Emmanuel & Fursa

Emmanuel & Fursa Tezi dume inatibika pata dawa kwa punguzo kubwa
Offer ni siku 3 tu
nipigie 0767595644
Dr. Emmanuel Wife

03/04/2024

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

PATA DAWA KWA PUNGUZO KUBWA MSIMU HUU
Dtk. Emmanuel Theophilo

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni k**a;

🌈.Kuwahi kufika kileleni
🌈.Kukosa hamu ya mapenzi
🌈.Kushindwa kurudia tendo la ndoa
🌈.Maumbile ya uume kuwa madogo/kusinyaa
🌈.Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
🌈.Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
🌈.Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
🌈.Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
🌈.Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
🌈.Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

TAFADHALI BONYEZA WHATSAPP BATON
au nipigie 0767595644
Upate dawa kwa punguzo KUBWA
Dkt. Emmanuel Theophilo

Karibu upate huduma za kiafya kwa haraka na uhakika
03/04/2024

Karibu upate huduma za kiafya kwa haraka na uhakika

22/02/2024

DUME DALILI, NA LA
Saratani ya tezi dume ni ugonjwa hatari unaoathiri maelfu ya wanaume duniani kote kila mwaka.

Kupata Suruhisho piga Simu 0767595644
.
https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
πŸ‘†πŸΎHaha zaidi hapo Subscribe ili kupata tarifa zaidi kuhusu Afya yako Asante.

Ya Tezi Dume:
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo. Tezi dume sio ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.

Dume Inapatikana Wapi Katika Mwili?
Tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Za Tezi Dume Katika Mfumo Wa Uzazi:
kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye korodani, ambapo wakati wa tendo la ndoa, mwanaume anapofika kileleni, tezi dume hukamulia majimaji (shahawa) ndani ya mrija wa mkojo na kutolewa pamoja na mbegu za kiume k**a manii (Semen). Pia husaidia mbegu za kiume kubaki na uhai kwa muda unaostahili.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
πŸ‘†πŸΎHaha zaidi hapo

Aina za Ya Tezi Dume:
Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume ambazo ni;

1) Maambukizi ya bakteria (Prostatitis).

2) Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostate Hyperplasia-BPH)).

3) Saratani ya tezi dume.

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani (cancer). Tatizo Linakuja kiungo hiki (tezi dume) kinapoanza kutanuka kutokana na kugawanyika Kwa chembe chembe hai zake bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili.

Chembechembe hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa tezi dume.

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea.

Chanzo Cha Kupata Tezi Dume:
Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

a) UMRI (Age).

Wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

b) KURITHI (Genetics).

Familia yenye historia na saratani hii ipo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

c) LISHE HATARISHI.

Ulaji kwa wingi wa nyama nyekundu, mafuta (samli), maziwa ya krimu hongeza hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

d) UNENE ULIOKITHIRI (Obesity).

e) UKOSEFU WA MAZOEZI.

f) UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO, mfano vitamini D.

g) MAAMBUKIZI YA MARA KWA MARA KWENYE TEZI DUME.

h) MATUMIZI YA POMBE KALI, NA UVUTAJI WA SIGARA.

i) UWEPO WA SUMU NYINGI MWILINI.

Dalili Za Saratani Ya Tezi Dume:
Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (Benign Prostate Hyperplasia). Dalili hizo ni pamoja na;

a) Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

b) Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

c) Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

d) Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

e) Kutoa mkojo au manii yaliyochanganyika na damu.

f) Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili k**a saratani imesambaa.

g) Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

Kumbuka: Mtu mwenye tatizo katika tezi dume huanza kwa dalili ndogo ndogo sana mpaka mtu apate saratani ya tezi dume(prosate cancer) ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu si chini ya miaka isiyopungua 10. Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo(urethra) wakati unakojoa ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija baada ya muda unazalisha”Uric acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

nyingi saratani ziko katika stage nne ambapo stage ya 1 na ya 2 ukiwahi unaweza kupona lakini ikishafika stage ya 3 na ya 4, hazitibiki bali unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Cha Tezi Dume:
Katika hatua za awali, tezi dume inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole cha Shahada. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole cha shahada kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi dume imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kipimo hiki kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

digital re**al examination(DRE)
Kipimo kingine ni kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya protini iitwayo ”Prostate Specific Antigen (PSA), protini hii huwa juu kuliko kawaida k**a mtu ana saratani ya tezi dume na wakati mwingine k**a ana maambukizi (Prostatitis).

Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabara.

Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonesha ukubwa na sura ya tezi dume.

Vipimo vya CT scan na MRI kutambua k**a saratani imesambaa sehemu zingine za mwili.

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
πŸ‘†πŸΎHaha zaidi hapo

dume iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au Mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia tatu za kudhibiti tezi dume iliyotanuka ambazo ni;

1) Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na daktari.
Imashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a dawa, upasuaji na tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2) Madawa.
Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi dume yaligunduliwa miaka30 iliyopita yanasababisha athari kwenye ini, moyo, na kuvimbisha magoti,yamepigwa marufuku katika nchi haswa za ulaya.”(Johnathon Waxman, cancer specialist Hammer Smith Hospital, London).

3) Upasuaji.
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea ”70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

Kumbuka: Matibabu ya saratani ya tezi dume yanategemea hatua ya ugonjwa na umri wa mgonjwa.

https://youtu.be/OWK8M8LamkU?si=370kRS_hfthgVJX3
πŸ‘†πŸΎHaha zaidi hapo

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Yafuatayo ni madhara ya tezi dume iliyotanuka ambayo ni pamoja na;

a) Kibofu cha mkojo kuuma; hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharubu figo na ini n.k

b) Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa.

c) Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure).

d) Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika).

e) Ugumba (infertility, frigidity for men).

f) Kutokea kwa majipu sehemu ya tezi dume.

g) Kifo.

Madhara Ya Upasuaji wa Tezi Dume:
Baada ya mgonjwa wa saratani ya tezi dume kufanyiwa upasuaji, madhara yafuatayo yanaweza kutokea;

1) Kukosa uwezo wa kufikia mshindo yani hutoi shahawa (retrogade ej*******on).
Wazee wengi hulalamika sana baada ya upasuaji wa tezi dume hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.

2) Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hiyo wakati wa kufanyiwa upasuaji.
Baada ya upasuaji wa tezi dume, mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.

3) Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Urine Incontinence).
Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni. Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.

4) Kutokwa na damu katika siku za awali baada ya upasuaji.
Mara baada ya upasuaji wa tezi dume kupitia njia ya mkojo, Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.

5) Ugumba.
Kwa kawaida wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ndoa, misuli maalumu hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.

Kinga Ya Saratani Ya Tezi Dume:
1) Fanya mazoezi ya mwili na uwe na uzito unaostahili ukilinganisha na urefu wako.

2) Kula vyakula vyenye mafuta kiasi na hasa ya mimea, vyakula vyenye asili/vyenye soya, vyakula vyenye” lycopene”(inapatikana kwenye nyanya), tikiti maji na matunda mengine, mboga za majani kwa wingi na samaki.

La Kudumu La Saratani Ya Tezi Dume:
Tezi dume inatanuka kwa sababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili Unavihitaji. Hivyo basi tumekuandalia progam maalumu kwa wenye changamoto hii ya kutanuka kwa tezi dume na mfumo wa uzazi wa mwanaume. Tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu.Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na Nadhifu. Kwa yeyote atakayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya tezi dume (Prostate gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume awasiliane nasi kwa simu namba 0767595644
Dkt. Emmanuel Theophilo

    DUME DALILI,   NA   LA  Saratani ya tezi dume ni ugonjwa hatari unaoathiri maelfu ya wanaume duniani kote kila mwaka...
22/02/2024

DUME DALILI, NA LA
Saratani ya tezi dume ni ugonjwa hatari unaoathiri maelfu ya wanaume duniani kote kila mwaka.

Kupata Suruhisho piga Simu 0767595644
.

Ya Tezi Dume:
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo. Tezi dume sio ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.

Dume Inapatikana Wapi Katika Mwili?
Tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Za Tezi Dume Katika Mfumo Wa Uzazi:
kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye korodani, ambapo wakati wa tendo la ndoa, mwanaume anapofika kileleni, tezi dume hukamulia majimaji (shahawa) ndani ya mrija wa mkojo na kutolewa pamoja na mbegu za kiume k**a manii (Semen). Pia husaidia mbegu za kiume kubaki na uhai kwa muda unaostahili.

Aina za Ya Tezi Dume:
Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume ambazo ni;

1) Maambukizi ya bakteria (Prostatitis).

2) Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostate Hyperplasia-BPH)).

3) Saratani ya tezi dume.

Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani (cancer). Tatizo Linakuja kiungo hiki (tezi dume) kinapoanza kutanuka kutokana na kugawanyika Kwa chembe chembe hai zake bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili.

Chembechembe hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa tezi dume.

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea.

Chanzo Cha Kupata Tezi Dume:
Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

a) UMRI (Age).

Wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

b) KURITHI (Genetics).

Familia yenye historia na saratani hii ipo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

c) LISHE HATARISHI.

Ulaji kwa wingi wa nyama nyekundu, mafuta (samli), maziwa ya krimu hongeza hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume.

d) UNENE ULIOKITHIRI (Obesity).

e) UKOSEFU WA MAZOEZI.

f) UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO, mfano vitamini D.

g) MAAMBUKIZI YA MARA KWA MARA KWENYE TEZI DUME.

h) MATUMIZI YA POMBE KALI, NA UVUTAJI WA SIGARA.

i) UWEPO WA SUMU NYINGI MWILINI.

Dalili Za Saratani Ya Tezi Dume:
Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (Benign Prostate Hyperplasia). Dalili hizo ni pamoja na;

a) Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

b) Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

c) Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

d) Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

e) Kutoa mkojo au manii yaliyochanganyika na damu.

f) Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili k**a saratani imesambaa.

g) Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

Kumbuka: Mtu mwenye tatizo katika tezi dume huanza kwa dalili ndogo ndogo sana mpaka mtu apate saratani ya tezi dume(prosate cancer) ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu si chini ya miaka isiyopungua 10. Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo(urethra) wakati unakojoa ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija baada ya muda unazalisha”Uric acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Mara nyingi saratani ziko katika stage nne ambapo stage ya 1 na ya 2 ukiwahi unaweza kupona lakini ikishafika stage ya 3 na ya 4, hazitibiki bali unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Kipimo Cha Tezi Dume:
Katika hatua za awali, tezi dume inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole cha Shahada. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole cha shahada kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi dume imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kipimo hiki kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

digital re**al examination(DRE)
Kipimo kingine ni kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya protini iitwayo ”Prostate Specific Antigen (PSA), protini hii huwa juu kuliko kawaida k**a mtu ana saratani ya tezi dume na wakati mwingine k**a ana maambukizi (Prostatitis).

Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabara.

Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonesha ukubwa na sura ya tezi dume.

Vipimo vya CT scan na MRI kutambua k**a saratani imesambaa sehemu zingine za mwili.

Matibabu Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

Tezi dume iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au Mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia tatu za kudhibiti tezi dume iliyotanuka ambazo ni;

1) Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na daktari.
Imashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a dawa, upasuaji na tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2) Madawa.
Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi dume yaligunduliwa miaka30 iliyopita yanasababisha athari kwenye ini, moyo, na kuvimbisha magoti,yamepigwa marufuku katika nchi haswa za ulaya.”(Johnathon Waxman, cancer specialist Hammer Smith Hospital, London).

3) Upasuaji.
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea ”70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

Kumbuka: Matibabu ya saratani ya tezi dume yanategemea hatua ya ugonjwa na umri wa mgonjwa.

Madhara Ya Saratani Ya Tezi Dume:
Yafuatayo ni madhara ya tezi dume iliyotanuka ambayo ni pamoja na;

a) Kibofu cha mkojo kuuma; hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharubu figo na ini n.k

b) Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa.

c) Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure).

d) Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika).

e) Ugumba (infertility, frigidity for men).

f) Kutokea kwa majipu sehemu ya tezi dume.

g) Kifo.

Madhara Ya Upasuaji wa Tezi Dume:
Baada ya mgonjwa wa saratani ya tezi dume kufanyiwa upasuaji, madhara yafuatayo yanaweza kutokea;

1) Kukosa uwezo wa kufikia mshindo yani hutoi shahawa (retrogade ej*******on).
Wazee wengi hulalamika sana baada ya upasuaji wa tezi dume hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.

2) Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hiyo wakati wa kufanyiwa upasuaji.
Baada ya upasuaji wa tezi dume, mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.

3) Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Urine Incontinence).
Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni. Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.

4) Kutokwa na damu katika siku za awali baada ya upasuaji.
Mara baada ya upasuaji wa tezi dume kupitia njia ya mkojo, Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.

5) Ugumba.
Kwa kawaida wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ndoa, misuli maalumu hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.

Kinga Ya Saratani Ya Tezi Dume:
1) Fanya mazoezi ya mwili na uwe na uzito unaostahili ukilinganisha na urefu wako.

2) Kula vyakula vyenye mafuta kiasi na hasa ya mimea, vyakula vyenye asili/vyenye soya, vyakula vyenye” lycopene”(inapatikana kwenye nyanya), tikiti maji na matunda mengine, mboga za majani kwa wingi na samaki.

Suluhisho La Kudumu La Saratani Ya Tezi Dume:
Tezi dume inatanuka kwa sababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili Unavihitaji. Hivyo basi tumekuandalia progam maalumu kwa wenye changamoto hii ya kutanuka kwa tezi dume na mfumo wa uzazi wa mwanaume. Tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu.Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na Nadhifu. Kwa yeyote atakayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya tezi dume (Prostate gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume awasiliane nasi kwa simu namba 0767595644
Dkt. Emmanuel Theophilo

09/02/2024

Njoo upate Tiba mapema tatizo lako linatibika

KARIBU SANA UPATE TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIONA Dkt. Emmanuel Theophilo0767595644
09/02/2024

KARIBU SANA UPATE TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO
NA Dkt. Emmanuel Theophilo
0767595644

Nakukaribisha katika semina siku ya JUMAPILI Saa 7:00 mchana LocationMWENGE COMPLEXNjoo Ujifunze jinsi ambavyo unaweza k...
23/01/2024

Nakukaribisha katika semina siku ya JUMAPILI Saa 7:00 mchana
Location
MWENGE COMPLEX

Njoo Ujifunze jinsi ambavyo unaweza kuingiza Zaidi ya Tshs 300,000 Kila wiki kwa kutumia muda wako wa ziada tena kwa mtaji mdogo sana kwa kutumia mfumo wa biashara ya kimtandao.

0767 595 644
Nipigie kujua zaidi pia nijukishe k**a utahudhulia.

kidogo hapa

, umechoka kufanya kazi usiku na mchana na kuishia kupata haba?

Je, umechoka kuhairisha shughuli za kubudurika na wale uwapendao kisa hupati MUDA?

Je, uko tayari kujituma na kufanya kazi kwa bidii kwenye biashara yako inayoweza kubadili maisha yako?

Ondoa shaka, SUMA ndio funguo wa kutimiza ndoto zako na zaidi!

BF SUMA ni nini?
BF SUMA
✨Bright Future
✨ Superior
✨Unique
✨Manufacturer of America
Hii ni kampuni inayozalisha MBADALA ZA KIASILI zenye ubora wa hali ya juu, ubora wa kimataifa.
Kampuni ilianza mwaka 1993 mjini Hong Kong ikizalisha dawa mbadala za mifupa.
Baada ya muda mfupi, kampuni ilisambaa hadi Marekani kwa sababu ya WAKE WA KIPEKEE.
Kampuni iliendelea kusambaa haraka duniani kote kwa sababu ya WA BIDHAA ZAKE. Iliingia Tanzania Febuari 2012.
Unataka kujua zaidi kuhusu SUMA?
Basi unakarishwa katika SEMINA hii kubwa
uanze safari ya mafanikio pamoja na sisi

09/01/2024

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ——π—’π—‘π——π—” 𝗩𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗒 (π—¨π—Ήπ—°π—²π—Ώπ˜€)
NA DAWA YAKE
Dkt. Emmanuel 0767595644

πŸ‘‡
πŸ€ Kichefu chefu hasa Wakati wa kula au baada ya kula
πŸ€ Kupoteza Hamu ya kula na kubagua Vyakula
πŸ€ Tumbo Kuwaka Moto
πŸ€ Tumbo Kuunguruma
πŸ€ Gesi nyingi Tumboni
πŸ€ Kiungulia Mara Kwa Mara
πŸ€ Tumbo Kuuma Ukichelewa kula au baada ya kula na hasa ukila vyakula vya Mafuta, kukaanga na fast food zote au vyenye viungo sana
πŸ€ Kucheua sana hasa vitu vichachu au Vichungu
πŸ€ Kukaukiwa sana maji kwenye Koo
πŸ€ Kuishiwa Nguvu Unapokosana na vitu Fulani
πŸ€ Kupoteza fahamu
πŸ€ Kuumwa Kichwa mara kwa mara
πŸ€ Macho kuuma na kupoteza uono
πŸ€ Vichomi kifuani na kuumwa kifua
πŸ€ Kubanwa pumzi
πŸ€ Kukosa choo na kupata choo kigumu (Constipation)
πŸ€ Kumwa Mgongo Upande wa Kushoto na Mbavu
πŸ€ Moyo Kulipuka, Kuchoma, na Mapigo ya Moyo kwenda Mbio
πŸ€ Kupata Hofu isiyo na Sababu Yoyote hasa Usiku
πŸ€ Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa na Kushindwa Kuhimili vizuri Tendo kwa Jinsia Zote

π—žπ—ͺ𝗔 π—§π—œπ—•π—” 𝗑𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨π—₯π—œ π—­π—”π—œπ——π—œ
Tembelea Ofisi Zetu Zilizopo Nchi Nzima au Tupigie Sasa Kupitia

☎️0767595644

Address

Mwenge Complex
Dar Es Salaam
AFRICADARESSALAAM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmanuel & Fursa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Emmanuel & Fursa:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram