Thebridgegulio

Thebridgegulio Tupo DSM Sinza Mori, mtaa wa nyuma ya Delina Apartment . Agiza kutoka China/Nunua dukani DSM: WhatsApp : +255715316614
Tufollow Insta

Zipo tayari mashine za kukamua juice ya miwa, za umeme bei ni 1,390,000/=.Tunapatikana SINZA MORI jirani na DELINA APART...
27/10/2025

Zipo tayari mashine za kukamua juice ya miwa, za umeme bei ni 1,390,000/=.

Tunapatikana SINZA MORI jirani na DELINA APARTMENTS, popote tunatuma, namba ya dukani ni 0715 316 614.

Wajasiriamali wanaofunga viungo, ubuyu, karanga, ice cream n k ACHANA NA KIBATARI Mashine itakupunguzia pirika nyingi na...
20/10/2025

Wajasiriamali wanaofunga viungo, ubuyu, karanga, ice cream n k ACHANA NA KIBATARI Mashine itakupunguzia pirika nyingi na bidhaa yako itakuwa smart!

Tunazo dukani plastic sealer maalum kwa kufungia vifungashio aina mbalimbali. Bei inatofautiana kwa kuzingatia size ya mashine:-

10cm BEI: 35,000/=
20cm BEI: 60,000/=
30cm BEI: 90,000/=
40cm BEI: 115,000/=

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment, Simu/Whatsapp: 0715 316 614. Mzigo upo dukani na popote tunatuma.

Tunazo mashine hizi kubwa za kufunga/kubana mifuko mbalimbali.  Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.Tupo Sinza Mo...
20/10/2025

Tunazo mashine hizi kubwa za kufunga/kubana mifuko mbalimbali. Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, tunatuma mzigo popote ulipo. Simu/Whatsapp 0715316614.

Tumewaletea ofisini kwetu mashine hizi maalum kwa ajili ya kubana vikopo vya plastic (Plastic cup sealing machine). Tuli...
20/10/2025

Tumewaletea ofisini kwetu mashine hizi maalum kwa ajili ya kubana vikopo vya plastic (Plastic cup sealing machine). Tulizonazo ni za manual, bei 430,000/=

Pia tumewaletea roller zake (Films) bei 80,000/= Film moja inabana vikombe 2,000. Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614

Mashine hizi za kukata matunda, viazi n.k. Mashine inakata kwenye shape ya duara, nzuri pia sana kwa wale watu wa crips ...
17/10/2025

Mashine hizi za kukata matunda, viazi n.k. Mashine inakata kwenye shape ya duara, nzuri pia sana kwa wale watu wa crips (crisp)

Tunazo tayari bei ni 449,000/=. Mashine ni nzuri mno(Stainlesssteelmaterial FOODGRADE)!Na ni ya kusukuma kwa mkono. Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment, Simu/Whatsapp 0715 316 614

Tunazo ofisini kwetu mashine hizi za kukata chips, crisp,vitunguu, carrot n.k. Zinatumia umeme tunauza 550,000/= Hauweki...
17/10/2025

Tunazo ofisini kwetu mashine hizi za kukata chips, crisp,vitunguu, carrot n.k. Zinatumia umeme tunauza 550,000/=

Hauweki oda mashine tayari tunazo, tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment. Simu/Whatsapp: 0715 316 614.

Mashine za umeme za Kumenya vitunguu swaumu. Dukani tunazo aina mbili:-TYPE A Bei ni Tsh 699,000/= aina hii yenyewe desi...
17/10/2025

Mashine za umeme za Kumenya vitunguu swaumu. Dukani tunazo aina mbili:-

TYPE A Bei ni Tsh 699,000/= aina hii yenyewe design yake mdomo wake ni mkubwa unapokea kitunguu kizima kizima k**a kilivyo na kumenya.(Unakiweka kitunguu k**a kilivyo).

TYPE B Bei ni 599,000/= na mashine zote zinaweza kumenya kilo 25 za vitunguu ndani ya saa moja (25kg/h).

Tupo Dar es salaam SINZA MORI jirani na Delina Apartment. Mikoani tunatuma.
Simu/whatsApp 0715316614.

17/10/2025

Mashine za umeme za Kumenya vitunguu swaumu. Dukani tunazo aina mbili:-

TYPE A Bei ni Tsh 699,000/= aina hii yenyewe design yake mdomo wake ni mkubwa unapokea kitunguu kizima kizima k**a kilivyo na kumenya.(Unakiweka kitunguu k**a kilivyo).

TYPE B Bei ni 599,000/= na mashine zote zinaweza kumenya kilo 25 za vitunguu ndani ya saa moja (25kg/h).

Tupo Dar es salaam SINZA MORI jirani na Delina Apartment. Mikoani tunatuma.
Simu/whatsApp 0715316614.

Tunaleta kwa oda, sukuma kushoto kuona bei.  Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment.  Simu/Whatsapp 0715 316 614
14/10/2025

Tunaleta kwa oda, sukuma kushoto kuona bei. Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614

Preoder: Tunaagiza kutoka China,  juicer hii ni maalum kwa machungwa na ni kwa biashara,  bei 2,450,000/=Tupo Sinza Mori...
14/10/2025

Preoder: Tunaagiza kutoka China, juicer hii ni maalum kwa machungwa na ni kwa biashara, bei 2,450,000/=

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, oda siku 45 hadi 60.

Commercial Juicer maalum kwa biashara,  uwezo wake ni Lita 10 hadi 30 kutegemea na unacho blend,  mashine ni ya umeme na...
14/10/2025

Commercial Juicer maalum kwa biashara, uwezo wake ni Lita 10 hadi 30 kutegemea na unacho blend, mashine ni ya umeme na ni stainless steel (maalum kwa vyakula/Food grade stainless steel material).

Bei ni 2,600,000/= tunaleta kwa oda kutoka China, oda ni siku 45 hadi 60 na utaratibu mteja unaanza kulipia mwanzoni 70% ya bei mzigo ukifika unamalizia na kuchukua mashine.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0715316614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thebridgegulio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram