ndoa
2. kupungua Hamu ya Tendo la Ndoa
3. kutofurahia Tendo la ndoa kutokana na Maumivu
4. Kuwa na Ngozi kavu
5. Maumivu ya mifupa na Viungo
6. Mzunguko wa Hedhi kubadilika badilika

K**A UNASUMBULIWA NA TATIZO LOLOTE KIAFYA

Umekuwa ukipitia changamoto za Hormonal imbalance, kizazi kimelegea,mirija ya uzazi imeziba,kizazi kimejaa maji maji,ovarian Cysts, uvimbe (Fibroids) ,Mayai hayapevuki vizuri ,PID Fangas sugu piga simu nikupe suluhisho

☎️0766181461



Sababu za Mwanamkekukosa period/hedhi ni :HOMORNE IMBALANCE(Homoni kuvurugika )ambayo hupelekea Mwanamkekupata madhara y...
08/03/2024

Sababu za Mwanamke
kukosa period/hedhi ni :HOMORNE IMBALANCE(Homoni kuvurugika )
ambayo hupelekea Mwanamke
kupata madhara yafuatayo.

1️⃣ Kuwa na hedhi isiyo ya kawaida yenye mabonge mabonge ya damu, au damu nyingi sana inatoka zaidi ya siku 7..
2️⃣ Tarehe za hedhi kuvurugika
3️⃣ Kuingia hedhi zaidi ya Mar a moja kwa Mwezi
4️⃣ Kupitiza hedhi zaid ya mwezi
5️⃣ mimba kutoka mara kwa mara
6️⃣ Kutoona Ute wa uzazi siku za
hatari
7️⃣ Kuwa mkavu ukeni
8️⃣ Kupata maumivu wakati Wa tendo la ndoa
9️⃣ Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🔟 Kupata maumivu makali wakati Wa hedhi
K**a umewahi kupata changamoto moja wapo kati ya hizi
Nipigie tuzungumze
Call/Whatsapp 0766181461


  Dalili ambazo huonyesha kwamba uume wako umejeruhiwa na kupiga punyeto ni  1️⃣ Maumivu baada ya kumaliza kujichua,2️⃣ ...
08/03/2024


Dalili ambazo huonyesha kwamba uume wako umejeruhiwa na kupiga punyeto ni
1️⃣ Maumivu baada ya kumaliza kujichua,

2️⃣ Ukimaliza kujichua uume unanyea haraka sana na kurudi ndani,

3️⃣ Korodani kuuma,

4️⃣ Uume unasimama lakini haujikazi unakuwa lege lege,

5️⃣ Unatoa mbegu kidogo ,

6️⃣ Kuna baadhi ya siku nyingine wakati shahawa zinatoka (ej*******on) unahisi maumivu badala ya raha,

7️⃣ Siku nyingine unahisi hamu za kufanya punyeto lakini uume hausimami mpaka ulazimishe,

8️⃣ Punyeto ndio hukupa raha zaidi kuliko uke,

9️⃣ Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kubana uume kwa mkono au sehemu yoyote ile ili kuendelea kupata raha ile ile k**a ya mwanzoni.Hii ni kutokana na kufa kwa neva hivyo usipobana vizuri uume kwa nguvu hupati raha au msisimko!

Wengi wamejichua au kufanya punyeto pasipo kujua madhara yake leo nimekuonyesha madhara yake kwa kina .

Nipigie tuzungumze nikushauri kwa mina ikiwezekana nikupatie suluhisho lake

Call/WhatsApp 0766181461






#

Hili tatizo watu wengi wanaonaga ni hali ya kawaida...kumbe sio nyama nyama zinapo toka kwa wingi wengi wetu ndipo huanz...
08/03/2024

Hili tatizo watu wengi wanaonaga ni hali ya kawaida...

kumbe sio nyama nyama zinapo toka kwa wingi wengi wetu ndipo huanza kushtuka,

wahii kushughulika na Hormon imbalance...

Tatizo hili ni baya mnoo

Maana homon imbalance husababisha madhara yafuatayo

1️⃣.Ugumba
2️⃣.Mirija kujifunga funga (mirijakuziba)

3️⃣.period kupishana pishana au kuruka miez 5,6,2 n.k

4️⃣.Ukavu ukeni

5️⃣.Ngozi kuharibika

Call/Whatsapp 0766181461


Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya Uzazi na Ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya Uzazi na Ushauri:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram