cpheo1

cpheo1 CPHEO...is Non Government Organization...our Goals is to reach drug users community , to empower drug users through education..

21/07/2025

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kuwaenzi Watumiaji wa Dawa za Kulevya waliopoteza maisha, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 21 Julai.

Hii ni siku muhimu ya kutafakari na kuwaenzi wale ambao maisha yao yamepotea au kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kutokana na unyanyapaa, uhalalishaji wa ukatili, na ukiukwaji wa haki za binadamu unaohusiana na matumizi ya dawa za kulevya.

Licha ya athari kubwa za masuala yanayohusiana na matumizi ya dawa za kulevya katika jamii zetu, mada hii bado haijapewa kipaumbele inavyostahili—mara nyingi inafunikwa na hukumu, hofu, na ubaguzi wa kimfumo. Katika maeneo mengi duniani, ikiwemo kanda yetu, vifo vinavyotokana na overdose ambavyo vinaweza kuzuilika vinaendelea kuwa miongoni mwa sababu kuu za vifo kwa watu wanaotumia dawa za kulevya—sambamba na kiharusi, mshtuko wa moyo, saratani, na uonevu wa raia.

Tunapowakumbuka waliotangulia mbele za haki, tunapaswa pia kuimarisha juhudi za kuchukua hatua—kudai sera zinazozingatia ushahidi, upatikanaji wa huduma za kupunguza madhara, kuondoa uhalifu katika matumizi ya dawa, na kuheshimu utu pamoja na haki za watumiaji wa dawa za kulevya.

Tukumbuke, tuwaenzi, na tuchukue hatua.

Open ,like
28/05/2024

Open ,like

Tukiwa ktk kujengeana uwezo...CPHEO-SUPPORT
cpheotz
CPHEO Tanzania
CP Heo

Tukiwa ktk kujengeana uwezo...CPHEO-SUPPORTcpheotz CPHEO Tanzania CP Heo
28/05/2024

Tukiwa ktk kujengeana uwezo...CPHEO-SUPPORT
cpheotz
CPHEO Tanzania
CP Heo

Mkutano WA kuwasilisha robo ya mafanikio, ya mradi KPIF Afya Kwanza Kwa Wadau wa Afya Mkoa WA DAR na Wilaya Temeke.Cpheo...
07/07/2021

Mkutano WA kuwasilisha robo ya mafanikio, ya mradi KPIF Afya Kwanza Kwa Wadau wa Afya Mkoa WA DAR na Wilaya Temeke.
Cpheo iliandaa mkutano huu mapema Jana 6/7/2021 ktk moja ya ukumbi ndani ya uwanja wa Mkapa (Taifa Dead redemption

Cpheo Peers together with other  peer educators..participating Training of Afya Kwanza.
07/04/2021

Cpheo Peers together with other peer educators..participating Training of Afya Kwanza.

Cpheo together with Medicine du Monde and Mukikute after press conference with local medias...main point was 26 june... ...
18/06/2020

Cpheo together with Medicine du Monde and Mukikute after press conference with local medias...main point was 26 june... day

  ONLINE CONFERENCE IT WILL BE GOOD
14/06/2020

ONLINE CONFERENCE IT WILL BE GOOD

14/06/2020
18/03/2020

MABADILIKO SABABU YA CORONA.
CPHEO imefanya mabadiliko ktk kuibua wahisiwa wa TB..kwasasa tutafanya ktk kata ya Sandali Temeke..

12/03/2020

WE ARE COMMUNITY PEERS FOR HEALTH AND ENVIROMENT ORGANISATION..we have responsibilities in community, most of it is to empower drugs users community through education.

Shirika letu la Cpheo kupitia kwa Peers wake wenye uweledi tunaendelea kuibua Wahisiwa wa ugonjwa wa Kifua kikuu ktk jam...
12/03/2020

Shirika letu la Cpheo kupitia kwa Peers wake wenye uweledi tunaendelea kuibua Wahisiwa wa ugonjwa wa Kifua kikuu ktk jamii...hasa za watumia dawa za kulevya.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when cpheo1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to cpheo1:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram