Mr Dentist

Mr Dentist DENTAL SERVICE

16/06/2022
Your Smile Our PriorityKaribu Tukuhudumie..!
21/01/2020

Your Smile Our Priority
Karibu Tukuhudumie..!

DENTAL SERVICE

13/03/2019

Make your Appointment Now
karibu Tuluhudumie

23/01/2019

Happy New Year 2019,we still provide service more closer to you....for the best quality Dental services,HERE WE ARE TO SERVE YOU..
OUR SERVICES;TOOTH EXTRACTIONSTOOTH RESTORATION TEETH SCALING AND POLISHINGBLEACHING DENTURES(ARTIFICIAL TEETH)BRIDGESX RAYS (PA)

KARIBU TUPIGIE KWA APPOINTMENTS NA MAULIZO.

 Mara nyingi ukipita Barabarani Utasikia sana ikiongelewa kuwa Hakuna Dawa ya meno Zadi ya Kutoa..!HAPANAkuna Matibabu M...
15/11/2018


Mara nyingi ukipita Barabarani Utasikia sana ikiongelewa kuwa Hakuna Dawa ya meno Zadi ya Kutoa..!
HAPANA
kuna Matibabu Mengi Ambayo Meno Huweza kufanyiwa isipokuwa tumekuwa na uelewa mdogo au hafifu juu ya matibabu hayo,Kwani hatuna uchunguzi wa vipindi kwa vipindi(check Ups) ili kubaini Matatizo Mapema.
Teknolojia imekua sana Ni vizuri tuende nayo kwa manufaa yetu na Afya zetu.

USHAURI
1.Fanya Ratiba ya kutembelea Kliniki ya Meno Japo Mara mbili kwa Mwaka kwa check Up.

2.K**a unatatizo ya kinywa Muulize Mtu husika (Hakuna Tiba mbadala inayotibu Meno)

3.Ishi Maisha ya kanuni za kiafya kila siku.

4.Ni KANUNI piga mswaki mara mbili,Asubuhi baada ya kifungua kinywa na Usiku Baada ya kula kabla ya Kulala.

5.Usijinunulie Dawa k**a Matibabu labda iwe k**a huduma ya kwanza Muone Daktari mapema pale u apohisi mabadiliko katika kinywa chako.

Karibu Tukuhudumie

Dr.Nyama D.E

09/06/2018

Upigaji sahihi wa mswaki...Rolling method

13/04/2018

Kituo chetu tunatoa Huduma zifuatazokuziba meno yaliotobokakisafisha meno yenye ugagakutengeneza meno ya bandiakungoa meno yaliyosindikana kifanyiwa tiba mbadalakuua mizizi ya jino (Root canal Treatment)
Pamoja na matibabu Mbalimbali.

Karibu tukuhudumie.....au wasiliana nasi kwa contact zetu hapo juu

22/03/2018

Ulaji wa vitu vya sukari kwa wingi k**a soda, chocolate na vitu K**a hivyo unaongeza uharibifu wa meno yako. #

Address

Tabata
Dar Es Salaam
1

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Dentist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mr Dentist:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category