08/12/2025
DAWA YA MKANDA WA JESHI
Mkanda wa jeshi(Shingles) ni jina linalotumika sana mitaani kuutaja ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa vyenye majimaji ambavyo mara nyingi hutokea upande mmoja wa mwili. Ingawa vipele hivi huweza kutokea sehemu yoyote ya mwili lakini mara nyingi hutokea kifuani, shingoni, usoni, mgongoni na mikononi. Tatizo hili mara nyingi huwapata watu wenye umri mkubwa na watu wanaosumbuliwa na matatizo yanayopunguza kinga mwili. Nafikiri tumeelewana vizuri sasa twende kwenye Matibabu yake
--------------------------------------------------------------------------
MAHITAJI:
Ua la ndizi
Mafuta ya mgando
--------------------------------------------------------------------------
Matayarisho na Matumizi Yake:
Katakata ua hilo na ulichome upate majivu yake kisha changanya majivu hayo na mafuta ya kupaka. Mgonjwa ajipakaze dawa hiyo kwenye sehemu zote alizoungua, anaweza kupaka kutwa mara 2 au hata zaidi na atumie dawa hii.
--------------------------------------------------------------------------
Ikiwa unatamani kujifunza mambo mengi zaidi kuhusu tiba hizi za asili unaweza kuwasiliana nasi kwa wa.me/255676298270 ili uweze kujipatia kitabu cha TIBA ASILIA
Hiki ndio kitabu unachoweza kukipata Kwa kuchangia 5000 tu Kwa Tanzania na 300 kshs Kwa Kenya .Ndani yake unakwenda kujifunza jinsi ya kujitibia maradhi zaidi ya 70 ukiwa nyumba
Wasiliana nasi Kwa wa.me/255676298270