Tiba Herbs Research

Tiba Herbs Research Tiba mbali mbali za magonjwa sugu na ushauri kwani afya ni mtaji namba moja.

Mungu mmoja wa pekee ana uwezo wa kuondoa tatizo lolote ili mradi uangaikie na subira iwepo.Kuanzia magonjwa ya chanzo cha nguvu za giza na ya kawaida yanapona kwa uwezo wake

DAWA ZENYE NGUVU ZA TIBA KWA MARADHI MBALI MBALI NA USHAURI ZAIDI UTAPATA
19/11/2024

DAWA ZENYE NGUVU ZA TIBA KWA MARADHI MBALI MBALI NA USHAURI ZAIDI UTAPATA

10/09/2024
Kwanza mwanadamu anayeomba Mwenyezi Mungu mmoja wa pekee bila kukata tamaa hakosi majibu na yakikosa kuna heri zaidi ata...
09/04/2023

Kwanza mwanadamu anayeomba Mwenyezi Mungu mmoja wa pekee bila kukata tamaa hakosi majibu na yakikosa kuna heri zaidi atapata baadaye maishani mwake. Usiache kushukuru na kuomba kwani uko hai na maisha ni marefu kuliko umri. Dua yoyote nzuri ni kuomba heri na baraka katika dunia hii na msamaha wa Mwenyezi Mungu kwani kila mwanadamu anayo madhaifu yake. Dua hii hapa ni kuomba heri duniani na Akhera na kusamehewa…...

Kwanza mwanadamu anayeomba Mwenyezi Mungu mmoja wa pekee bila kukata tamaa hakosi majibu na yakikosa kuna heri zaidi atapata baadaye maishani mwake. Usiache kushukuru na kuomba kwani uko hai na mai…

Miaka zaidi ya 7 anajisikia mwili unawaka moto, anakuta mwili umechanjwa na kuwasha sana. Kichwa kilikuwa kinauma upande...
09/04/2023

Miaka zaidi ya 7 anajisikia mwili unawaka moto, anakuta mwili umechanjwa na kuwasha sana. Kichwa kilikuwa kinauma upande mmoja muda wote, choo shida na kuhisi mwili unatembewa na vitu k**a sisimizi ila akigusa haoni vitu hivyo Alipohojiwa na tabibu kuhusu usingizi , akasema alikuwa analala vibaya na akiota ndoto za kutisha wakati mwingine nyoka na kushambuliwa na maadui au kuota analishwa vyakula na hata nyama ndotoni....

Miaka zaidi ya 7 anajisikia mwili unawaka moto, anakuta mwili umechanjwa na kuwasha sana. Kichwa kilikuwa kinauma upande mmoja muda wote, choo shida na kuhisi mwili unatembewa na vitu k**a sisimizi…

MT32 ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 zinazotibu magonjwa mengi
08/04/2023

MT32 ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 zinazotibu magonjwa mengi

Kila ugonjwa unayo dawa isipokuwa sisi ndo tunakuwa hatuijui bali tunavyoangaika Mungu anatufunulia dawa inayotibu kutokana na mazingira tuliyomo. Mfano kuna dawa zinatibu magonjwa ambayo hospitali…

uchawi unazuiwa kwa Kumuomba Mungu mmoja wa pekee na kisha ukatumia dawa k**a tayari umelogwa na ukiendelea kuomba Mungu
08/04/2023

uchawi unazuiwa kwa Kumuomba Mungu mmoja wa pekee na kisha ukatumia dawa k**a tayari umelogwa na ukiendelea kuomba Mungu

Ukisikia wachawi piga picha kichwani kuwa ni watu wanaojificha na wanashirikiana kutenda maovu bila kuonekana ila kwa dalili k**a kuwasikia wanajisema au kuwaota kila mara wanakutisha au wanakulish…

Uchawi unavuruga maisha ya mtu kwani sababu ya kukuloga ndiyo hiyo ikiwemo kuugua au kuharibikiwa au kutumika k**a mjing...
08/04/2023

Uchawi unavuruga maisha ya mtu kwani sababu ya kukuloga ndiyo hiyo ikiwemo kuugua au kuharibikiwa au kutumika k**a mjinga asiyejitambua. Maisha yako yatavurugika kupitia mikataba ya wachawi na majini au mizimu yenye kutenda kwa maagizo ya wachawi. Kuingilia hata mawasiliano yako na marafiki wazuri na kuwafanya wakuchukie na kuharibu mahusiano yote muhimu kwako kwa njia za ajabu. Si rahisi kugundua kuwa unalogwa k**a hujaugua au kuota ndoto za ajabu bali utaona kila kitu unachoanzisha hakifanikiwi na utahisi kukata tamaa....

Uchawi unavuruga maisha ya mtu kwani sababu ya kukuloga ndiyo hiyo ikiwemo kuugua au kuharibikiwa au kutumika k**a mjinga asiyejitambua. Maisha yako yatavurugika kupitia mikataba ya wachawi na maji…

Ukiona mtu anabisha kuwa hakuna uchawi usimshangae kwani uchawi umetajwa na ulikuwepo enzi za manabii k**a Suleiman, Mus...
08/04/2023

Ukiona mtu anabisha kuwa hakuna uchawi usimshangae kwani uchawi umetajwa na ulikuwepo enzi za manabii k**a Suleiman, Musa, Muhammad na wengine. Biblia na Qur'an zimeutaja uchawi, tunaona Nabii Musa alivyokwenda Kwa Farao/Firauni kumpa ujumbe wa Mungu mmoja wa pekee na kutoa miujiza mikubwa kutoka kwa Mungu muweza, Farao hakuamini kuwa miujiza ya nabii Musa imetoka kwa Mungu mmoja aliyeumba kila kitu bali alisema ni uchawi! Waliitwa wachawi wakali wa nchini Misri ili waje wamkomoe nabii Musa. Walipanga siku maalum na wal

Ukiona mtu anabisha kuwa hakuna uchawi usimshangae kwani uchawi umetajwa na ulikuwepo enzi za manabii k**a Suleiman, Musa, Muhammad na wengine. Biblia na Qur’an zimeutaja uchawi, tunaona Nabi…

Sababu ni upotovu na husuda kwa wanadamu, mwanadamu ni kiumbe mwenye kubadilika muda wowote na ibilisi anamtafuta masaa ...
08/04/2023

Sababu ni upotovu na husuda kwa wanadamu, mwanadamu ni kiumbe mwenye kubadilika muda wowote na ibilisi anamtafuta masaa 24 ili ampoteze. Tamaa na wivu wa kijinga unapelekea baadhi ya watu kuwachukia wenzao na kuwaonea husuda kisha kuwaloga kwa kushirikiana na mashetani, majini pia wachawi waliokithiri na kumshirikisha Mungu mmoja wa pekee. Dawa kubwa ya kuzuia usidhurike na uchawi ni kumuomba Mungu mmoja wa pekee muda wote na hasa kabla ya kulala na kutoka nje ya nyumba yako....

Sababu ni upotovu na husuda kwa wanadamu, mwanadamu ni kiumbe mwenye kubadilika muda wowote na ibilisi anamtafuta masaa 24 ili ampoteze. Tamaa na wivu wa kijinga unapelekea baadhi ya watu kuwachuki…

Afya yako muhimu sana
08/04/2023

Afya yako muhimu sana

Kuna ndoto za kawaida hizo ziache ila ndoto za ajabu au zenye kukuchanganya usizipuuzie, mfano kuota nyoka mweusi au njano au nyoka wa rangi yoyote si jambo la kawaida. Hilo ni jini na inategemea u…

Ndoto ni ujumbe wa uhakika usipuuzie
08/04/2023

Ndoto ni ujumbe wa uhakika usipuuzie

Mama mmoja alikuwa usiku anaota ndoto mbaya k**a: Kuota anafanya tendo la ndoa usingizini Kuota anapaa Kuota waliokufa mara kwa mara Kuota anakula au analishwa vitu Kuota nyoka Kuota anafukuzwa na …

Ndoa ni heshima kwa waliofikia umri wa kuoa au kuolewa, mtihani mkubwa uko kwa wanawake, msicha au mwanamke kupata mume ...
29/03/2023

Ndoa ni heshima kwa waliofikia umri wa kuoa au kuolewa, mtihani mkubwa uko kwa wanawake, msicha au mwanamke kupata mume siku hizi ni kazi ngumu. Kuzini, kusagana, usenge na machafu yametawala na hayo yapo katika jamii. Kuzini imekuwa kawaida hadi kijana au mwanaume bila kuzini kwanza na mchumba hawezi kuridhika hadi amuonje kwanza. Akizini na kuona ladha hajaipenda ndipo umtelekeza bila kufunga ndoa na umwambie anajipanga hadi wanachokana na kuamua kuanzisha uzinzi na wengine kila mtu kivyake....

Ndoa ni heshima kwa waliofikia umri wa kuoa au kuolewa, mtihani mkubwa uko kwa wanawake, msicha au mwanamke kupata mume siku hizi ni kazi ngumu. Kuzini, kusagana, usenge na machafu yametawala na ha…

Address

Kimara-Saranga-Mkomozi
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Herbs Research posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba Herbs Research:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram