20/11/2023
NAMNA YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL KWA MWANAUME
Kuna aina mbali mbali za mazoezi lakini kuna baadhi ambayo huwa na manufaa ya kiafya inapokuja katika kujamiiana au tendo la ndoa kwa binadamu.
Mazoezi ya mwili ni sehemu muhimu sana ya afya ya mwanadamu na kuyafanya au kutoyafanya kunaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa hali ya afya ya mtu.
Je! Mazoezi ya kegel ni nini?
Kegel Ni mazoezi yanayofanywa kwa kurudiarudia kwa kukaza (kubana) na kuachia misuli iliyopo kwenye uvungu wa pelvis kitaalam inaitwa PELVIC FLOOR MUSCLES!
Pelvic floor muscles ni misuli inayoshikilia asilimia 85% ya Uume! na ndiyo misuli inayofanya kazi ya kudhibiti ufanyanyaji kazi wa dhakari.
mazoezi haya husaidia viungo vilivyopo chini ya nyonga kuboresha mawasiliano na udhibiti wa kibofu cha mkojo na pia kuimarisha uwezo wa tendo la ndoa.
SWALI LINAKUJA! NAFANYAJE HAYA MAZOEZI?! na ndio Dhumuni la kuandaa Makala hii, naamini ukisoma Mpaka mwisho utakuwa umepata jibu la swali lako!
Ukiwa umesimama au umekaa, legeza viungo vyako vyote vya mwili, usikaze makalio wala misuli yako ya miguu au ya tumbo. Kaza misuli yako ya uvungu wa sehemu nyeti k**a vile unazuia mkojo usitoke.
Ukiwa bado umeikaza misuli hiyo, hesabu sekunde 3 hadi tano kisha ilegeze (ukiweza kuhesabu sekunde zaidi ni vizuri zaidi).
Fuata ratiba uliyopewa hapa chini kuendelea na mazoezi yako.
Wiki ya 1 mikazo 30 kwa siku.
Wiki ya 2 mikazo 30 kwa siku โ mara mbili kwa siku.
Wiki ya 3 mikazo 45 kwa siku โ mara mbili kwa siku.
Wiki ya 4 mikazo 60 kwa siku โ mara mbili kwa siku.
Wiki ya 5 mikazo 75 kwa siku โ mara mbili kwa siku.
Naamini ukifanya hili zoezi Kwa muendelezo litakusaidia kukupa Uwezo wa kuweza kuhimili Tendo la ndoa Kwa mda mrefu sana! Maana misuli ya pelvic floor muscles Ina control kazi Nyingi za UUME.
ilimradi uweze kusupport tissues na misuli ya Uume! Pia ni muhimu Kupata Huduma ya Virutubisho ambavyo vitaenda kulisha seli za mwili na kutanua hii misuli!
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
๐ฃ๐๐๐ ๐๐จ ๐ช๐๐๐ง๐ฆ๐๐ฃ๐ฃ 0742825801