Julius AFYA CARE

Julius  AFYA CARE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Julius AFYA CARE, Medical and health, Dar es Salaam.

20/08/2023

PUNGUZA UZITO / UNENE / KITAMBI / MAFUTA MWILINI / NYAMA NYAMA ZEMBE ZOTE ZA KIUNO / TUMBO / MIKONO

Dawa ni za asili kabisa hazina madhara yoyote matokeo yake wiki 1 unapungua kg 10 na tumbo linaisha unabaki ukiwa na mwili wa kawaida wenye kupendeza zaidi

My dear kwanini uteseke na mwili / kitambi / wakati dawa zipo zinapatikana na matokeo yake mazuri sana

1)KUPUNGUZA TUMBO
2)KUPUNGUZA UNENE
3)KUPUNGUZA UZITO
4)KUPUNGUZA NYAMA NYAMA ZEMBE

DAWA ZINAPATIKANA KWA BEI NAFUU

1)kupunguza tumbo.
2)kupunguza mwili mzima

Piga 0759329260 / Whatsapp karibuni.
Au
INGIA DARASANI
https://chat.whatsapp.com/EfIpjIzUf9YFjoO5rTb5Vv

17/08/2023

VYAKULA VINAVYOCHOCHEA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME

πŸ‰Tikiti maji ina kiasi kikubwa cha L-citrulline (asidi ya amino) ambayo inachochea mtiririko wa damu kwenye uume.
Wanaume wenye tatizo la uume kutosimama na hamu ya chini ya tendo la ndoa wanaweza kunufaika kwa kuchukua L-citrulline kupitia tikiti maji.

🍌Ndizi zina kiwango kikubwa cha potasiamu ambacho husaidia kuongeza uzalishaji wa testosterone,
homoni ya kiume, na kuboresha hamu ya ngono. Tryptophan iliyopo ndani ya ndizi husaidia kuongeza utengenezaji wa serotonin,
homoni inayoboresha hisia na kuongeza hamu ya ngono kwa wote

πŸ₯”Tende ni afrodiziac ya asili, kwa hiyo kula tende kunaweza kusaidia kutibu masuala ya kijinsia.
Tende huongeza hamu ya ngono kwa wanawake kwa sababu zina kiwango kikubwa cha chuma, vitamini C, folate, na madini na virutubisho muhimu vingine vingi.

🍠Kuongeza tangawizi kwenye lishe yako inaweza kuwa chaguo zuri.
Kwa kweli, utafiti unaonyesha kuwa inaweza kuongeza mtiririko wa damu, kupunguza mkazo wa oksidi, na kuboresha uzazi kwa wanaume na wanawake.

πŸ₯œTiger nut ina kiwango kikubwa cha arginine na omega 3 ambavyo husaidia katika mtiririko bora wa damu kwenda kwenye uume,
pia hutoa kiasi kikubwa cha nishati inayohitajika wakati wa tendo la ndoa.
Mbali na hayo, tiger nut ina virutubisho ambavyo huongeza uzalishaji wa testosterone.
Naitwa : JULIUS
#0759329260
Jukumu langu ni kuhakikisha nakuondolea changamoto ya Kushindwa kulimudu Tendo la Ndoa kitandani.

πŸ‡ΏπŸ‡² πŸ‡²πŸ‡¬

TUMIA MATUNDA KUONGEZA DAMU MWILINImatumizi ya matunda k**a dawa huwa na msaada mkubwa kwa binaadamhusaidia kuongeza ain...
17/08/2023

TUMIA MATUNDA KUONGEZA DAMU MWILINI

matumizi ya matunda k**a dawa huwa na msaada mkubwa kwa binaadam

husaidia kuongeza aina mbali mbali ya mahitajia ya mwili k**a

kuongeza damu
kuongeza vitamin n.k

wasilina m 0759329260
Julius AFYA CARE





yako

Ni Suala La Kawaida Unaweza Kuathirika?  _afya_careNa ha Ya Maumivu Ya Kiuno Na Nyonga Endapo Hautachukua Hatua Kujitibu...
12/07/2023

Ni Suala La Kawaida Unaweza Kuathirika? _afya_care

Na ha Ya Maumivu Ya Kiuno Na Nyonga Endapo Hautachukua Hatua Kujitibu.

1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa kiufasaha.

2.Hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili/kufa ganzi kwa viungo mwilini.

3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.

4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa/kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala mda wote.

5.Kuzidi kusambaa kwa maumivu mawili mzima hasa sehem zenye joint.

KWA MSAADA ZAIDI NA USHAURI WA HARAKA[BURE] WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0759329260





πŸ“ž+255 759329260

*DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME*βšœβšœβšœβšœβšœβšœπŸ”±πŸ”±πŸ”±πŸ”±πŸ”±πŸ”±*Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za k...
12/07/2023

*DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME*
⚜⚜⚜⚜⚜⚜
πŸ”±πŸ”±πŸ”±πŸ”±πŸ”±πŸ”±
*Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-*
πŸ‘‡πŸ‘‡
*1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara.*
πŸ‘‡πŸ‘‡
*Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.*

*2.kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara moja.*
πŸ‘‡πŸ‘‡
*Hii husababishwa na kutokuwa na msukumo mzuri wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume*
πŸ‘‡πŸ‘‡

*3. Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa. Hili ni matokeo ya kuwa na msongo wa mawazo*

πŸ‘‡ *4. Kufika kileleni mapema* *5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa.*
πŸ‘‡πŸ‘‡
*Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume linapokuwa limekomaa* *6.Uume kusinyaa na kurudi ndani.*
πŸ‘‡πŸ‘‡
*Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa hali hii husababishwa na upigaji punyeto kw a mda mrefu pia magonjwa hasa chango lΓ‘ kiume au ngiri*
βž–βž–βž–βž–βž–βž–
MWANAUME REJESHA FURAHA KATIKA NDOA YAKO KWA KUPATA SULUHISHO SAHIHI LA TIBA.
πŸ‘‡πŸ‘‡
☎️ 0759329260
Tupo mikoa yote Tanzania

*TATIZO LA URIC ACID KUZIDI KIASI KWENYE DAMU* (Mafuta mengi na SUMU nyingi) *Kupanda kwa uric acidi*  ni hali ambayo hu...
06/07/2023

*TATIZO LA URIC ACID KUZIDI KIASI KWENYE DAMU*
(Mafuta mengi na SUMU nyingi)

*Kupanda kwa uric acidi* ni hali ambayo hutokea endapo kiwango cha uric asidi kimekuwa kikubwa kuliko kiwango cha kawaida.
πŸ’Ž *Figo kuferi ni* kisababishi kinachoongoza kusababisha kupanda kwa uric asidi kwenye damu kwa asilimia 85 hadi 90,
,πŸ’Žwakati asilimia 10 hadi 15 huchangiwa na matatizo mengine yanayosababisha kuongezeka kwa uzalishaji wa uric asidi kwenye damu.

*Uric asidi hutokea wapi?*

πŸ’ŽUric asidi *hutengenezwa kwenye* damu kutokana na kuvunywavunywa kwa kiungo kimojawapo kinachotengeneza vinasaba kiitwacho *purine* ambacho hupatikana kwenye vyakula na pia huzalishwa mwilini.
πŸ’Ž *Baada ya kuzalishwa uric asidi husafilishwa* kwa njia ya damu na kuelekea kwenye figo kwa ajili ya kutolewa kwenye mkojo kwa kiasi kukubwa na kuacha kiasi *kidogo kwenye damu* ambacho hakina madhara.

πŸ’Ž *Inasemekana mtu mmoja kati ya watano* huwa na kiwango cha *juu cha uric asidi kwenye* damu.
πŸ’Ž *Kuwa na kiango cha juu cha uric asidi* huambatana/husababisha matatizo ya *gauti na kufanyika kwa* *mawe kwenye figo, licha* ya hivyo watu wenye kiwango cha juu cha uric asidi huwa hawaonyeshi dalili.

πŸ”‹ *Vihatarishi ni vya* kupanda kwa uric aside kwenye damu na hatari ya kupata tatizo la gauti ni
πŸ”‹ *Kunywa pombe kupita* kiasi *(bia na pombe* jamii ya spiriti)
πŸ”‹ *Kula vyakula vyenyenyama, au nyama* kwa wingi na viumbe wa baharini, uyoga, maharage makavu, kunde, ini na vingine
πŸ”‹ *Matumizi ya dawa za kupunguza maji mwilini*
πŸ”‹ *Dawa jamii ya beta* blocker
πŸ”‹ *Dawa jamii ya ACE na* ARB(isipokuwa lorsatan)
πŸ”‹ *Presha kuwa* juu(shinikizo la damu lililopitiliza)
πŸ”‹ *Uzito kupita kiasi*
Matumizi ya dawa za kushusha kinga za mwili

*Visababishi vya kupanda* *kwa uric aside kwenye damu kutokana na*
πŸ”‹ *kuongezeka kwa* uzalishaji wa purine na kemikali ya urate ambavyo vimegawanyika katika makundi mbalimbali ikiwa pamoja na

πŸ’Ž *Matatizo ya kurithi k**a*
Upungufu wa kimeng’enya HGPT(hypoxathine guanine phosphoribotransferase)
πŸ’Ž *Kuongezeka kwa utendaji kazi wa* kimeng’enya cha PTS
πŸ’Ž *Upungufu wa* kimeng’enya cha Glucose-6-phosphate

πŸ’Ž *Magonjwa k**a*
Udhaifu katika Uzalishaji mwingi wa chembe

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Julius AFYA CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram