20/02/2023
Ujue Ugonjwa Wa BAWASIRI Sababu,Chanzo, Dalili Na Tiba Ya Kudumu Ya Bawasiri Ya {NDANI NA NJE}....
BAWASILI {HEMORRHOIDS/PILE
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
CHANZO CHA BAWASILI
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia.
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito
DALILI ZA BAWASILI
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa,
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa,
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa,
➖ Kupata kinyesi chenye damu,
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa,
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa,
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)
MADHARA YA BAWASILI
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika
Tunatoa Elimu Ya Bure Na Utatuzi Juu Ya CHANGAMOTO Ya BAWASIRI
_____________________________________
Wasiliana Nasi [ ELIMU BURE KWA JAMII ]
+255 716426906 Piga Simu / SMS/ WhatsApp
_____________________________________
Tuma sms WhatsApp Sasa Hivi⤵️⤵️
wa.me/255716426906
TUMA NENO { BAWASIRI }