Dr. Aretha MediCare

Dr. Aretha MediCare Official Page For Dr. Aretha MediCare

1. Kupeana taarifa mbalimbali kuhusu masula ya afya,

Packed & Supplied By:Dr. Aretha MediCare
11/06/2023

Packed & Supplied By:
Dr. Aretha MediCare

Piga namba kwenye TANGAZO
08/06/2023

Piga namba kwenye TANGAZO

25/07/2022
14/07/2022

𝐌𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐝𝐨𝐤𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚!!!

BMH wajitengenezea kitabu cha mwongozo wa DawaNa.WAF,DodomaWaziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amezindua kitabu cha Mwongozo...
01/07/2022

BMH wajitengenezea kitabu cha mwongozo wa Dawa

Na.WAF,Dodoma

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amezindua kitabu cha Mwongozo wa wa utoaji Dawa(Benjamin Mkapa Hospital Formulary) utakaotumiwa na waandika Dawa (Prescribes), Wafamasia,Wachunguzi na Wauguzi katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

Kitabu hicho kimekuja ikiwa ni kutekeleza wa agizo lake la kuhakikisha dawa zinapatikana ndani ya Hospitali na kuondoa usumbufu wa wagonjwa kwenda kutafuta dawa nje ya hospitali.


Mwongozo huu umeandaliwa kwa kuzingatia Mwongozo wa Matibabu Tanzania na Orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (Standard Treatment Guideline of Tanzania and National Essential Medicine List) ambao unalenga kukuza matumizi sahihi ya dawa kwa wagonjwa wanaopatiwa matibabu Hospitalini hapo ili kuboresha afya zao.

Pia, Mwongozo huu utasaidia katika kuongeza upatikanaji wa dawa kwenye hospitali kwa kuwa unaainisha orodha ya dawa zinazohitajika zaidi hapo hospitalini na kuondoa wigo mpana wenye dawa nyingi ambazo huwa ni vigumu kupatikana hapa nchini.

Utekelezaji wa mwongozo huu utapunguza gharama zisizo za lazima kwenye ununuzi wa dawa na vifaa tiba.

TAARIFA: Upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana ( Rehema & Neema), umefanyika kwa MAFANIKIO.
01/07/2022

TAARIFA:
Upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana ( Rehema & Neema), umefanyika kwa MAFANIKIO.

 Tarehe 1 Julai 2022, Hospitali ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wam...
29/06/2022


Tarehe 1 Julai 2022, Hospitali ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lakini kila mtoto ana ini lake), upasuaji huo unategemewa kufanyika kwa saa 6 hadi 7 .Tanzania itakuwa nchi ya tatu Barani Afrika kufanya upasuaji huu baada ya Afrika ya Kusini na Misri.

Kumekucha
25/06/2022

Kumekucha

23/06/2022


Mapendekezo ya Bima ya Afya kwa wote yapitishwa.

Dodoma

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) leo tarehe 23 Juni,2022 wamepitisha mapendekezo ya Bima ya Afya kwa wote nchini.

Wajumbe hao wamepitisha mapendekezo hayo kwenye semina iliyoandaliwa na Wizara ya Afya ya kuimarisha mfumo wa bima ya afya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa White house jijini Dodoma.

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hatua hiyo inapelekea Wizara ya Afya kwenda kutunga sheria ya Bima ya Afya kwa wote na kuongeza kuwa kiasi kitakacholipwa na mwananchi kwa mwaka atapata huduma za matibabu k**a mtumishi wa Serikali, kuanzia ngazi ya Zahanati, Kituo cha Afya, hospitali ya Wilaya, Rufaa za Mkoa, Kanda, Maalumu na hata Taifa ya Muhimbili.

"Hii itasaidia kwa Watanzania wote kupata huduma bora za Afya bila kikwazo cha fedha pia Serikali itahakikisha Dawa zinapatikana kwa wakati na zinazokidhi mahitaji ya wagonjwa". Amesema Waziri Ummy

19/06/2022

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 21:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Aretha MediCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Aretha MediCare:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram