05/12/2025
Tunapokaribia mwisho wa mwaka 2025, tunatumai kuwa mwanzo mpya utachukua nafasi katika maisha yako.
Katika Kliniki cha Nairobi IVF - Dar es Salaam, tunaamini kila mwisho wa jambo ni fursa ya kuanza upya.
Anza safari yako ya uzazi wa mwaka mpya 2026 na:
👉🏽Ushauri wa Kibinafsi
👉🏽Matibabu ya IVF
👉🏽Kuhifadhi Mayai, Mbegu za Kiume na Viinitaji (Embryos)
Timu yetu ya wataalam hutoa matibabu ya kibinafsi kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kuongeza nafasi zako za kufaulu
Wasiliana nasi sasa ili kupata nafasi yako;
🌐 www.nivf-dar.com
☎️ +255 742 581 263
🏥 Alfa Plaza
📍 Ali Hassan Mwinyi Road,
Dar es Salaam