Abite Nyumbani

Abite Nyumbani Get treated at your place of choice.

06/11/2025

Mzee wako umri umeenda na anapata shida kutembea?

Rollator Walker itamsaidia kutembea kwa kujiamini na kumpa faraja ya kufika anapopataka kwa urahisi zaidi.

Ina:

✓ Matairi
✓ Kiti kwaajili ya kukaa na kupumzuka akichoka kutembea
✓ Ina kikapu cha kubebea mahitaji yake kama maji, taulo, n.k.

Inasaidia pia kwa wagonjwa:
✓ waliotoka kufanyiwa upasuaji
✓ wanaoanza kutembea kutokana na ugonjwa au ajali walizopata.

Inapatikana Abite Nyumbani

Price: 310,000/=

Karibu Sana!

"The greatest glory in living lies not in never falling, but in rising every time we fall." - Nelson Mandela Kwa familia...
05/11/2025

"The greatest glory in living lies not in never falling, but in rising every time we fall." - Nelson Mandela

Kwa familia za wafiwa:

Ndugu zetu waliopoteza maisha (kwenye maandamano ya amani ya tarehe 29 Okt - 1 Nov) wametuachia pengo kubwa na deni kwenye jamii zetu.

Tutaendelea kuwakumbuka kwa kuheshimu walichokiamini na kupambania.

Mioyoni mwetu, bado tupo nao.

Poleni sana ndugu zetu. 🙏

Mgongo wako unauma kwasababu unakaa vibaya.Unapinda pale unapopaswa kuwa wima na mwisho wa siku misuli Yako inakaza na u...
27/10/2025

Mgongo wako unauma kwasababu unakaa vibaya.

Unapinda pale unapopaswa kuwa wima na mwisho wa siku misuli Yako inakaza na unaingia kwenye maumivu makali.

Suluhisho ni kukaa katika mikao inayofaa.

Kwa bahati mbaya ,mgongo wako umeshalemaa na unapaswa uanze upya kuurudisha mahala Sahihi.

Good News?

Hiyo ndio kazi ya Curble chair na posture corrector.

Zitakutrain kukaa inavopaswa na baada ya muda maumivu ya mgongo hayatakuwa issue Tena kwako.

Curble chair na posture corrector zinapatikana Abitenyumbani Store.

Posture corrector -60000/=
Curble chair -140000/= mpaka 160000/=

Karibu Kwa ushauri na vifaa hivi.

Maumivu ya shingo yatokanayo na misuli,disc au mifupa kusagika yanaondolewa Kwa mbinu hizi ukiachana na mazoezi:Kwanza ,...
27/10/2025

Maumivu ya shingo yatokanayo na misuli,disc au mifupa kusagika yanaondolewa Kwa mbinu hizi ukiachana na mazoezi:

Kwanza , Hakikisha unalala salama Kwa mto Sahihi Kwa shingo lako.( Cervical pillow)

Pia Hakikisha Kila unaposafiri unavaa mto maalum Kwa ajili ya Shingo.(Ergonomic travel pillow)

Ukifanya hivo , maumivu ya shingo haitakuwa shida yako,utayaskia Kwa jirani tu.

Safiri salama, lala salama na mito Salama.

Mito hii inapatikana Abitenyumbani

Ergonomic travel pillow -40000/=

Cervical pillow (memory foam)-110,000/=

Karibu Kwa ushauri na vifaa tiba sahihi.

23/10/2025

Kufahamu zaidi kuhusu tiba ya kiharusi (stroke), tembelea tovuti yetu leo ya abitebrands.com/learn (link in bio).

Ganzi ya miguu ni hali ya kukosa hisia au kuhisi kama kuchoma choma au sindano kwenye miguu, mara nyingi husababishwa na...
22/10/2025

Ganzi ya miguu ni hali ya kukosa hisia au kuhisi kama kuchoma choma au sindano kwenye miguu, mara nyingi husababishwa na kugandamizwa kwa mishipa ya fahamu.

Kugandamizwa huku husababishwa na kuteleza kwa pingili za mgongo (disc herniation), kusagika kwa pingili za uti wa mgongo (degenerative disc diseases) na mikao isiyo sahihi kwa muda mrefu.

Lakini pia yapo matatizo mengine kama vile kisukari au mzunguko duni wa damu ambao pia hupelekea uwepo wa ganzi miguuni.

Hivyo kusumbuliwa na ganzi ni dalili inayoashiria moja ya matatizo hayo na tiba yake huwa ni....

Soma zaidi makala hii kwa kutembelea tovuti yetu ya abitebrands.com/learn (link in bio)

Imeandikwa na: Mr. Estom Uvambe, PTO.

21/10/2025

Fahamu dalili za hatari za changamoto hii ya kiharusi kutoka kwa Mr. Estom Uvambe, PTO.

Uonapo dalili hizi, tafadhali wahi mapema katika kituo chochote cha Afya.

Njia pekee ya kufaidi uzuri wa kitu ni kuishi na ugumu wake 😅🚴⛹️‍♂️
21/10/2025

Njia pekee ya kufaidi uzuri wa kitu ni kuishi na ugumu wake 😅🚴⛹️‍♂️

21/10/2025

Kiharusi (stroke) ni hali gani hasa?

Husababishwa na nini?

Kundi gani la watu lipo hatarini zaidi kupata changamoto hii?

Je, ni kweli mtu akianguka bafuni maana yake kuna mkono wa mtu?

Physiotherapist wetu, Mr. Estom Uvambe, ana majibu ya maswali haya.

Elimu sio njia ya kuukimbia umaskini, ni zana ya kupigana nao.Happy Nyerere Day ☺️🎭
14/10/2025

Elimu sio njia ya kuukimbia umaskini, ni zana ya kupigana nao.

Happy Nyerere Day ☺️🎭

Wewe sio mlemavu, unahitaji support kidogo tu!Goti lako Lina changamoto moto Gani?Chagua support Yako Hapa, misele irudi...
11/10/2025

Wewe sio mlemavu, unahitaji support kidogo tu!

Goti lako Lina changamoto moto Gani?

Chagua support Yako Hapa, misele irudi kama zamani.

Zinapatikana Abitenyumbani Store

Karibu Sana.

Zingatia code ndogo hapo juu kama hutaki urafiki na maumivu ya mgongo wa chini 😅🙏
10/10/2025

Zingatia code ndogo hapo juu kama hutaki urafiki na maumivu ya mgongo wa chini 😅🙏

Address

Kimara S**a
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abite Nyumbani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Abite Nyumbani:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram