10/03/2023
JE WAJUA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA YAWEZA SABABISHA KANSA YA UTUMBO MPANA..?
Whatsapp ==>>https://bit.ly/3PG6sc8
●watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
●Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
●ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika k**a piles
Whatsapp ==>>https://bit.ly/3PG6sc8
●tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30-50
●chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉WAKATI WA KUJIFUNGUA KWA WANAWAKE
👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU
👉TATIZO LA KUPATA CHOO KIGUMU AU KUTOPATA CHOO KABISA
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
Whatsapp ==>>https://bit.ly/3PG6sc8
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
MATIBABU YA BAWASIRI
●Kwa hospitali ni kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe huo ambao ni gharama kubwa pia tatizo litajirudia kwa Sababu haujatibu chanzo cha tatizo,hivyo basi kuna tiba ya uhakika ya dawa asilia kutoka kwenye mimea na matunda(citrus extract and derivates).
Product hii hutibu tatizo hili kabisa bila madhara na kuondoa uwezekano wa kujirudia tena baadae
DAWA YA KUNYWA VIDONGE BEI NI 85,000 NA YA KUPAKA PIA BEI NI 85000 .
Dr Ditrick Msiluka
Tupigie 0755806698
Whatsup 0755806698
Whatsapp ==>>https://bit.ly/3PG6sc8
TUNAPATIKANA KINONDONI MWANAMBOKA . KWA WALIO NJE YA MKOA TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO KWA NJIA YA BUS.
AFYA KWANZA