04/11/2025
Lotus Beauty Face &body Lotion
✨ ✨
Ngozi yako ing’ae bila doa – kutoka usoni hadi mwilini!
Unatafuta lotion inayotoa mwanga wa asili, kuondoa ukavu, na kufanya ngozi laini kama hariri?
Jaribu lotus beauty face & body Lotion – imeundwa kwa viambato vyenye nguvu vinavyokupa matokeo ndani ya siku chache tu!
✅ Faida Kubwa Unazopata:
✨ Inang’arisha ngozi taratibu bila kuichubua
🌿 Imetengenezwa kwa viambato asilia (Shea butter, Vitamin C & E, Turmeric extract)
💧 Hufunga unyevu kwa saa 24 – no dryness!
🛡️ Husaidia kupunguza mabaka, weusi wa magoti, vifundo & shingo
👶 Ngozi inabaki laini, nyororo na yenye afya
📌 Inafaa Kwa Aina Zote za Ngozi:
Oily • Dry • Normal • Sensitive
💝 Matumizi:
Tumia asubuhi na jioni kwa uso na mwili mzima. Kwa matokeo bora, tumia kila siku.
✨ Hii sio lotion ya kubadilisha rangi – ni ya kukupa mwanga wa asili unaovutia!
Bei:25000
Ujazo.mls 200.
📍 Available now!
📞 Wasiliana nasi: 0677227220
📦 Tunafanya delivery nchi nzima