afya bora

afya bora Tunatoa huduma ya vipimo na matibabu kulingana na changamoto uliyonayo

27/10/2023

UNATAKIWA KUFANYA YAFUATAYO ILI KULINDA AFYA YAKO

1. Hakikisha umeacha punyeto kabisa
Ili upone tatizo hili hutakiwi kuwa mtu wa kubadilika mawazo hovyo. K**a umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi fulani nimeacha tabia hii na sitarudi nyuma. K**a wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa kulingana na imani yako.

2. Mazoezi
K**a wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Inaweza kuwa kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu uwe mzuri na wewe usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume.

3. Kula chakula bora cha asili
Vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.

4. Kunywa maji mengi sana
Kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo k**a mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume

Haya wanajanvi wa Tiba Asili k**a una mbinu nyingine, maoni au ushauri tafadhali tuambie kuwasaidia wahanga wa hili tatizo.

K**a una hii changamoto na umeangaika sana na madawa ya kila aina bila mafanikio
Tuone Afya Kwanza Herbal Clinic tumekuletea package ya 200,000 inayoweza kurudisha nguvu zako ulizopoteza kutokana na mchezo wa punyeto tupo Daresalaam kariakoo mtaa wa mafia na nyamwezi stand ya mabibo na tunafanya delivery mikoa yote.

By; Dr. Jawadu F Mugisha ✍🏾
+255755411190📞
+255679711190
wa.me/255626450141

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram