Nutrition Supplement, Dar es salaam.

Nutrition Supplement, Dar es salaam. ,SUPPLEMENT.ZA KUJAZA/KUJENGA/NA KUKATA MWILI.MALIPO NI BAADA YA KUPATA MZIGO.

07/02/2026

πŸ”₯ Mwanamke kutumia supplements & kupata shape nzuri (natural & safe)
Mwanamke anaweza kutumia supplements vizuri kabisa na akapata mwili wenye shape nzuri bila kuonekana β€œk**a mwanaume” k**a wengi wanavyoogopa. Siri ipo kwenye aina ya supplement + mazoezi + mpangilio wa matumizi.
πŸ’ƒ Shape nzuri kwa mwanamke inamaanisha nini?
βœ”οΈ Kiuno kidogo (waist imekaa)
βœ”οΈ Makalio yamejaa & yamekaa (hips/glutes πŸ‘)
βœ”οΈ Mapaja yamejengeka vizuri
βœ”οΈ Tumbo limekaa flat (hakuna kitambi)
βœ”οΈ Mwili una tight & smooth
πŸ’ͺ Supplements zinazomfaa mwanamke
1️⃣ WHEY PROTEIN (mf. Gold Standard Whey)
βœ”οΈ Hujenga misuli laini (lean muscles)
βœ”οΈ Husaidia kukata mafuta bila kuacha ngozi legevu
βœ”οΈ Hupunguza njaa (cravings)
πŸ‘‰ Matokeo: tummy flat + shape tight πŸ”₯
2️⃣ AMINO / BCAA
βœ”οΈ Husaidia ku-shape makalio & mapaja
βœ”οΈ Huongeza nguvu mazoezini
βœ”οΈ Hufanya mwili ukae firm
πŸ‘‰ Matokeo: curves zinaonekana vizuri πŸ‘
3️⃣ FAT BURNERS (kwa dozi sahihi)
βœ”οΈ Huchoma mafuta ya tumbo & mgongoni
βœ”οΈ Husaidia waist ikae ndogo
βœ”οΈ Huongeza jasho wakati wa mazoezi
πŸ‘‰ Matokeo: kiuno kinakata vizuri πŸ”₯
⚠️ Mwanamke asitumie kwa kuzidisha – dose ndogo inatosha
4️⃣ MASS GAINER (kwa wanawake waliokonda sana)
βœ”οΈ Husaidia kuongeza nyama sehemu sahihi
βœ”οΈ Inafaa kwa wanaotaka hips & makalio yaonekane
πŸ‘‰ Matumizi ya tahadhari + mazoezi ya glutes tu πŸ’―
πŸ‹οΈβ€β™€οΈ Mazoezi muhimu kwa shape
πŸ”₯ Squats
πŸ”₯ Hip thrust
πŸ”₯ Lunges
πŸ”₯ Glute bridge
πŸ”₯ Cardio kidogo (si nyingi sana)
⏰ Muda wa kuona matokeo
πŸ“† Wiki 2–3: mwili unaanza kubadilika
πŸ“† Mwezi 1: shape inaanza kuonekana
πŸ“† Miezi 2–3: tofauti kubwa sana πŸ”₯πŸ”₯
⚠️ Muhimu sana
βœ”οΈ Supplements si dawa, ni msaada
βœ”οΈ Maji mengi πŸ’§
βœ”οΈ Usingizi wa kutosha 😴
βœ”οΈ Usichanganye supplements kiholela

πŸ“£πŸ”₯πŸ’ͺ🏼 GYM PROTEINS | SUPPLEMENTS ORIGINAL ZA KUJENGA & KUKATA MWILI πŸ’―πŸ”₯Karibu Gym Protein Supplements 128 – wauzaji wa bid...
02/09/2025

πŸ“£πŸ”₯πŸ’ͺ🏼 GYM PROTEINS | SUPPLEMENTS ORIGINAL ZA KUJENGA & KUKATA MWILI πŸ’―πŸ”₯

Karibu Gym Protein Supplements 128 – wauzaji wa bidhaa bora na halisi za kuongeza nguvu, kujenga mwili na kukata mafuta. Tunakuletea supplements zinazokidhi malengo yako ya fitness kwa usalama na uhakika:

βœ… Kuongeza uzito na misuli πŸ“ˆ
βœ… Kuimarisha mwili πŸ’ͺ
βœ… Kukata tumbo & kitambi πŸ”₯
βœ… Kupunguza mafuta mwilini πŸƒβ€β™‚οΈ
βœ… Kuongeza nguvu na stamina kwenye mazoezi ⚑

---

πŸ’ͺ MASS TECH EXTREME

βœ”οΈ Suluhisho kamili la kuongeza size ya mwili kwa haraka
βœ”οΈ Zenye protein & calories nyingi kwa matokeo ya uhakika
πŸ“¦ 1KG – Tsh 130,000/=
πŸ“¦ 2.74KG – Tsh 205,000/=
πŸ“¦ 3.18KG – Tsh 230,000/=

---

πŸ’ͺ RUSSIAN BEAR (Legendary since 1990)

βœ”οΈ Maarufu duniani kwa kuongeza uzito & misuli
βœ”οΈ Uhakika wa matokeo kwa muda mfupi
πŸ“¦ 1KG – Tsh 130,000/=
πŸ“¦ 5.44KG – Tsh 295,000/=

---

πŸ’ͺ SERIOUS MASS

βœ”οΈ Inafaa kwa wanaotaka nguvu & uzito wa haraka
πŸ“¦ 1KG – Tsh 130,000/=
πŸ“¦ 2.27KG – Tsh 275,000/=

---

πŸ’ͺ GOLD STANDARD WHEY

βœ”οΈ Inapunguza kitambi & shinikizo la damu
βœ”οΈ Inaimarisha misuli na kupunguza njaa
πŸ“¦ 1KG – Tsh 165,000/=
πŸ“¦ 2.75KG – Tsh 280,000/=

---

πŸ’ͺ USN PROTEIN

πŸ“¦ 2KG – Tsh 220,000/=

---

πŸ”₯ FAT BURNERS (Hydroxycut / Lipo6 Black / CLA)

βœ”οΈ Huchoma mafuta mwilini
βœ”οΈ Huondoa kitambi & "manyama uzembe"
πŸ“¦ Full dose (vidonge 125) – Tsh 150,000/=

---

πŸ’ͺ AMINO HARDCORE GAINER

βœ”οΈ Huongeza nguvu, misuli & concentration
βœ”οΈ Hupunguza kitambi huku ikiboresha mood
πŸ“¦ Vidonge 325 – Tsh 195,000/=

---

πŸ“Œ KUMBUKA:
Mass Gainers zimetengenezwa kwa mchanganyiko wa Protein + Carbs + Healthy Fats + Calories ambao husaidia wanaume na wanawake kuongeza mwili, nguvu na misuli kwa njia salama na ya haraka.

---

πŸ“ž Wasiliana Nasi Sasa
πŸ“² #0746116100
Tutakushauri kulingana na malengo yako ya mazoezi na mwili.

---

πŸ”–

Address

Sinza Mori
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nutrition Supplement, Dar es salaam. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nutrition Supplement, Dar es salaam.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram