09/12/2025
*___KATA NA KUONDOA MAFUTA MWILINI KWA WEPESI ZAIDI, BILA MAUMIVU WALA KUPOTEZA MUDA_*_ .
_
Moja ya changamoto kubwa iyakumbuka jamii kwa sasa ni watu kujikuta na ongezeko la mafuta yasiyohitaji mwilini.
Mafuta haya huenda Mbali zaidi na hata kusababisha changamoto ya ADIPOSE TISSUE kitu ambacho ni hatari na kigumu kukiondoa kwa mazoezi ya kawaida.
Na hii kwa kiasi kikubwa inachangiwa na mfumo mibaya ya ulaji wa vyakula.
Kiasi kwamba vijana wengi na hata wazee wengi wamekuwa wakipishana Gym kwaajili ya kupambana na changamoto hizi.
Kiuhalisia ni kwamba njia iliyo bora zaidi ya kupambana na mafuta mwilini ni njia matumizi sahihi ya vyakula vyenye VIRUTUBISHO MAALUM vyenye uwezo wa kuchoma na kuyeyusha mafuta mwilini.
Njia hii imekuwa bora zaidi kwa vizazi na vizazi na hata leo bado inatumika hapa Afrika kwa zile jamii ambazo kwa
kiasi kikubwa zinatumia vyakula vya asili.
Lakini pia matumizi sahihi ya mimea yenye virutubisho vya kuchoma na kuyeyusha mafuta mwili imekuwa nguzo kubwa kwa watu wa bara la ASIA.
Hasa katika nchi za China, Korea, Japan n.k ambapo kwao utamaduni huu umeendelezwa na kubaki kuwa hazina kubwa katika mifumo yao ya vyakula.
Mfano wa mimea ambayo imekuwa maarufu zaidi duniani kwa utajiri wa virutubisho na madini ni Gynostemma, Cassia Seed, Lotus leaf n.k. nahasa hupatikana Asia.
Kwa upande wa CHRYSANTHEMUM DIET TEA, ni Chai yenye mchanganyiko wa wa mimea mbalimbali yenye uwezo mkubwa wa kuyeyusha mafuta na kutokuruhusu mafuta kuhifadhiwa kwa wingi katika seli za mwili.
Majani haya yana madini muhimu k**a vile VITAMIN B1 na C kwaajili ya kukusaidia kuyeyusha chakula, kuchoma mafuta na kupelekea kupunguza UNENE kwa haraka zaidi.
Hivyo inathibitika kuwa haya ni majani bora zaid kwenye upande wa kukata na kuondoa mafuta mwilini. Na kwa kiasi kikubwa yametumika na kusaidia sana watu ASIA hasa china.
Na pia yamebaki kuwa majani chai muhimu sana kwa kuondoa sumu zitokanazo na mifumo mbalimbali ya mwili yaani ELIMINATION OF FREE RADICALS.
Sasa aina hii ya chai ipo hapa nchini Tanzania na inaweza kukufikia popote ulipo.
Chukua hatua mapema za kupambana na changamoto hii ya kuzidi kwa MAFUTA na UZITO uliopitiliza kwa njia nyepesi, isiyohitaji muda wa ziada pia haina matumivu ya aina yoyote.
Inapatikana kwa Tsh. 60000 tu na inatumika kwa muda wa 20 na matokeo ni Lazima.
Ilia kuweka ODA piga: 0755912740. Au bofya link kuja WhatsApp 👇👇👇
https://wa.me/message/QKYRT5YPD4XBB1