03/09/2025
Septemba hii ni mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani za Damu.
Saratani za damu bado ni miongoni mwa magonjwa yanayoathiri watu wengi duniani na kuhatarisha maisha, lakini uelewa kuhusu yake bado ni mdogo. Mwezi huu tutaleta mwanga juu ya dalili, ishara na athari kubwa za saratani hizi kwa watu binafsi, familia na jamii.
Shirika la Blood Cancer Foundation of Tanzania likishirikiana na SerenOx Africa limejipanga kutumia kipindi hiki kushirikisha rasilimali muhimu, simulizi na maarifa yanayoweza kuwapa watu nguvu kupitia taarifa sahihi.
Endelea kutufuatilia โ itakuwa mwezi wa kufungua macho na kugusa maisha.
---
This September marks Blood Cancer Awareness Month.
Blood cancers remain some of the worldโs most prevalent and life-threatening diseases, yet awareness is often limited. This month, we will shine a light on the signs, symptoms, and the far-reaching impact of blood cancers on individuals, families, and communities.
The Blood Cancer Foundation of Tanzania, together with SerenOx Africa, is dedicated to using this time to share vital resources, stories, and knowledge that can empower people with the information they need most.
Stay tuned โ itโs going to be an eye-opening and impactful month.