Sam Nature

Sam Nature Kutokomeza Kisukari na Kuboresha Afya kiujumla kwa njia Asilia |
Mawasiliano +255621596614

Gundua chanzo, Tatua Tatizo

30/03/2026

Ukumbusho muhimu kabisa

26/03/2026

Acha comment yako

24/03/2026

Kupata program nicheki Whatsapp kwa namba 0621596614

14/03/2026
14/03/2026

Pamoja na maisha kuwa na usasa mwingi.. miili yetu Bado haijapoteza uasilia wake

Unakumbuka miaka gani ukiona hivi

12/03/2026

🌍 Siku ya Figo Duniani – 12/03/2026

Leo tunaadhimisha World Kidney Day, siku maalum ya kuelimisha jamii kuhusu afya ya figo na hatari za magonjwa ya figo, hasa kwa watu wenye Kisukari.

⚠️ Je, unajua? Watu wengi huishi bila kujua kwamba figo zao zinaanza kuharibika polepole.

Kisukari (Diabetes) ni mojawapo ya sababu kubwa za uharibifu huu.

Figo zikishafeli, mtu anaweza kuhitaji dialysis mara kwa mara au hata kupandikizwa figo, jambo linalogharimu sana.

💡 Maana ya Figo
Figo ni viungo viwili vilivyopo mgongoni, karibu na uti wa mgongo.

Kazi zake kuu ni:

🩸 Kuchuja damu na kuondoa sumu mwilini

💧 Kudhibiti kiwango cha maji mwilini

⚖️ Kusawazisha madini muhimu k**a sodiamu na potasiamu

❤️ Kudhibiti shinikizo la damu

🧬 Kuzalisha homoni muhimu kwa afya ya mwili

Kwa maneno rahisi, figo ni kichujio cha mwili wako. Kulinda figo ni kulinda maisha yako.

⚠️ Jinsi Kisukari Kinavyoweza Kuharibu Figo

Uharibifu unaoitwa Diabetic Nephropathy hutokea pale sukari nyingi mwilini zinapoharibu mishipa midogo ya damu ndani ya figo.

Hii inasababisha:
1️⃣ Kichujio cha figo kushindwa kufanya kazi vizuri

2️⃣ Kuongeza mkojo wa protini

3️⃣ Mwisho wa siku, kupoteza uwezo wa figo kabisa

Ndiyo maana watu wenye kisukari wanahitaji kujikinga mapema.

🔍 Dalili za Uharibifu wa Figo

🦵 Kuvimba miguu, vifundo vya miguu au uso

😴 Uchovu usioelezeka

🌙 Kukojoa mara nyingi hasa usiku

🤢 Kupoteza hamu ya kula

💧 Mkojo wenye povu

😵 Presha kupanda au maumivu ya kichwa
Hata k**a huna dalili, pima afya yako mara kwa mara – ni kinga bora zaidi.

🛡️ Jinsi ya Kulinda Figo Zako

1️⃣ Dhibiti sukari ya damu – lishe bora na kudhibiti insulin resistance ni hatua muhimu

2️⃣ Kunywa maji ya kutosha – husaidia figo kusafisha sumu mwilini

3️⃣ Punguza sukari na vyakula vilivyosindikwa – lishe safi ni kinga kwa figo

4️⃣ Fanya mazoezi mara kwa mara – husaidia kudhibiti sukari, kupunguza uzito na kuboresha damu

5️⃣ Pima afya yako mara kwa mara – sukari, presha, kipimo cha mkojo na figo

💡

Gundua chanzo, Tatua Tatizo
~ Samnature

© Swahili Wellness

11/03/2026

Unaipa ngapi kwenye 1-10
Anyway join movement tufikie malengo

06/03/2026

Hii ndio Tiba kamili ya kutokomeza ugonjwa wa Kisukari.. fuatilia mpaka mwisho

Mawasiliano ni 0621596614

04/03/2026

Sababu Kuu 3 Kwanini tumeanzisha movement ya TOKOMEZA KISUKARI

1. Bibi yangu alikatwa mguu kwaajili ya Kisukari.. hakuwa na muda wa kujitetea k**a wengine ..alichelewa kujigundua k**a ni mgonjwa so kipindi anagundulika tu ndani ya mwezi wa kwanza wakakata vidole, mwezi uliofuata wak**alizia mguu wake (sitamani kuona mtu mwingine au familia nyingine wakipata Maumivu haya)

2. Asilimia 80+ ya watu wenye ugonjwa huu wanafanya Tiba inayowasaidia kulea ugonjwa tu ndio maana hawaponi pamoja na kupoteza pesa nyingi kutumia madawa na madawa bado ugonjwa unakuwa palepale, unazidi kuwa sugu zaidi, kusababisha kero nyingi na wengine kuishia kupata madhara hatari yasiyorudishika nyuma. Ipo program maalumu na Asilia inayosaidia kuondoa kabisa kiini cha ugonjwa mpaka sasa nimepokea shuhuda nyingi mno za mafanikio kutoka kwa clients wangu..

Sababu no.3

▶️ Natokea kwenye familia yenye vinasaba vya Kisukari inamaana lifestyle yangu ikiwa mbaya ni rahisi sana kuugua pia so kupitia ufahamu huu nimebadili sana lifestyle yangu .. by the way nilianza kubadilika baada ya kuanza kuona dalili za awali za ugonjwa huu..😀 nitakuja kuelezea kwa upana siku moja so from there nikasema sisubiri mapigo ili kufuata ushauri. Nashukuru Mungu naenjoy sana lifestyle hii mpya ya kiafya inayomfaa kila mtu na inanifanya kuwa active sana while helping others

4. Sababu ya mwisho ni kwamba it's my passion .. nafanya k**a mchango wangu kwa jamii .. napenda watu.. napenda kuishi contributional life.. maisha yenye kugusa wengine.. hakuna Furaha kubwa kwangu k**a kuona shuhuda za transformation ya clients wangu

Hizo material things zinakuja na zitakuja abundantly kwangu k**a bonuses/rewards tu

So hivyo ndivyo ilivyo familia.. (this is unstoppable mission) 💪🏽🤝

Ni sababu ipi imekugusa hapo.. anyway karibu sana kwenye movement hii usaidike

04/03/2026

Grateful for another day of life. May today bring peace, joy, and favor to me and everyone around me 🙏✨

03/03/2026

Umependa part gani.😃

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255621596614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sam Nature posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Sam Nature:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram