Kisalight

Kisalight Afya bora kwa maisha bora.

07/09/2025

"Maumivu ya mifupa na viungo si sehemu ya maisha ya kila siku. Tiba ni suluhisho lako leo"
Wasiliana upate tiba 0717 351 417

03/09/2025

Unayesumbuliwa na PID (Pelvic Inflammatory Disease) je unajua madhara yanayoweza kukupata ikiwa hautapata matibabu mapema.
Madhara ya kutotibu PID:
i) Utasa (infertility) - mwanamke hupoteza uwezo wa kupata ujauzito.
ii) Uharibifu wa mirija ya uzazi (fallopian tubes) - huweza kusababisha mirija kuziba au kuharibika.
iii) Mimba nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy) - mimba hukua kwenye mirija badala ya uterasi, jambo linalohatarisha maisha.
iv) Maumivu ya muda mrefu ya nyonga (chronic pelvic pain) - maumivu haya huendelea hata baada ya maambukizi kuisha.
v) Kuenea kwa maambukizi - maambukizi yanaweza kuenea tumboni (peritonitis) au hata kwenye damu (sepsis) na kuhatarisha maisha.
Mawasiliano 0717 351 417

29/07/2025

Jipatie maarifa haya Kwa sh.10000/= TU.
Mawasiliano +255 0717 351 417

29/04/2025

Je unasumbuliwa na Osteoarthritis ambayo ni changamoto ya kupungua kwa virutubisho vinavyosaidia kuimarisha gegedu mwilini. Rheumatic Arthritis ambayo ni kinga ya mwili kufikia hatua ya kutafuna gegedu (cartilage), Osterporosis ambalo ni linatokea mtu anapokuwa na upungufu wa calcium na Gaut Arthritis ambapo husababishwa na uwepo wa kiwango kikubwa cha uric acid katika damu.

Walio wengi wanaopitia changamoto hizi hupata huduma zifutazo:
i) kutumia daa za maumvu ambazo ambazo hutuliza kwa muda na tatizo linabakia pale pale.
ii) Kuna wanaofanyiwa mazoezi ambayo nayo yanasaidia kwa kipindi kifupi na baada ya muda shida inajirudia
iii) Mwisho wa wengi wenye hizi changamoto ni kufanyiwa upasuaji ambapo inaweza ikawa ni zaidi ya mara moja na kwa gharama kubwa.

Karibu tushauriane upate suluhisho la kudumu
0717 351 417/+255 0717 351 417

27/04/2025

Ni ukwelikuwa baada ya miaka 50 uwezo wa mifupa kusaidia mwili unapungua kwa kasi sana. Lakini lipo suluhisho la changamoto za mifupa na viungo.

Nashukuru kwa wale waliopata huduma yangu wanapotoa mrejesho k**a huyu hapa chini.

"Asante sana mwanzoni nilikuwa na wasiwasi ila sasa nimesimama kwa nguvu zaidi ........asante na Mungu akubariki''.

Mawasiliano 0717 351 417

Kwa nini ufike hapa?Mawasiliano: 0717351417
18/04/2025

Kwa nini ufike hapa?

Mawasiliano: 0717351417

15/04/2025

Baada ya miaka 50 uwezo wa mifupa kuusaidia mwili unapungua kwa kasi lakini mimi ninalo suluhisho la matatizo ya mifupa na viuongo

Mawasiliano: 0717 351 417

17/02/2025

Unapitia changamoto gani ya afya mpendwa, karibu tusaidiane kutafuta suluhisho.

Mawasiliano 0717 351 417

13/02/2025

JE UNAJUA SIRI YA NAMNA YA KUPONA YAFUATAYO:
1. Kutokwa na uchafu ukeni, kuwa na miwasho au kutoka harufu
mbaya ukeni.
2. Kuvurugika kwa hedhi.
3. Kutoshika Ujauzito
4. Maumivu ya nyonga, kiuno, mgongo, tumbo.
5. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
6. Uke kuwa mkavu

Karibu 0717 351 417

06/02/2025

Je unajua madhara ya upungufu wa kinga mwilini?

Mfumo wako wa kinga unaposhindwa kufanya kazi, mwili unakuwa kwenye hatari ya kupata maambukizi ya maonjwa ya mara kwa mara kwani mwili utashindwa kupigana kikamilifu na bakteria, virusi na vimelea vingine vya magonjwa, ambayo inaweza kusababisha matatizo k**a magonjwa ya muda mrefu, udhaifu katika mwili na kuweza sababisha kifo.

Kwa ushauri 0717 351 417

06/02/2025

A lack of body immunity, also known as immunodeficiency, is a condition where the body's immune system isn't working properly. This can lead to an increased risk of infections and other health problems.
Many people with primary immunodeficiency are born missing some of the body's immune defenses or with the immune system not working properly, which leaves them more susceptible to germs that can cause infections.
When your immune system fails, you become significantly more susceptible to frequent and potentially severe infections, as your body is unable to effectively fight off bacteria, viruses, and other pathogens, which can lead to complications like prolonged illnesses, organ damage, and in severe cases, even death.

Need of assistance call 0717 351 417

Address

Tegeta
Dar Es Salaam

Telephone

0718746788

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kisalight posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kisalight:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Part-time job

Ukiambiwa kuna fursa ya biashara unayoweza kufanya katika muda wako wa ziada bila ya kuharibu ratiba ya shuguli zako za kila siku na utengeneze pesa bila kikomo. Swala hili litakuvutia kuanza biashara hiyo?

Wakati ni SASA.