Fiesta Condoms TZ

Fiesta Condoms TZ The official fan page for Fiesta Condoms Tanzania. Fiesta was launched by DKT International in 2003 and is now one of our most popular condom brands.

Fiesta condoms come in 16 different colours, shapes and sizes, as well as the Fiesta lubricant. Quality Information
All Fiesta condoms are imported and manufactured to the highest International Quality Standards (ISO 4074). Every condom is electronically tested and if used properly will prevent pregnancy and the transmission of sexually transmitted infections, including HIV

Happy Nyerere Day.
14/10/2025

Happy Nyerere Day.

Contraception is about options, access, and empowerment. On   Fiesta celebrates with you — bold, safe, and always fun.-U...
26/09/2025

Contraception is about options, access, and empowerment. On Fiesta celebrates with you — bold, safe, and always fun.

-

Uzazi wa mpango ni kuhusu chaguo, upatikanaji na uwezeshaji. Katika Fiesta inasherehekea nawe — kwa ujasiri, usalama na furaha kila mara.

MedExpo 2025 was a vibe! Big shoutout to everyone who pulled up, together we had fun, kept the energy high and the conve...
16/09/2025

MedExpo 2025 was a vibe! Big shoutout to everyone who pulled up, together we had fun, kept the energy high and the conversation on safe choices alive.

MedExpo 2025 ilikuwa balaa! Shukrani kubwa kwa wote mliofika, pamoja tulifurahi, tukaendeleza mzuka na mazungumzo ya chaguo salama.

12/08/2025

Mawasiliano hufanya uhusiano kuwa imara, Au wewe unaonaje?
Hebu tuambie kwenye comments hapo chini, ni ukweli gani unakumbana nao wakati mpenzi wako anapokutia hisia mkiwa kitandani au juu ya dari? 😜🤩😋

Kuwa smart kunavutia sana, na mtu anaye jielewa, anavutia zaidi kimapenzi.Hivi, mwili wako unaujua kwa kiasi gani?Kwasab...
09/08/2025

Kuwa smart kunavutia sana, na mtu anaye jielewa, anavutia zaidi kimapenzi.
Hivi, mwili wako unaujua kwa kiasi gani?
Kwasababu, ukitaka mapenzi yanoge, lazima ujue nini kinakufaa zaidi unapofanya mapenzi.
Tujulishe kwenye comments!

Pale unapobadilisha akili zako mkiwa faragha... kisha ukajikuta hujui cha kufanya! Dah!Tungependa kusikia ile story! Tus...
07/08/2025

Pale unapobadilisha akili zako mkiwa faragha... kisha ukajikuta hujui cha kufanya! Dah!
Tungependa kusikia ile story! Tusimulie nini kilichotokea, kilichosababisha, na wewe ulifanyaje?

Pale inapokuwa nyembamba mno hadi unasahau kama ipo kabisa… weeh! Utamu ulioje? 🤩Fiesta Ultra Thin inakupa ulinzi wa uha...
05/08/2025

Pale inapokuwa nyembamba mno hadi unasahau kama ipo kabisa… weeh! Utamu ulioje? 🤩
Fiesta Ultra Thin inakupa ulinzi wa uhakika bila kuzuia starehe.
Jipatie yako leo, ujionee mwenyewe raha na uhuru usio na mipaka. 😋

Fiesta inakulinda bila kukuondolea kile kilicho cha muhimu zaidi ….RAHA. Hivi, kujiamini  kwenye hili.. Kuna maana gani ...
01/08/2025

Fiesta inakulinda bila kukuondolea kile kilicho cha muhimu zaidi ….RAHA.
Hivi, kujiamini kwenye hili.. Kuna maana gani kwako?🤔💋

Unataka kuhisi kila kitu?Kila mguso, kila sekunde ukiwa na uhakika wa utamu usiokatika, kuanzia mwanzo hadi mwisho… mmmh...
29/07/2025

Unataka kuhisi kila kitu?
Kila mguso, kila sekunde ukiwa na uhakika wa utamu usiokatika, kuanzia mwanzo hadi mwisho… mmmh 😋
Hebu tuambie, raha ina maana gani kwako? 💘🥳

Tujulishe hapa au DM, tuchambue kwa pamoja bila presha.Hali sasa ni shwari kabisa, dear. Kila kitu kinaweza kuongeleka.H...
25/07/2025

Tujulishe hapa au DM, tuchambue kwa pamoja bila presha.
Hali sasa ni shwari kabisa, dear. Kila kitu kinaweza kuongeleka.
Haya, tukutane kwenye mazungumzo! 🥰

Address

Plot No. 372, Chole Road, , Oyster Pearl Galleria, Oysterbay
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fiesta Condoms TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Fiesta Condoms TZ:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram