Ijue Nyota Yako

Ijue Nyota Yako Mtaalamu wa kutabiri nyota

Suluhisho la watoto wanaolelewa na baba wasio baba zao kwa mama kufanya siri katika ndoa bila kumwambia mume wake (watot...
20/03/2020

Suluhisho la watoto wanaolelewa na baba wasio baba zao kwa mama kufanya siri katika ndoa bila kumwambia mume wake (watoto wa nje ya ndoa wa wanawake) kwamba mtoto huyu sio wa mume wake. Watoto hawa hupata madhara k**a kudharau wazazi wao, kuwa walevi, kuvuta bangi, kuwa wawezi, kutokosiakia wazazi wa jamii na waliowazaa, kukosa kazi, kukataa shule, na kuwa wakorofi katika jamii nzima. Hili linatokana na mtoto kula chakula cha mizimu isiyo ya kwake. Suluhisho ni kuwasiliana na mtaalamu wako ili kumchanganya na mizimu ya kwao bila mume wako kujua na kumsaidia mtoto huyo aweze kufanikiwa katika maisha.

Mabinti wanaoshinwa kuolewa bila kujua tatizo ni nini, mabinti walioolewa lakini wanaume wanawakimbia bila kujua tatizo ni nini, vijana wanaoshindwa kuoa bila kujua tatizo ni nini na vijana wanaoshindwa kuishi na wanawake bila kujua shida ni nini. Pia tunatoa huduma kwa mtu ambaye anaona kila jambo au biashara unayofanya inashindwa kufanikiwa bila kujua tatizo ni nini pata suluhisho lako la kudumu SASA USIHANGAIKE TENA.

Kwa mtu yeyote anayepata pesa yake na kupotea bila yeye kujua na baadae kujutia kwa kutumia pesa kwenye matumizi ambayo hakukusudia awasiliane na mtaalamu Sheik Khamis Jumanne Kwa namba 0686176510.

Kwa wale wenye matatizo katika mahusiano, una mpenzi ila kila kukicha anakuwa na tabia za hovyo zisizoeleweka k**a ulevi...
21/03/2017

Kwa wale wenye matatizo katika mahusiano, una mpenzi ila kila kukicha anakuwa na tabia za hovyo zisizoeleweka k**a ulevi, mchepukaji, haeleweki k**a ana malengo ya muda mrefu na wewe.

Matatizo ya misukosuko kazini, kutokudumu kazini, pamoja na kuwa na vigezo vyote. Walioibiwa nyota zao na wabaya wao na kupelekea kila unachofanya kutofanikiwa. Ni biashara kila kukicha hasara pamoja na kwamba umejitahidi kila hali kuweka mambo sawa.

SASA USIHANGAIKE TENA. WASILIANA NA MTAALAMU WAKO WA UTABIRI NA NYOTA AWEZE KUKUFAFANULIA TATIZO NA HATUA ZA KUFANYA KUWEKA MAMBO SAWA WASILIANA NAE KWA SIMU 0787 226 946
IWE NDOA AU UCHUMBA KAZI BIASHARA FAHAMU LEO HATIMA YAKE KWA KUWASILIANA NA MTAALAMU. 0787 226 946

Kwa wale wenye matatizo katika mahusiano, una mpenzi ila kila kukicha anakuwa na tabia za hovyo zisizoeleweka k**a ulevi...
07/03/2017

Kwa wale wenye matatizo katika mahusiano, una mpenzi ila kila kukicha anakuwa na tabia za hovyo zisizoeleweka k**a ulevi, mchepukaji, haeleweki k**a ana malengo ya muda mrefu na wewe.

SASA USIHANGAIKE TENA. WASILIANA NA MTAALAMU WAKO WA UTABIRI NA NYOTA AWEZE KUKUFAFANULIA TATIZO NA HATUA ZA KUFANYA KUWEKA MAMBO SAWA WASILIANA NAE KWA SIMU 0787 226 946

IWE NDOA AU UCHUMBA FAHAMU LEO HATIMA YAKE KWA KUWASILIANA NA MTAALAMU. 0787 226 946

UTABIRI KWA WALIOZALIWA SIKU K**A YA LEOKuwa wa kwanza kuchukua hatua katika kufanya jambo na utakuwa wa kwanza kupokea ...
30/01/2017

UTABIRI KWA WALIOZALIWA SIKU K**A YA LEO

Kuwa wa kwanza kuchukua hatua katika kufanya jambo na utakuwa wa kwanza kupokea sifa au heshima, Kuwa makini usijisukume sana kwenye vitu visivyo na umuhimu. Usiwaumize watu kwa kuwalazamisha wafanye wasiyo yapenda wanaweza kukudhuru au kukukasirisha hata kwa kutokusudia wala kutambua wana kukwaza.

MASWALA YA KIFAMILIA NA MAHUSIANO 0787 226 946Je upo kwenye mahusiano na mtu asiyeeleweka? Mmekuwa wachumba kwa muda mre...
22/01/2017

MASWALA YA KIFAMILIA NA MAHUSIANO 0787 226 946

Je upo kwenye mahusiano na mtu asiyeeleweka? Mmekuwa wachumba kwa muda mrefu ukileta swala la ndoa mwenzako anakuwa akiahirisha tu.
Je kila mpenzi unayempata haudumu nae? Mume au mke mkorofi au asiyetulia ndani ya ndoa?. Matatizo ya kifamilia hamuelewani migogoro na mabalaa kila kukicha? Usihangaike sasa wasiliana na mtaalamu wako wa kusoma nyoto kwa simu 0787 226 946 atakufafanulia nyota yako na kitu cha kufanya kuepukana na matatizo hayo

*MATUKIO YA KILA NYOTA KWA MWAKA WA 2017.**Kwa yeyote ataehitaji kujua zaidi maisha yake na mipangilio ili kufikia mafan...
10/01/2017

*MATUKIO YA KILA NYOTA KWA MWAKA WA 2017.*

*Kwa yeyote ataehitaji kujua zaidi maisha yake na mipangilio ili kufikia mafanikio anitafute moja kwa moja kupitia mawasiliano yangu:-

+255 787 226 946

Usifanye usumbufu kwa kulazimisha vile utakavyo....hautofanikiwa utakavyo bila kufuata maelekezo ya mtaalamu.

Maelekezo kuhusu nyota yako yatakua muongozo kwa mwaka 2017 kwa ujumla.

Japo kutakuepo matukio ya kila siku,kila wiki na kila mwezi.

Usitaraji kujisahaulisha kufanikiwa mambo yakobila kufuata taratibu zake.

Ni vyema ikiwa hujaelewa ukamuuliza mtaalamu wa hizi makala moja kwa moja ili upate msaada stahiki.

Epuka sana majibu ya wasiokua watayarishaji wa makala haya.

Nimezitayarisha kwa ufupi ili iweze kueleweka na pia kwa kujua kiundani zaid mumtafute mtaalamu.

Hakuna jambo lenye manufaa utalipata bila taabu.

Weledi ndio unaohitajika zaidi kufanikisha kwa uhakika jambo husika.
Waepukeni wababaishaji katika utatuzi wa matatizo mbali mbali.

*KONDOO*.
Mwaka huu utapata taarifa nyingi zenye utata.
Jitahidi kuzichunguza taarifa zenyewe kuliko kuzipokea k**a zitavyokufikia.
Shughuli nyingi zitatokea.
Wasaidie ndugu zako.
Marafiki wataongezeka.
Namba ya bahati ni 52.

*Maradhi*: Utasumbuliwa zaid Meno,uzito wa kusikia na maumivu ya kichwani.

*Mapenzi*: Utadaiwa madeni ajili ya mpendwa wako.
Utaongopewa zaidi.

*NG'OMBE*.
Unayo nafasi nzuri ya kujenga na kuboresha makazi yako.
Akiba zako zitapotea.
Utazuiliwa mara kwa mara.
Utafahamu khatma ya mambo yako mengi ndani ya mwaka huu 2017.
Namba ya bahati ni 35.

*MAPENZI:* Utafanikiwa ajili ya mpendwa wako.

N.b
Ikiwa huna mikosi ndipo utafanikiwa zaidi.

*AFYA:* Sauti itasumbua mara kwa mara .
Uzito wa kusikia utajitokeza.
Maumivu ya koo.

*MAPACHA.*
Maisha yatapata wepesi mara kwa mara.
Utazushiwa jambo zito.
Utatumia hovyo mali zako.
Utapendwa zaidi.
Namba ya bahati ni 72.

*N.b*
Hali hii inahitaji upewe ushauri mara kwa mara kila unapohitaji kufanya jambo la maendeleo ili kudumisha neema .

*MAPENZI* Utapata nafasi ya kuendeleza makazi au kujenga ajili ya mpendwa wako.
Utafurahikiwa na marafiki zenu.

*AFYA* Utaugua zaidi viungo mwilini.
Mabega , na sehemu za maungo ya kupumua.

*KAA.*
Mwaka huu mtasumbuliwa zaidi magonjwa mara kwa mara.
Mtatuhumiwa zaid ajili ya mahusiano na wapendwa wenu.
Utatengwa au kuachwa.
Utafanyiwa ujeuri mara kwa mara.
Mambo mengi yatakuharibikia.
Rangi ya nguo kwa bahati ni Nyeupe na njano.
Namba ya bahati ni 64.

*MAPENZI* Ni vizuri uwe mpole kwa huzuni zitakazo kufikia ajili ya mpendwa wako.
Uongi utaopokea uwe mpole .
Yapo mambo yatakwama ajilu ya mpendwa wako.

*AFYA*Utasumbuliwa kwenye mfumo wa kusaga chakula.
Akina mama itakua zaid kuyapata maumivu kwenye mfuko wa uzazi.
Pia taabu ya kupumua.

*SIMBA*.
Mwaka huu ni mwaka mzuri utampata umtakae.
Waliopo kwenye mahusiano au ndoa watazozana mara kwa mara.
Utapoteza vitu vyako.
Utakimbiwa .
Namba ya bahati ni 83.

*MAPENZI* Ni vzuri mkapime afya zenu mara kwa mara.

*AFYA* Utasumbuliwa magonjwa ya manjano.
Na figo.
Na haja ndogo matatizo ya mara kwa mara.

*MASHUKE*.
Mwaka huu utasumbuliwa wasi wasi zaidi.
Fitna zitaongezeka.
Ahadi zako hazitotimia.
Utaibiwa mara kwa mara.
Wanaokudai watahitaji walipwe.
Namba ya bahati ni 30.

*MAPENZI* Utafanikiwa zaidi.
Biashara pia.

*AFYA* Matatizo ya maumivu ya utumbo mdogo .

*MIZANI*.
Mwaka huu utafanikiwa safari za mbali....au ukifuatilia visa utafanikiwa.
Kuongopewa kutajitokeza zaidi.
Mawazo kuhusu mipango ya maisha usiipuuze.
Namba ya bahati ni 19.

*MAPENZI* Habari utazopata zitakusaidia kuongeza upendo.
Muhim jitahidi kuwa makini kwa taarifa zote utazosikia.

*AFYA* maumivu ya kichwa yatasumbua.
Maumivu ya tumbo na kwenye mfumo wa haja ndogo.

*NGE*.
Mwaka huu utafanikiwa mahitaji yako.
Utasumbuka kwa mambo ya mzazi wako.
Utajulikana zaidi mwaka huu.
Namba ya bahati ni 47.

*MAPENZI* Utaimarisha makazi yako ajili ya mpendwa wako.
Na utajua tatizo lilokua limejificha.

*AFYA* maumivu ya mgongo. Maumivu ya mgolo.
Haja ndogo pia.

*MSHALE*.
Mwaka huu utapata marafiki wengi wataokusaidia shida mbali mbali.
Utapata pesa kutoka kwa marafiki.
Utajenga au utamalizia ujenzi.
Rangi ya mavazi ni nyeupe na kijani isioiva.
Namba ya bahati ni 66.

*MAPENZI* Utafurahika kwa kupata wana.
Utasingiziwa mara kwa mara.
Mipango ya maisha itaongezeka.

*AFYA* Utasumbuliwa makalio. Maumivu ya mgongo.

*MBUZI.*
Mwaka huu utaugua mara kwa mara.
Utaongopewa sana.
Utajuta zaidi.
Utaibiwa mara kwa mara.
Maisha yatakua magumu kwako.
Rangi za nguo ni nyeusi na kijani kibichi.
Namba ya bahati ni 94.

*MAPENZI* Utaacha...utapoteza kitu muhimu ajili ya umpendae.
Utapata maradhi kua mwangalifu.

*AFYA* Utawashwa mwili mara kwa mara.
Magoti yatasumbua zaidi.
Na maumivu ya matumbo.

*NDOO.*
Mwaka huu unahitajika kuangalia afya yako mara kwa mara.
Unaeza kuanzisha jambo lolote litafanikiwa.
Uwe mwangalifu zaidi.
Namba ya bahati ni 59.

*MAPENZI* Utaempata mwaka huu ni mwenza ambae ni muafaka.
Mizozo itakufika mara kwa mara.
Utagombana mara kwa mara.

*AFYA* Upungufu wa damu utajitokeza mwaka huu.
Macho kupata kiza zaidi.
Magoti na magoko yatasumbua.

*SAMAKI*.
Mwaka huu utapata zaidi mipango ya pesa.
Wataohitaji msaada wako wasaidie.
Epuka sana kuwasema wenzio au kutoa ya moyoni bila uangalifu.
Namba ya bahati ni 60.

*MAPENZI* Fitna zitaon gezeka ajili ya mpendwa wako.
Utaibiwa pia.

*AFYA* Mafua yatasumbua.
Maumivu ya mgongo yatakuandama.
Ubaridi zaidi kwenye nyayo zako.

- Mtayarishaji wa makala haya ni mtaalamu wa tiba za majini na ushauri kuhusu nyota.

*Kwa mawasiliano ni:*

+255 787 226 946

10/01/2017

KAZI ZA KILA NYOTA:
Kila Nyota ina kazi zake ambazo unatakiwa uzifanye ili uweze kupata mafanikio ukifanya Kazi ambazo sio za Nyota yako huwezi kupata mafanikio hebu angalia kazi inayokufaa kwa Nyota yako.
1.NYOTA YA PUNDA (Aries):
•Kazi za Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha.
2.NYOTA YA NG’OMBE (Ta**us):
•Kazi za Muziki, Kazi zinazohusiana na chakula (Hoteli), Ujenzi, Kazi za Mashamba, Uhasibu, Sanaa (Uchoraji na Uchongaji).
3.NYOTA YA MAPACHA (Gemini):
•Kazi za Utangazaji, Uchapishaji, Ualimu, Ushauri, Ufasiri, Biashara ya Kusafiri.
4.NYOTA YA KAA (Cancer):
•Kazi za Madawa, Kazi za Baharini, Kazi za Upishi, Kazi za Kuhudumia Watoto, Kazi za Benki, Kazi za Usimamizi (Foreman), Kazi za Uandishi.
5.NYOTA YA SIMBA (Leo):
•Kazi za Usimamizi, Michezo, Kazi za Usonara, Mwanamitindo, Kucheza Sinema, Kazi zinazohusiana na Masuala ya Vijana, Ualimu.
6.NYOTA YA MASHUKE (Virgo):
•Kazi za Uchapishaji, Uongozi, Elimu, Afya, Biashara, Ukatibu Mukhtasi (Secretary).
7.NYOTA YA MIZANI (Libra):
•Kazi za Uhusiano wa Jamii, Ushauri wa Ndoa, Biashara ya Sanaa, Ushauri wa Mambo ya Urembo, Uanasheria, Uhakimu.
8.NYOTA YA NGE (Scorpio):
•Kazi za Madawa, Kazi za Upelelezi, Wachunguzi (Researcher), Mafundi Bomba, Kazi za Historia inayohusiana na Mabaki ya Viumbe (Archeology), Ushauri wa Mambo ya Ngono (S*x Therapy).
9.NYOTA YA MSHALE (Saggitarius):
•Kazi za Kusafiri, Kazi za Sheria, Uandishi, Ualimu, Dini, Michezo, Jeshi, Uuzaji.
10.NYOTA YA MBUZI (Capricorn):
•Kazi za Uinjinia, Uchoraji wa Ramani za Majumba, Saveya, Kazi za Serikali, Siasa na Udaktari wa Meno.
11.NYOTA YA NDOO (Aquarius):
•Kazi za Fundi Umeme, Computer, Uchunguzi wa Kisayansi, Kazi za Jamii, Kazi za Unajimu, Kazi za Mazingira.
12.NYOTA YA SAMAKI (Pisces):
•Kazi za Unesi, Muziki, Dansi, Uigizaji, Askari wa Majini, Kazi za Kidini, Kupiga Chapa, Kazi za kutoa Ushauri.

20/12/2016

Humwezi ni mwezi wa bahati sana kwa yoyote aliye zaliwa mwezi huu anaweza kuanzisha chochote chakuongeza kipato akafanikiwa

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255686176510

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue Nyota Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram