11/11/2023
Mafuta haya ya APRICARE yana faida nyingi sana.
Baadhi ya faida hizo ni:-
1. Yanaondoa muwasho katika ngozi
2. Yanaondoa makovu
3. Yanang'arisha ngozi kwa njia ya asili
4. Yanaboresha tendo la ndoa
5. Yanaondoa weusi katika mwili
6. Yanachangamsha fikra.
7. Yanaondoa harufu mbaya ya jasho mwilini
8. Yanalainisha kabisa miguu kwa watu wenye magaga
9. Yanaondoa fangasi katika sehemu za siri na katika ngozi
10. Yanalinda na kurutubisha ngozi kwa kiasi kikubwa
11. Yanaondoa michirizi katika ngozi
👇Mafuta yanapatikana kwa Gharama ya Tsh 20,000/=
Piga simu 0715343161 au 0756343161 ili kuagiza.
Follow
👇👇👇
Tunapatikana Lamada Hotel, Apartment no. 27, Ilala Dar es Salaam.
Karibu Sana, Tunarejesha furaha Yako.