Hajra Health Solution

  • Home
  • Hajra Health Solution

Hajra Health Solution Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hajra Health Solution, Medical and health, .

------------------------------------KIPIMO CHA MWILI MZIMA------------------------------------Kupima afya yako ni muhimu...
12/09/2023

------------------------------------
KIPIMO CHA MWILI MZIMA
------------------------------------
Kupima afya yako ni muhimu!

Kawaida: Shilingi 80,000
OFA Maalum: Shilingi 20,000

Tarehe: 13 Septemba - 20 Septemba

Huduma Zinazojumuisha:
- Uchunguzi wa Mwili Mzima
- Uchambuzi wa Damu
- Matokeo Haraka

Wasiliana Nasi Sasa:
Simu: wa.me/255657004001

Fursa ya pekee ya kujali afya yako bila gharama kubwa!

------------------------------------
```

``Menstrual cramps ni maumivu ya kukak**aa kwa misuli ya eneo la chini ya tumbo. Wanawake wengi hupata maumivu haya kabl...
11/09/2023

``Menstrual cramps ni maumivu ya kukak**aa kwa misuli ya eneo la chini ya tumbo. Wanawake wengi hupata maumivu haya kabla kidogo au wakati wakiwa kwenye siku zao.
Kwa baadhi ya wanawake, maumivu haya huwa ni ya kuwakosesha raha. Kwa wengine, huwa ni makubwa kiasi cha kuwafanya washindwe kuendelea na shughuli zao za kila siku kwa siku kadhaa kila mwezi.
Primary dysmenorrhea ni maumivu ya wakati wa hedhi ambayo hujirudiarudia kila mwezi na ambayo hayatokani na magonjwa mengine ya mwili.
Maumivu haya ya wakati wa hedhi ambayo hayana sababu za kueleweka, hupungua kadri mwanamke anavyozidi kuwa na umri mkubwa na mara nyingi hupungua sana mara baada ya kuzaa.
Secondary dysmenorrhea ni maumivu ya wakati wa siku za mwanamke ambayo yanatokana na dosari katika viungo vya uzazi vya mwanamke, k**a endometriosis, adenomysis, uterine fibroids pelvic inflammatory disease (PID)au maambukizi ya wadudu
Kwa mawasiliano na tiba
wa me/255657004001

Nimeishi na changamoto ya sukari kwa zaidi ya miaka 17 sasa na nilitumia njia nyingi kupambana na tatizo hili kwa muda m...
11/09/2023

Nimeishi na changamoto ya sukari kwa zaidi ya miaka 17 sasa na nilitumia njia nyingi kupambana na tatizo hili kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote niliambulia kupoteza pesa zangu tu na ndipo niliamua kukaa tu kusubiria hatima yangu kwani nilipoteza pesa nyingi sana kwa kutumia lishe, njia za asili na mengine mengi.

Sikuamini k**a kuna suluhisho la tatizo hili kabisa mpaka nilipo kuja kuambiwa na binti mmoja kuwa kuna Program NYEPESI na RAHISI ambayo inaweza kumaliza tatizo kwa mda mfupi, sikutaka kumsikiliza kwani nilijua nitapoteza pesa zangu bure, aliendelea kunisisitiza sana kutumia Progam hii nyepesi na rahisi

Mke wangu akaniambia nitumie tuone matokeo yake k**a kweli nitapona k**a mtaalamu huyu anavyodai kuwa nitapona kabisa, nilitumia wiki mbili sikuamini nilikuwa na kidonda miaka 4 kilikauka nakuanza kufunga pia sukari ilifika 8.5 kutoka 23 kwakweli sikuamini kabisa Sasa tatizo langu lililoninyima usingizi kila siku limeisha kabisa baada ya kutumia PROGRAM hii NYEPESI na RAHISI kwa muda mfupi pia nafuu kuliko pesa nilizo zipotesa nyuma. Natamani kila mtu aijue PROGRAM hii kwani inamatokeo 100%

Bonyeza neno LEARN MORE kujua PROGRAM hii NYEPESI na RAHISI.
Wasiliana nasi what's app 0657004001

✨Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawak...
11/09/2023

✨Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni theruthi tu ya wanawake wenye shida ya hedhi hutafuta tiba stahiki kwa daktari wengi hukaa nayo kwa aibu au hofu.

✨Je ni wakati gani mwanamke anatakiwa kuhisi kuwa anapata hedhi kupita kiasi?

1: Unapata hedhi inayozidi siku 7
2: Unapata hedhi nzito inayofanya ubadiri pedi moja ndani ya masaa mawili
3: Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuvaa pedi zaidi ya moja
4: Unapata hedhi nzito inayolowesha hadi nguo za nje
5: Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuamka usiku kubadiri pedi
6: Hedhi inayotoka na mabonge
✍️Sababu gani huweza kuchangia mwanamke kupata hedhi nzito kupita kiasi?

Vivimbe kwenye kuta za mji wa kizazi; vivimbe hivi sio saratani huitwa fibroids
Yai kupevuka bila mpangilio (Irregular ovulation) ; hali hii husababisha kuta za mji wa mimba zivimbe na kuwa nene hivyo kutoa damu nyingi. Hutokea zaidi kipindi cha kuvunja ungo na kipindi cha kukaribia ukomo wa hedhi
Matatizo ya kugandisha damu
Matumizi ya dawa za kuzuia damu kuganda
Baadhi ya wanawake waliotumia vitanzi (IUD) hasa ndani ya mwaka wa kwanza
Maambukizi ya mji wa mimba na mirija ya uzazi (PID)
Endometriosis
Saratani ya mji wa kizazi; kwa kinamama waliofikia umri wa ukomo wa hedhi. Wakianza kupata hedhi isiyokoma huweza kuwa dalili ya ya saratani ya mji wa kizazi
✨ATHARI ZA HEDHI NZITO KUPITA KIASI KWENYE AFYA

◽Hedhi nzito kupita kiasi huchangia wanawake wengi kupata upungufu wa damu
◽Hedhi kuwa nzito kupita kiasi huweza kuwa ni dalili ambao unahitaji tiba ya haraka
◽Huweza kuchangia kudhoofisha afya ya akili ya mwanamke ikiwemo kujiamini na wasiwasi

Wasiliana nasi
☎️+255657004001
Like & follow Ishiutakavyoafya

Njia Rahis Ya Kuondoa Uvimbe Kwenye Kizazi Bila Kufanya Upasuaji...!Uvimbe hauwezi kuisha kwa Kufanya Upasuaji  Uvimbe u...
11/09/2023

Njia Rahis Ya Kuondoa Uvimbe Kwenye Kizazi Bila Kufanya Upasuaji...!
Uvimbe hauwezi kuisha kwa Kufanya Upasuaji Uvimbe una chanzo chake Bila kumaliza chanzo Kamwe hauwezi Kuondoa uvimbe utafanya Upasuaji na utarudi Tena,
Unaweza kuwa wewe Ni moja ya watu walio fanya Upasuaji na Uvimbe umerudi Tena,.
Unaweza kuwa wewe Ni moja ya watu walio Tumia kila Aina ya Dawa Bila kupata matokeo yaani kupona,.
Unaweza kuwa wewe Ni moja ya watu walio kata tamaa juu ya Kuondoa Uvimbe Kwenye Kizazi kutokana na namna ulivyo hangaika,
Ninacho kwambia leo hii Ni Hiki Happ👇
Vuta pumnzi Tulia Kisha wasiliana na sisi kwa namba Hii👇
0657004001

*Mchanganyiko wa juice ya karoti na tangawizi inaweza kuwa na mchango katika kudumisha kinga ya mwili wa binadamu kwa sa...
11/09/2023

*Mchanganyiko wa juice ya karoti na tangawizi inaweza kuwa na mchango katika kudumisha kinga ya mwili wa binadamu kwa sababu zifuatazo:*

1. Vitamini na madini: Karoti ni chanzo kizuri cha vitamini A, C na K, ambazo zote ni muhimu kwa afya ya kinga ya mwili. Tangawizi ina madini ya shaba, manganese na magnesiamu ambayo yanaweza kusaidia kuboresha kinga ya mwili.

2. Antioxidants: Karoti na tangawizi zina antioxidants ambazo zinaweza kusaidia kupunguza uharibifu wa seli za mwilini.

3. Husaidia katika kupambana na Maradhi: Tangawizi ina sifa za kupambana na uvimbe ambazo zinaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa yanayohusiana na uvimbe, k**a vile kansa.

4. Kuimarisha mmeng'enyo wa chakula: Juice ya karoti na tangawizi inaweza kusaidia kuimarisha digestion na kupunguza matatizo ya utumbo, ambayo inaweza kusaidia kuimarisha afya ya kinga ya mwili.
Hajra Health solution
*Tupigie* +255657004001

Areeeeeeee youuuuuuu ready to be a mother?Kuwa mama ni gharamaa ila kila mtu bora tuu awe mama hakuna namnaaCall  065700...
11/09/2023

Areeeeeeee youuuuuuu ready to be a mother?

Kuwa mama ni gharamaa ila kila mtu bora tuu awe mama hakuna namnaa

Call 0657004001

Wasap 0657004001

DAWA YA MAPAFU, PUMU NA MFUMO WOTE WA UPUMUAJI.Dawa hii ni mchanganyiko wa Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng, F...
11/09/2023

DAWA YA MAPAFU, PUMU NA MFUMO WOTE WA UPUMUAJI.

Dawa hii ni mchanganyiko wa Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng, Flos chrysanthemi, Cordate Houttuynia, Bulbus Lilii, Apricot Kernel, Exocarpium Citri Rubrum, Green Tea

Mchanganyiko huu ni mzuri Sana katika kutibu na kusaidia mfumo mzima wa upumuaji kuondokana na matatizo yote.

Kazi za dawa hii ni;
▪️Inaimarisha na kuongeza Kinga ya mwili, Kwa kuongeza white blood cell, T-helper cells, Nk cells na macrophages
▪️Inatibu mapafu yalioathiriwa na SIGARA, vumbi, sumu, na mfumo mzima wa upumuaji,
▪️Dawa hii Inauwa bakteria na virusi ndani ya mfumo wa upumuaji wanaosababisha maradhi.
▪️Huongeza kiwango Cha immunoglobulin; na kusaidia kiwango Cha kinga ya mwili kuongezeka.
▪️Inatibu mfumo wa upumuaji nakuondoa kikohozi, bronchitis, pulmonary tuberculosis, chronic obstructive pulmonary na Pumu,
▪️Inaimarisha uingizaji wa hewa ya oksijeni ktk mapafu,
▪️Inatengeneza mucoca iliyoharibika kwa kuongeza oksijeni. Pia Inaongeza ubora wa shughuli za tishu za epithelial ya mapafu na kufanya mapafu kufanya kazi,
▪️Inatibu kibofu Cha mkojo na ini
▪️Inaisaidia limokokini(lymphokine) kufanya kazi kwa ubora, Lymphokine huua virusi kwenye mfumo wa kupumua moja kwa moja

WATUMIAJI
▪️Wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji, matatizo ya pumu, na wenye matatizo ya KIKOHOZI SUGU.
▪️Watu wanaovuta sigara,
▪️Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira machafu.

Mchanganyiko huu ni aina mbili za bidhaa na jumla yakw Inauzwa 120,000.

OFISI ZETU
Address; Karume (Machinga Complex), Dar Es Salaam

Saa Za Kazi
Jtatu—Jmosi: saa 3:00–saa: 1200

Simu 0657004001

✴️➡️  OFA  YA VIPIMO VYA KISASA VYA AFYA VYA  MWILI MZIMA KWA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO TU  ▶️ ✡️👉TUNATOA HUDUMA YA VIP...
11/09/2023

✴️➡️ OFA YA VIPIMO VYA KISASA VYA AFYA VYA MWILI MZIMA KWA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO TU ▶️ ✡️

👉TUNATOA HUDUMA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA TSH 20,000/= tu

KWA WAKAZI WA MOSHI,KAHAMA,ARUSHA NA MAFINGA VIPIMO NI 20,000

➡️ BEI HII NI OFA IMEANZA MWEZI HUU NA INAISHA WIKI HII

🌐Ofa Hii Imeambatana na PUNGUZO la Bei za DAWA ZETU. Kwa Asilimia 50%

🍒🍓🍎 *DAWA ZETU NI TIBA LISHE*🥑🍌🍉🍋
*Zimethibitishwa na TFDA*
Huondoa sumu Mwilini na Kuweka Kinga imara ya mwili
🍉Tumefanikiwa kutibu VIMBE MBALIMBALI Ikiwemo
🕵 *TEZI DUME* BILA UPASUAJI

TUNATOA TIBA KWA MAGONJWA YAFUATAYO

🍌🍌Kupungukiwa au kuishiwa kwa nguvu za kiume
🌶🌶Walioathiliwa na upigaji wa punyeto (musterbation)
🍇🍇Magonjwa ya zinaa k**a kaswende,kisonono na masundosundo
🍎🍓Vidonda vya tumbo (stomach ulcers)
🍒🍑Ngiri (ngiri ya ndani na nje )
🍍🥭Kisukari
🍏🍎kupanda na kushuka kwa presha
🥔🥕Kupunguza unene/kitambi Na uzito
🥐🥬Fangasi za aina zote na bacteria(kuondoa harufu mbaya sehemu za siri ,miguuni,na makwapani)
🥭🥭Mzio (Allergy)
🥑🍈U .T .I SUGU(Mkojo kubadilika rangi, kuuma)
🍅🥝Kushindwa kutungisha mimba (Mbegu hazijarutubishwa)
🌭🥩Matatizo ya hedhi kwa wanawake (Maumivu wakati wa hedhi ,hedhi zisizokua na mpangilio, Kutopata hedhi, Kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi)
(Ugumba)
🍇🍊Chunusi na mabaka yasiyo sikia dawa.
🍒🍈 kuondoa ndefu kwa wanawake (hormonal imbalance)
🍅🍉Matatizo ya Meno na fizi

♦️ NA MATATIZO MENGINEYO

✳️🌹Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,

📲 K**a Ndio Napenda Nikukaribishe katika ofisi zetu
💥Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima(Fullbody Checkup) Kwa ofa ya Tsh 20,000/ Kwa wiki hii kwa wakazi wa Dar es salaam

🌹KARIBUNI SANA

Tupigie Kwa Namba

📞 0657004001

🩸Au Wasiliana na Doctor kwa Njia ya Whatsapp kwa Ku gusa Link hapa Chini

wa.me 0657004001

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hajra Health Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram