Afya yako

Afya yako Good service

09/10/2024

JE UMESUMBUKA NA TATIZO LA UZAZI KWA MUDA MREFU BILA KUPATA MATIBABU YEYOTE YALE ?

TUME KULETEA WALE MADAKTARI BINGWA WANAO TIBU MARADHI YOTE YA UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE KWA KIPINDI CHA MUDA MFUPI TU UTAPATA MATOKEO.

MARADHI TUNAYOTIBU NIKAMA VILE KUZIBUA MIRIJA YA UZAZI KWA WANAWAKE,KUWEKA MPANGILIO MZURI WA HOMONI,KUTIBU TATIZO LA U.T.I SUGU, KUTIBU TATIZO LA P.I.D SUGU, TUNA TIBU TATIZO LA KUWAI KUFIKA KILELENI,TUNATIBU TATIZO LA WENYE UUME MDOGO,TUNATIBU TATIZO LA UUME KUSINYAA,TUNA TIBU TATIZO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI,TUNATIBU TEZI DUME,TUNA TIBU PRESHA AINA ZOTE,TUNA TIBU TATIZO LA MIFUPA,TUNATIBU TATIZO LA MOYO NA INI, TUNA TIBU TATIZO LA MACHO NA MENO,VIDONDA VYA TUMBO. N.K

DAKTARI ATAKUFANYIA VIPIMO ILI KUONA TATIZO BAADA YA VIPIMO ATAKUANDIKIA DAWA AMBAZO ZITAENDA KUTIBU UGONJWA MOJA KWA MOJA PASIPO JILUDIA TENA NA NIKWAMUDA MFUPI TU UNAWEZA KUONA MABADILIKO MAKUBWA SANA.

KUMUONA DAKTARI NI BURE ,ATAKUPATIA USHAULI JUU YA MARADHI UTAYO KUTWA NAYO NA PIA ATAKWAMBIA UFANYE JAMBO GANI ILI UWEPUKANE NA HAYO MARADHI.

DAWA ZETU HAZINA KEMIKALI YEYOTE HILE NA ZINA UWEZO MKUBWA SANA WAKUTIBU MARADHI MENGI NDANI YA MUDA MFUPI TU.

OFISI ZETU ZINA PATIKANA NCHINI TANZANIA KOTE MAHALI TUNAPO PATIKANA NIKAMA VILE DAR ES SALAAM,MWANZA,ARUSHA ,DODOMA,MAFINGA,MLANDIZI, ZANZIBAR,IRINGA ,MBEYA,KAGERA,TABORA,KIBAHA,NJOMBE , MOROGORO,MTWALA,GEITA,KARATU,MOSHI,ARUSHA,UNGUJA NA PEMBA N.K

KWA MAWASILIANO NASI PIGA SIMU NAMBA 0746772817 AU WHATSAPP 0746772817.

AFYA NI BORA KULIKO JAMBO LOLOTE.

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOAHii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinacho...
04/10/2024

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA
Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto. Hali hii kitaalamu hufahamika k**a hypoactive sexual desire disorder (HSDD). Pia kuna watu wengine wanakuwa na hisia chache kuhusu kitendo hiki. Hali hii huwapata wanaume na wanawake. Sababu za kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa ama hamu kuwa ndogo, sababu zao wote hufanana.

-Sababu za kutokea kwa hali mbili hizi:
Maumivu wakati wa tendo la ndoa

-Matumizi ya baadhi ya madawa ya arthritis, saratani, kisukari, presha ya kupanda, maradhi ya moyo na maradhi ya mfumo wa fahamu

-Matumizi ya vilevi kupitiliza

-K**a mtu alifanyiwa upasuaji maeneo ya nyeti k**a matiti, kwenye uke

-Uchovu

-Hormone imbalance

-Afya ya akili

-Kuwa na mahusiano na mwenza ambae humpendi

-Kuwa na msongo wa mawazo

-Kutokujiamini

-Mahusiano yasiyo mazuri na mwenza

-Matumizi ya njia za uzazi wa mpango

Tupigie simu au wattsapp 0746772817📞

MADHARA MAKUBWA YA MASUNDOSUNDO YA NGOZI NA SEHEMU ZA SIRI (SKIN & GE***AL WARTS) ✍🏻Masundosundo au vigwaru au Ge***al w...
04/10/2024

MADHARA MAKUBWA YA MASUNDOSUNDO YA NGOZI NA SEHEMU ZA SIRI (SKIN & GE***AL WARTS)

✍🏻Masundosundo au vigwaru au Ge***al warts ni vinyama laini vidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri. Vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), v***a, shingo ya kizazi (cervix), au maeneo ya kuzunguka njia ya haja kubwa au ndani yake.

✍🏻Huu ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana (sexually transmitted infection (STI)). VISABABISHI

✍🏻Ugonjwa wa masundosundo husababishwa na jamii ya virusi wanaoitwa Human papilloma virus (HPV). Kuna zaidi ya aina 70 tofauti za virusi wa HPV ingawa si wote wanaosababisha masundosundo kwenye maeneo ya siri (ge***al warts).

✍🏻Baadhi ya aina nyingine za HPV husababisha masundosundo kwenye ngozi inayozunguka sehemu nyngine za mwili k**a vile kwenye mikono au miguu.

✍🏻Tafiti kadhaa zimeonesha kuwa baadhi ya aina za virusi wa HPV pia husababisha saratani ya shingo ya kizazi (carcinoma of the cervix) kwa wanawake au saratani ya njia ya haja kubwa [a**l cancer] kwa jinsia zote mbili. Aina hii ya virusi hujulikana pia k**a high-risk HPV.

✍🏻Pamoja na kwamba ugonjwa wa masundosundo kwenye maeneo ya siri umejitokeza kwa kasi kubwa hasa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI, watu wengi waliopatwa na ugonjwa huu huwa hawaoneshi dalili zozote zile.

✍🏻Kwa mfano, kwa wanawake, virusi wa HPV wana uwezo wa kusambaa mpaka maeneo ya ndani kabisa ya kuta za uke au shingo ya kizazi [cervix] bila kuonekana wala kuhisiwa kwa urahisi. ✍🏻K**a tulivyotangulia kueleza hapo awali, maambukizi ya HPV husambaa kutoka kwa mtu mmoja mpaka mwingine kwa njia ya kujamiiana kunakohusisha njia ya haja kubwa, uke au ngono ya mdomoni.

✍🏻Mara baada ya kuambukizwa, huweza kuchukua mpaka muda wa wiki sita hadi miezi 6 kwa masundosundo kuwa dhahiri, ingawa baadhi ya wagonjwa wanaweza kukaa hata miaka kadhaa bila kuwa na dalili yeyote ile.

✍🏻Aidha imeonekana pia kuwa si kila mtu anayejamiina na aliye na maambukizi ya HPV au mwenye masundosundo anaweza naye kupata ugonjwa huu.

Piga au whatsap 0746772817📞

Address

Majumba Sita (Ukonga)
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255746772817

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram