25/06/2025
Numbuzin Vitamin C super glowing toner 65,000
โจHii ni Toner ambayo target kupunguza muonekano wa hyperpigmentation and dark spots for a more even skin tone.
โจHusaidia sana ngozi kua na rangi 1 na kuzuia discoloration.
Inaweza kutumika Day and Night ( Usiku na Mchana)
Inalenga pia kutatua shida hizi za ngozi
๐ธFine lines
๐ธWrinkles
๐ธDark spots and hyperpigmentation
๐ธAny other signs of ageing
๐ธUneven skin Tone
๐ธNgozi kutokua na rangi moja
Imetengenezwa na brightening ingredients kupunguza dullness, uneven skin tone na appearance ya pores na wrinkles.
Magomeni kanisani
0677792818 au 0756882491
Delivery zipo na mikoani tunatuma