10/05/2023
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI??
Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume saba (7) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara (Virutubisho lishe) na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo hili.
DALILI ZA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana. Na dalili hizo ni k**a;
•Kuwahi kufika kileleni
•Kukosa hamu ya mapenzi
•Kushindwa kurudia tendo la ndoa
•Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
•Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; •Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
•Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo.
*Kwa kupata Tiba lishe au ushauri Karibu kuwasiliana nasi kwa namba 0767193747 Calls/WhatsApp.