11/08/2023
✍️✍️JAMBO USILOLIJUA NI KWAMBA MBOGA YA MAJANI HII IJULIKANAYO KWA JINA LA BROCCOLI🥦🥦 INA KIASI KIKUBWA CHA ANTIOXIDANTS AMBAYO USAIDIA KUZUIA UENEAJI ZAIDI WA VIDONDA KWENYE KUTA ZA TUMBO, , , LAKINI PIA KUNA COMPOUND INAYOJULIKANA KWA JINA LA SULFORAPHANE (Isothiocyanate) KAZI YAKE NI KUSAIDIA KUPUNGUZA UZALIANAJI WA BACTERIA WAITWAO H.pylori NDANI YA TUMBO NA KUZUIA MADHARA ZAIDI YA VIDONDA VYA TUMBO, , , HIVYO UNASHAURIWA KUTUMIA MBOGA HII NA IKIWEZEKANA KUNYWA JUICE YAKE HATA MALA MOJA KWA SIKU ITAKUSAIDIA🥦🥦📌📌📌