15/02/2026
๐น๐ฟ Hongera Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania โ wakunga wa Tanzania tuko tayari ๐น๐ฟ๐ฅ
Kwa kauli moja katika Mkutano wa 39 wa AU, Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa kuwa *Champion wa Afya ya Uzazi na Mtoto Afrika.*
๐ Hongera sana Mhe. Rais kwa heshima hii kubwa barani Afrika.
Ni ushindi kwa Tanzania. Ni ushindi kwa kina mama. Ni ushindi kwa watoto wachanga.
Hii si TUZO TU bali ni JUKUMU la kuongoza Afrika katika:
โ
kuimarisha mifumo ya afya
โ
kuharakisha afua zenye matokeo
โ
kuvutia rasilimali za kimkakati
โ
kuvuka mipaka kwa ushawishi wa sera
K**a TAMA โ Chama cha Wakunga Tanzania, tunasema kwa sauti moja:
๐ฉ๐พโโ๏ธ tuko tayari kushirikiana kwa karibu na Serikali ya Tanzania
๐ค tuko tayari kuunga mkono dira ya kitaifa na ya bara
๐ tuko tayari kuongoza kwa vitendo kupitia wakunga walioko mstari wa mbele katika kutoa huduma kwa kina mama na watoto wachanga
At the 39th AU Summit, African leaders unanimously appointed President Dr. Samia Suluhu Hassan as Africaโs Champion for Maternal, Newborn and Child Health.
๐ Congratulations, Madam President, on this historic continental recognition. This is not just an honour โ it is a leadership responsibility.
As TAMA (Tanzania Midwives Association), we are ready to work hand in hand with the Government of Tanzania to:
๐ influence national and continental maternal health priorities
๐ scale midwifery-led, evidence-based solutions
๐ฐ mobilize strategic resources
๐ถ๐พ deliver measurable survival outcomes
Midwives are the backbone of maternal and newborn health.
And we are ready to serve โ nationally and beyond borders.
๐ข Wito wetu | Call to action
Washirika wa maendeleo, watunga sera, sekta binafsi na wadau wa afya โ tushirikiane.
Development partners, policymakers and allies โ partner with Tanzania and its midwives.
From leadership to impact.From commitment to survival.
Because every mother matters.
Kila mtoto mchanga anastahili kuishi.
AfricaLeadership ResourceMobilisation