Simutatu TV

Simutatu TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simutatu TV, Dar es Salaam.

> 🌍 Mkolwe | SimuTatu TV
📺 Education | Health | Stories | Business
📧 Email: simutatutv@gmail.com
▶️ YouTube: SimuTatu TV
📸 IG:
🔔 Follow for ideas, knowledge & healthy living!

Iran imetoa rasmi majibu yake kwa pendekezo lenye vipengele 15 lililowasilishwa na Marekani Jumatano usiku, kwa mujibu w...
27/03/2026

Iran imetoa rasmi majibu yake kwa pendekezo lenye vipengele 15 lililowasilishwa na Marekani Jumatano usiku, kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza na chombo cha habari kutoka Iran,Tasnim.

Chanzo hicho kilisema kuwa majibu ya Iran yaliwasilishwa kupitia wapatanishi, na Tehran sasa inasubiri mrejesho.

Kwa mujibu wa chanzo hicho, Iran imeweka wazi katika majibu yake kuwa vitendo vya uchokozi k**a mauaji ya kulenga watu maalum lazima vikome. Pia imesisitiza haja ya kuweka masharti madhubuti ya kuhakikisha vita havijirudii tena, kulipwa fidia na gharama za vita, pamoja na kusitishwa kwa vita katika pande zote na kwa makundi yote ya upinzani yaliyoshiriki katika mapambano hayo katika eneo zima.

Chanzo hicho kiliongeza kuwa mamlaka ya Iran juu ya Mlango wa Hormuz ni haki yake ya kiasili na kisheria, na itaendelea kuwa hivyo.
Aidha, mamlaka hayo yanapaswa kutambuliwa k**a dhamana ya utekelezaji wa makubaliano ya upande mwingine. Haya yote yametajwa kuwa ni masharti ya Iran, tofauti na madai yaliyotolewa wakati wa duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia mjini Geneva, yaliyofanyika siku chache kabla ya vita vya uchokozi vya Marekani na Israel mwezi Februari.

Chanzo kilisisitiza kuwa Iran inaona madai ya Marekani kuhusu mazungumzo kuwa ni “mradi wa tatu wa udanganyifu.” Kinasema kuwa Marekani inalenga malengo kadhaa kwa kujificha nyuma ya pazia la mazungumzo: kuipotosha dunia kwa kujionyesha k**a inatafuta amani, kudhibiti bei ya mafuta duniani isishuke sana, na kununua muda ili kujiandaa na mashambulizi mapya ya kijeshi kusini mwa Iran.

Mwisho, chanzo hicho kilieleza kuwa k**a Iran ilikuwa na mashaka kuhusu nia ya Marekani kuheshimu makubaliano kabla ya vita vya siku 12 vya Juni 2025, sasa ina mashaka makubwa zaidi kuhusu utayari wa Marekani kufanya mazungumzo kwa dhati. Kimeongeza kuwa wakati wa vita hivyo na hata sasa, Marekani imekuwa ikianzisha mashambulizi huku ikiendelea kudai kuwa iko kwenye mazungumzo, jambo linaloifanya Iran kuamini kuwa madai hayo yanatumika kuficha mipango ya uchokozi mpya.

Chanzo
Salim Kikeke

US🇺🇸 President Donald Trump said that the CIA informed him that Iran’s🇮🇷 newly appointed Supreme Leader, Mojtaba Khamene...
27/03/2026

US🇺🇸 President Donald Trump said that the CIA informed him that Iran’s🇮🇷 newly appointed Supreme Leader, Mojtaba Khamenei, is gay. Speaking to Fox News, Trump added that others had also made similar claims and noted that such reports “put him off to a bad start” in a country known for harsh penalties against LGBTQ+ people.

-Away From Africa

Nasreddine Nabi ndiye kocha aliyeleta mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani ya klabu ya Yanga SC.Haikuwa kazi rahisi kwak...
27/03/2026

Nasreddine Nabi ndiye kocha aliyeleta mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani ya klabu ya Yanga SC.

Haikuwa kazi rahisi kwake kwasababu wapo ambao walikuwa hawamuelewi na kuna muda kibarua chake kilikuwa kinashikiliwa na utandu wa buibui,ila imani yake juu ya filosofia yake ilimbeba sana.

Makocha wengi wamepita na kutengeneza filosofia zao k**a babu Hans van der Pluijm,lakin mwalimu Nabi alikuja kuiamsha Yanga kwa njia zake.

Na kuitengenezea ubora mkubwa sana uwanjani,kila mchezaji anayeanza na anayekaa benchi wanakupa ubora ulele.

Zipo mechi nyingi sana ambazo Yanga SC walicheza kwa ubora na ujivuni wa hali ya juu kutokana na maarifa ya Nabi.

Leo nimesoma taarifa ya klabu ikisema kuwa kwenye tathimini yao ya michezo ya mzunguko wa kwanza,licha ya kufanya vizuri kwenye baadhi ya takwimu ila wamegundua kuna changamoto inayoifanya timu icheze soka tofauti na ile iliyozoeleka.

Ukiona mazingira k**a hayo yanaelezwa kupitia barua rasmi ya klabu,bila shaka kuna shida kwenye benchi la ufundi kushindwa kuendana na filosofia ya klabu.

Mwalimu Nabi hana timu kwa sasa baada ya kuachana na Kaizer Chiefs,na ilisemwa wakati anaachana na timu hiyo ya Afrika ya Kusini aliamua kuwa karibu na mke wake aliyekuwa mgonjwa.

Bila ya kumvunjia heshima kocha Pedro Gonçalves hiki kilichoandikwa kwenye taarifa kwa umma,na kurejeshwa kwa Moalin inawezekana ikawa ni taa nyekundu au ya kijani.

Ila kilicho muhimu k**a mambo hayatakwenda sawa,itakuwa ni wakati wa kufikiria kumrejesha baba wa filosofia ya Yanga SC kwa miaka ya hivi karibu kocha Nasreddine Nabi,ingawa cv ya kufundisha Afrika ya Kusini imempelekea kuwa kocha mwenye kuhitajika kulipwa pesa nyingi.

Bila shaka kwa bwanyenye GSM inaweza kuwa sio shida.

Yanga Goalkeeper Djigui Diarra Banned and Fined as Simba Also PenalizedGolikipa wa Yanga SC, Djigui Diarra, amefungiwa m...
27/03/2026

Yanga Goalkeeper Djigui Diarra Banned and Fined as Simba Also Penalized
Golikipa wa Yanga SC, Djigui Diarra, amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya jumla ya shilingi milioni nne (TSh 4,000,000) kufuatia makosa aliyoyafanya katika mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa sare ya 1-1.

Kwa mujibu wa taarifa ya Tanzania Premier League Board, adhabu hiyo imetolewa baada ya Diarra kupatikana na hatia ya kumshambulia mwamuzi wa kati pamoja na kuonesha ishara isiyo ya kiungwana (kidole cha kati) alipokuwa akitoka uwanjani.

TPLB ilieleza kuwa vitendo hivyo vinakiuka kanuni za maadili na nidhamu za ligi, na hatua kali zimechukuliwa kulinda heshima ya mchezo na mamlaka ya waamuzi.
Simba SC Fans Also Sanctioned

Wakati huo huo, Simba SC imetozwa faini ya shilingi milioni kumi (TSh 10,000,000) kufuatia mashabiki wake kuwarushia chupa za maji waamuzi katika mchezo wao dhidi ya Pamba Jiji uliomalizika kwa sare ya 1-1.

TPLB imesisitiza kuwa klabu zina wajibu wa kuhakikisha usalama wa waamuzi na maafisa wa mechi, na vitendo vya vurugu kutoka kwa mashabiki havitavumiliwa.

Discipline Measures Reinforced
Adhabu hizi zinaonyesha msimamo mkali wa mamlaka ya soka Tanzania katika kudhibiti nidhamu ndani na nje ya uwanja, huku zikilenga kulinda taswira ya ligi na kuhakikisha mazingira salama kwa wadau wote wa mchezo.

Follow us Simutatu TV 0

Je tutarajie mabadiliko?
24/03/2026

Je tutarajie mabadiliko?

Kikao kinacho kinacho kaliwa leo na viongozi wa Young Africans Sports Club unafikiri ni umpi mjadajala wake?
23/03/2026

Kikao kinacho kinacho kaliwa leo na viongozi wa Young Africans Sports Club unafikiri ni umpi mjadajala wake?

Unalipi la ku mshauri?
23/03/2026

Unalipi la ku mshauri?

Je wakati wa makombe msimbazi ume fika?
23/03/2026

Je wakati wa makombe msimbazi ume fika?

Putin Reaffirms Support for Iran as US and Israel Strikes Escalate Conflict
23/03/2026

Putin Reaffirms Support for Iran as US and Israel Strikes Escalate Conflict

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amemhakikishia mwenzake wa Iran, Masoud Pezeshkian, kuwa Moscow itaendelea kuwa rafiki wa karibu na mshirika wa kuamini

Fursa za mafunzo ya muda mfupi kwenye chuo cha VETA Mkoa wa Kagera.
20/03/2026

Fursa za mafunzo ya muda mfupi kwenye chuo cha VETA Mkoa wa Kagera.

Morocco Awarded AFCON 2025 Title After CAF Overturns Senegal Victory
18/03/2026

Morocco Awarded AFCON 2025 Title After CAF Overturns Senegal Victory

CAF awards Morocco the AFCON 2025 title after overturning Senegal’s win due to unsportsmanlike conduct in the final.

Address

Dar Es Salaam
MKOLWE

Telephone

+255687722315

Website

https://www.youtube.com/@simutatuhadithi, https://www.youtube.com/@simutatuhadithi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simutatu TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Simutatu TV:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram