10/11/2022
JINSI YA KUWA NA MWONEKANO MZURI...
Moja ya kitu kila mtu anatamani kuwa nacho ni kuonekana vizuri kusifiwa na kupendwa.
Leo nakupa njia tatu zitakazo kufanya uonekane vizuri, ila hapa nita itaja njia moja ambayo itakufanya uonekane vizuri k**a utaifanyia kazi.
K**a unahisi kwenye mwili wako kuna mabadiliko yoyote na unahisi mwili wako hauko sawa, Jiangalie ulivyo sasa alafu katafuta picha za miaka mitatu iliyo pita utapata kujua mwonekano wako unatakiwa uweje.
K**a umebadilika fanya hivi kurudisha mwonekano wako.
1.Punguza uzito ondoa kitambi;
Moja ya sababu inayo pelekea kupoteza mwonekano wako nikuwa na uzito uliyo pindukia.
Nime washudia watu wengi waliyo kuwa na mwonekano mzuri ila baada ya kujiachia na kunenepa hovyo ule mwonekano umepotea.
Na wengine waliyo kuwa na uzito mkubwa kitambi baada ya kupungua mwili na shepu zao zilionekana vizuri.
Zipo njia nyingi za kukufanya upungue na kuonekana vizuri moja wapo kufanya mazoezi kwa malengo.
Ila kabla ya kuanza mazoezi ushauli wangu anza na kudetox mwili ndio utapata matokeo ya haraka naya kudumu.
Zipo njia nyingi za kudetox mwili ila ushauli wangu tumia Clean9 ndio the best program kwajili ya kusafisha mwili na kupunguza uzito.
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp/Call 0785858669 kupata ushauli juu ya afya ya uzito wako na namuna utakavyo pungua na kuonekana vizuri.
Follow me
WhatsApp/Call 0785858669