Irene afya imara

Irene afya imara Nawasaidia watu kutatua changamoto mbalimbali za kiafya kupitia virutubisho lishe

25/08/2025
15/08/2025
30/07/2025

HILI HAPA SULUHISHO LA KUDUMU LA CHANGAMOTO YA VIUNGO NA MIFUPA,MGONGO KIUNO,MAGOTI NK +255716488443

30/07/2025

K**a unapitia changamoto ya mgongo kiuno na Ganzi comment hapo chini au nitafute kwenda namba +255716488443 kwa ushauri zaidi.

24/09/2024

Ukweli ni kwanza changamoto nyingi za kiafya zinasababishwa na mfumo Mbovu wa mmeng’enyo wa Chakula bawasiri ,choo kigumu ,Vidonda vya tumbo ,gesi kujaa tumboni ,tatizo la homoni na upungufu wa nguvu za kiume .Ukizingatia aina ya vyakula unavyokula na vinywaji unavyokunywa utaboresha sana mfumo wako wa mmeng’enyo wa Chakula .Kwa ushauri zaidi juu ya hizi changamoto za kiafya na utatuzi piga +255 620 629 101 .

17/08/2024
18/07/2024
*MAMBO (6) YA KUZINGATIA KABLA HUJALALA:* Kabla ya kwenda kulala inashauriwa kuzingatia mambo yafuatayo ili kuboresha us...
29/01/2024

*MAMBO (6) YA KUZINGATIA KABLA HUJALALA:* Kabla ya kwenda kulala inashauriwa kuzingatia mambo yafuatayo ili kuboresha usingizi na kuwa na afya;
01. Usitumie vinywaji vyenve caffeine (k**a vile kahawa) masaa 6 kabla ya kulala.
02. Epuka matumizi ya pombe na kuvuta sigara masaa 2 kabla hujalala.
03. Zima simu janja au vifaa vingine vya mawasiliano dakika chache kabla hujalala
04. Hakikisha chumba hakina mwanga mkali, ni tulivu na kimeandaliwa vizuri kabla ya kulala.
05. Usilale ukiwa na njaa kali. Lakini pia, usile chakula kingi masaa 2 kabla hujalala maana itakuzuia kupata usingizi mzuri.

06. Usifanye mazoezi makali masaa 3 kabla hujalala. Kufahamu mbinu zaidi zitakazoboresha usingizi wako na kukufanya we na afya njema, wasiliana nasi +255 716488443

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255716188443

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Irene afya imara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram