Mayox Herbal medicine

Mayox Herbal medicine mayox herbal medicine

*_PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKEPELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)-Ni maambukizi katika viu...
16/11/2025

*_PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE

PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)

-Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye O***y (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).

-Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID

*_DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)_*
-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:
⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.
▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.
▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).
▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.
▶️ Hupatwa na kichefuchefu.
▶️ Kutapika
▶️ Miwasho sehemu za
siri
▶️ Uchovu
▶️ Uke kuwa mlaini sana
▶️ Kizunguzungu
▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

*ATHARI ZA PID*
⚫ Ugumba kwa wanawake
⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.
⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.
⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.
⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).

*JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID*

⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani.
⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi.
⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan
⚫ Kula lishe bora.
⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)

Wasiliana nasi mayox herbal medicine kwa msaada wa kitaalamu zaidi juu ya changamoto mbalimbali za kiafya k**a vile vidonda vya tumbo, acid reflux (GERD), PID, UTI, fangasi ukeni, nguvu za kiume na maradhi mengineyo.

Mawasiliano: 0744 821 891 na 0784 387. 440

*DALILI ZA KUZIDI KWA ACID TUMBONI ACID REFLU/GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE/ACID REFLUX.* 1: kubeua/kucheua (regurgita...
15/10/2025

*DALILI ZA KUZIDI KWA ACID TUMBONI ACID REFLU/GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE/ACID REFLUX.*

1: kubeua/kucheua (regurgitation/food backwash).

2: Maumivu ya kuwaka moto sehemu ya kati ya kifua yanayosambaa mpaka katika mabega hasa la kushoto.

3: kiungulia (heartburn)

4: tumbo kujaa gesi (bloating).

5: Mapigo ya moyo kwenda mbio.

6: wasiwasi usioisha.

7: kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni na ukijaribu kukitoa hakitoki.

8: kuwasha kwa koo la chakula (esophagus) na kuvimba.

9: Kupumua kwa shida.

10: kikohozi kikavu na kisichoisha.

11: kupiga chafya mara kwa mara.

12: kupata choo kigumu.

13: Harufu mbaya kinywani.

14: kuhisi k**a kuchanganyikiwa.

15: Maumivu ya mgongo.

16: Maumivu ya kichwa.

17: Sauti kukwaruza.

18: Kumeza chakula kwa shida.

*SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA MTU KUPATWA GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE* .

*a* ) Matumizi ya vyakula vilivyo na acid mfano machungwa, malimao, nyanya na ndimu.

*b* ) Matumizi ya vyakula vilivyo na pilipili nyingi.

*c* ) Matumizi ya vyakula ambavyo vimepikwa kwa viungo vingi mfano pilau.

*d* ) Matumizi ya dawa za kutuliza maumivu Non-steroidal anti-inflammatory drugs mara kwa mara.

*e* ) Msongo wa mawazo.

*f* ) Matumizi ya vinywaji vikali kupita kiasi k**a vile pombe.

*g* ) Uvutaji wa sigara.

*h* ) Ngiri (hietus hernia).

*i* ) Mimba.

*J* ) Kuongezeka kwa baadhi ya hormone ndani ya mwili mfano progesterone na oestrogen.

*K* ) Uzito kupita kiasi.

*l* ) Vidonda vya tumbo.

*m* )Maambukizi ya H. pylori bacteria tumboni.

MADHARA YA GASTROESOPHAGEAL REFLUX DISEASE (KUZIDI KWA ACID TUMBONI).

1: Uvimbe kooni ( esophagitis).

2: Vidonda kooni (esophageal ulcers).

3: Barrett's esophagus ni hali ambayo ukuta wa pinki wa koo la chakula ( rangi ya ngozi) hubadilika na kuwa na rangi nyekundu na kuongezeka unene au
Ni hali ambayo seli za ukuta wa koo la chakula huanza kupatwa na hali tangulizi ya kansa , seli hizi za ukuta wa koo la chakula huonekana sawa na seli zilizoathiriwa na kansa isipokuwa hukosa baadhi ya sifa za seli zilizoathiriwa na kansa k**a kuvunjika au kujigawa kupitia membrane ya organi zinapotokea na kusambaa katika organ zingine.

3: kupungua kwa kipenyo cha koo la chakula (esophageal stricture).

4: Maumivu wakati wa kumeza chakula kwa sababu ya Vidonda na Uvimbe.

5: Fangasi mdomoni.

6: Meno kuoza.

7: Sauti kukwaruza.

8: maumivu ya kifua, mgongo na mwili mzima .

9: Macho kukosa uwezo wa kuona vizuri.

10: Kutoa harufu mbaya kinywani.

11: Mwili kukosa nguvu.

12: Homa.

13: Kupatwa na choo kigumu (constipation).

14: Kupungua kwa nguvu za kiume.

FANYA MATIBABU NASI MAYOX HERBAL MEDICINE YA ACID REFLUX KUZIDI KWA ACID TUMBONI NA VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKA NA GHARAMA NAFUU KABISA.

MAWASILIANO;

0784387440 NA
0744 821 891.

TUNAPATIKANA
DAR ES SALAAM, ILALA NA KIBAHA KONGOWE.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:45
Tuesday 08:00 - 20:45
Wednesday 08:00 - 20:45
Thursday 08:00 - 20:45
Friday 08:00 - 20:45
Saturday 08:00 - 20:45
Sunday 08:00 - 20:45

Telephone

+255744821891

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mayox Herbal medicine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mayox Herbal medicine:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram