Smile by CbK

Smile by CbK spreading smiles through Moments, Nature & Love
🌍 Romantic ◕⁠ Lifestyle ◕ Nature
🌴Your city or County
📥 DM for collabs

NI MUHIMU SANA KUCHUNGUZA AFYA YAKO KILA WAKATI ILI KUJIEPUSHA NA KUPUNGUZA GHARAMA YA KUTIBU MAGONJWA HATARI KWENYE MWI...
12/12/2023

NI MUHIMU SANA KUCHUNGUZA AFYA YAKO KILA WAKATI ILI KUJIEPUSHA NA KUPUNGUZA GHARAMA YA KUTIBU MAGONJWA HATARI KWENYE MWILI WAKO.,AFYA NI MTAJI.,

Tunafanya vipimo vya MWILi mzima Kwa MASHINE ya kisasa yenye uwezo wa kugundua tatizo ndani ya mwili WAKO Kwa asilimia 100%

Karibu katika Kituo chetu Cha Afya uweze kufanyiwa vipimo vya MWILI WAKO mzima Bure Kabisa ( full body check up )., Utafungua file la kumbukumbu zako Kwa sh20000/= tu ( Elfu ishirini tu )

✓utamuona daktari bure
✓ushauri utapewa bure
✓vipimo utafanyiwa bure
✓hakuna kupanga foleni
✓utatibiwa chanzo cha tatizo lako either kwa njia ya lishe au tiba

HUDUMA ZINAZO JUMUISHWA
- Uchunguzi wa maswala ya uzazi Kwa wanawake na wanaume
- Vipimo vya shinikizo la damu
- Kipimo cha uzito na urefu
- uchunguzi wa mifupa na joints
-maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono
- uchunguzi wa vidonda vya tumbo
- uchunguzi wa tatizo la sukari (diabetic) na tiba ya uhakika
- Uchunguzi wa Matatizo ya Figo na Ini.
- Uchunguzi juu ya magonjwa ya ngozi
- Uchambuzi wa matokeo na ushauri wa kitaalam

Fahamu zaidi kuhusu mwili wako. Huduma hii ya kipekee ni kwa muda wa kikomo, hivyo tuchukue fursa sasa!

Kuweka miadi ili usikae kwenye foleni , wasiliana nasi kwa simu: 0757 911 035

Karibu upatiwe huduma  ya Vipimo vya Mwili Mzima Bure✓kumuona daktari bure✓ushauri bure✓vipimo bure✓hakuna kupanga folen...
04/12/2023

Karibu upatiwe huduma ya Vipimo vya Mwili Mzima Bure
✓kumuona daktari bure
✓ushauri bure
✓vipimo bure
✓hakuna kupanga foleni
✓utatibiwa chanzo cha tatizo lako either kwa njia ya lishe au tiba

Utafungua file lako kwa Elfu 20,000 tu

Je, unataka kujua hali ya afya yako kwa undani? Hapa ndipo penyewe!

Tunatoa vipimo vya mwili mzima bure.
Huduma zetu ni za hali ya juu na zinajumuisha uchunguzi kamili wa afya yako na utajipatia tiba sahihi kwa tatizo ulilo nalo. Utajipatia tiba ya chanzo cha tatizo lako na utapona .

**Huduma Zinazojumuishwa:**
- Uchunguzi wa maswala ya uzazi
- Vipimo vya shinikizo la damu
- Kipimo cha uzito na urefu
- uchunguzi wa mifupa na joints
-maumivu na ganzi kwenye miguu na mikono
- uchunguzi wa vidonda vya tumbo
- uchunguzi wa tatizo la sukari (diabetic) na tiba ya uhakika
- Uchambuzi wa matokeo na ushauri wa kitaalam

Fahamu zaidi kuhusu mwili wako. Huduma hii ya kipekee ni kwa muda wa kikomo, hivyo tuchukue fursa sasa!

Kuweka miadi ili usikae kwenye foleni , wasiliana nasi kwa simu: +255757911035

MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO.✍🏻Masuala ya uzazi na malezi kwa wanawake ni jambo lililo wazi kabisa lakin...
02/12/2023

MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO.

✍🏻Masuala ya uzazi na malezi kwa wanawake ni jambo lililo wazi kabisa lakini kutokana na maadili baadhi wamekuwa na woga wa kujadili wazi wazi. Hata hivyo baadhi ya wanawake hawa hupenda kuzungumzia haya madhara hasa wanapo kutana ili kubadilisha mawazo na hata kujifunza zaidi.

✍🏻Tuangalie MADHARA YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO kutokana na njia husika.

MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA

👉🏻Usumbufu hedhi
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kizungu zungu
👉🏻Kichefu chefu
👉🏻Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
👉🏻Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)

MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA

👉🏻Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha ma uvimbe
👉🏻Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kupata kichefu chefu
👉🏻Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
👉🏻Kubadilisha mwenendo wa damu
👉🏻Kuliathiri ini kidogo kidogo
👉🏻Kupata kisukari
👉🏻Kupata ugonjwa wa moyo
👉🏻Kupooza upande mmoja wa mwili.
👉🏻Kupunguza hamu

K**a una athari zozote na umetumia
Basi wasiliana nami kwa what's app 0757911035

Karibu upate suluhisho la magonjwa sugu na ofa ya vipimo vya mwili mzima Buree
01/12/2023

Karibu upate suluhisho la magonjwa sugu na ofa ya vipimo vya mwili mzima Buree

Ili MIMBA IPATIKANE1.lazima Mbegu ya kiume na Yai la mwanamke Vikutane na yai lirutubishwe.Na baada ya Hapo,yai lililoru...
01/12/2023

Ili MIMBA IPATIKANE
1.lazima Mbegu ya kiume na Yai la mwanamke Vikutane na yai lirutubishwe.

Na baada ya Hapo,yai lililorutubishwa kwenye Mrija, hupitia mabadiliko mbalimbali na Kusogea kuelekea KUJIPANDIKIZA(IMPLANTATION) kwenye Kizazi ila kukua na kuwa Kijusi cha mtoto na baadae Mtoto kamili.

Ili kusaidia Hayo madini Haya HAPA CHINI ni Muhimu sana sanaa kwa Mama anaetafuta MIMBA/MTOTO.

4 key nutrients for improving implantation (madini makubwa matatu Haya hapa.)

1️⃣ Omega 3: mafuta ya samaki aina ya salmon anaye patikana kwenye deep sea ya Atlantic ni mafuta mazuri ambayo hayagandi kabisa yana saidia kuweka sawa ubongo wa mtoto aliye tumboni na hata aliye zaliwa
Katika vitu ambavyo wanagu hawajawahi kuvikosa ndani ni haya mafuta ya samaki ni must have..pia yanasaidia afya ya moyo kwa wale wenye presha pia yaondoa mafuta mabaya yanayozunguka moyo nk.

2️⃣ Zinc:
zinc inasaidia sana kwa wanawake kuongeza hamu ya tendo la ndoa kupevusha mayai ya uzazi kuongeza maziwa kwa wamama wanaonyonyesha na kwa wanaume pia zinc inasaidia kuongeza hamu ya tendo pamoja na kuongeza mbegu zenye ubora.

⁠4️⃣ Vitamin E:
Inasaidia sana kwa mwanamke au mwanaume ambaye anajianda kupata mtoto pia kwa mjamzito vitamin e inasaidia kutunza ujauzito usiharibike kwa wale wenye vizazi vilivyolegea pia inasaidia kukaza kizazi nk.

⁠Madini Lishe haya unaweza na kuanza kuyatumia sasa k**a ni mjamzito yatakusaidia kujifungua bila shida pia hutakuwa na maumivu yasiyoeleweka wakati wote wa ujauzito....Na .kwa anayetaka kubeba ujauzito tumia haya ili yaweze kukusaidia Upate Mimba.......

Kwa uhitaji wa bidhaa zote HAPO JUU Check with ME VYOTE VIPO 0786988643
Karibuni sana wenye uhitaji wa kubeba MIMBA/WATOTO....

Pia nina dawa special za Kukusaidia UPATE MIMBA kwa haraka ndani ya miezi miwili tu kulingana na Shida yako lakin pia virutubisho vipo karibu Sana......
Tutafute Kwa no
0757 911 035

UVIMBE KATIKA VIUNGO VYA NJE YA UKE (Batholin cyst) Tatizo hili huwatokea zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa. Viu...
01/12/2023

UVIMBE KATIKA VIUNGO VYA NJE YA UKE (Batholin cyst)

Tatizo hili huwatokea zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa. Viungo vya nje vya uzazi vya mwanamke ambavyo huathirika na tatizo hili la uvimbe ni mashavu ya uke au midomo ya uke kitaalamu huitwa 'l***a majora' ambayo ni midomo ya nje ya uke na 'l***a minora' ambayo ni midomo ya ndani ya uke. Uvimbe huo utokea kwenye tezi ya batholin.

TEZI YA BATHOLIN NI NINI
Hizi ni tezi zisizoonekana zipo kwenye mashavu ya uke sehemu ya chini karibu na tundu la uke.
Tezi hizi husaidia kuzalisha ute ili kuufanya uke kuwa na unyevunyevu muda wote.

Uvimbe katika viungo vya nje vya uke hutokea tu au husababishwa na maambukizi. Uvimbe huu unaweza huwa na maumivu au usiwe na maumivu.

Mwanamke pia anaweza kupata tatizo la midomo ya ndani ya uke ambayo hurefuka na kujiona k**a kero, hiyo ni hali ya kimaumbile na haina madhara.

AINA ZA UVIMBE.
⏸️Uvimbe wa mashavu ya uke huwa unatokea kwenye tezi iitwayo 'Bartholin gland'. Tezi hii huwa haionekani kwa macho na mojawapo ya kazi zake ni kutoa majimaji ya kulainisha uke wakati wa tendo la kujamiiana.
'Bartholin cyst', huu ni uvimbe mgumu hutokea pembeni ya shavu la uke kwa ndani. Uvimbe huu mara nyingi huwa hauumi lakini huendelea kukua na kuleta shida wakati wa tendo la ndoa na hutokea tu wenyewe.

Uvimbe huu huwa na maumivu makali sana, hutokea upande mmoja wa shavu la uke. Mgonjwa pamoja na kuwa na _maumivu makali huweza_ _kupata homa, kushindwa kutembea vizuri_ _na wakati mwingine uvimbe hupasuka. Maumivu husababisha mgonjwa_ _ashindwe kuendelea_ na _mambo yake._

DALILI ZA MATATIZO KATIKA MLANGO WA KIZAZI
ni uvimbe katika mdomo wa kizazi ambapo

➡️mgonjwa atauhisi wakati wa kujisafisha ambapo atahisi kitu k**a gololi katika mdomo wa kizazi kimeshuka chini.

➡️Maumivu wakati na baada ya tendo la ndoa.

➡️kutokwa na uchafu ukeni mara kwa mara unaoambatana na muwasho na harufu mbaya ukeni.

➡️Damu hutoka ukeni baada ya tendo au kuhisi kitu kinasukumwa kwa ndani wakati wa tendo la ndoa.

USICHUKULIE POA UGONJWA HUU.

Tiba Wasiliana nasi
0757 911 035

CHANGAMOTO YA CHUNUSI INAWATESA WATU WENGI SANA LEO TUNAANZA KUANGALIA VISABABISHI VYA TATIZO HILI NA NAMNA YA KUPAMBANA...
29/11/2023

CHANGAMOTO YA CHUNUSI INAWATESA WATU WENGI SANA LEO TUNAANZA KUANGALIA VISABABISHI VYA TATIZO HILI NA NAMNA YA KUPAMBANA NALO..

MUHIMU KUJUA KUA NA UTI ISIYOSIKIA DAWA UTATIBU BAADA YA MUDA INARUDI INACHANGIA MNO KUPATA CHUNUSI,
AU KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA UKENI .
TIBA IPO FANYA MAWASILIANO WHATS APP 0757 911 035
Part 01.

🚦CHUNUSI NI UGONJWA GANI..?

💃Chunusi ni tatizo la ngozi linalotokea wakati vinyweleo vinapozibwa na mafuta pamoja na seli za ngozi zilizokufa.Kwa kawaida chunusi hutokea usoni, kifuani, mabegani na mgongoni.

🚴 Chunusi hutokea zaidi kwenye umri wa kubalehe, ingawa inaathiri watu wa rika lolote.
Chunusi huwaathiri takribani asilimia 80% ya watu wenye umri kati ya miaka 11-30.

🚦 Kuna aina mbalimbali za matibabu ya chunusi, aina mbalimbali za dawa ya chunusi na njia mbalimbali za jinsi ya kuondoa chunusi. Kulingana na ukubwa wa tatizo, chunusi inaweza kusababisha kutokujiamini na kuleta msongo wa mawazo.

💃Chunusi zisipotibiwa mapema zinaweza kusababisha madoa na makovu ya chunusi.

📝CHUNUSI HUSABABISHWA NA NINI..?

Kuna sababu kuu nne zinazosababisha chunusi kutokea:

1.💃 Kuzalishwa mafuta kwa wingi usoni na sehemu zingne za mwili.

2.💃 Vinyweleo kuzibwa na mafuta na seli za ngozi iliyokufa..

3.💃 Maambukizi ya bakteria pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi

4.💃 Kuzidi kwa homoni k**a vile Androgen..

🚦 Chunusi kwa kawaida hutokea usoni, kifuani, mgongoni na kwenye mabega, na hii ni kwa sababu katika sehemu hizi ngozi ina mafuta mengi. Mafuta haya, pamoja na seli za ngozi zilizokufa huziba vijitundu vya vinyweleo, na kusababisha mafuta kujirundika ndani ya ngozi. Na hapo ndipo bacteria nao huingia hapo na kutengeneza aina ya usaha unaotoka kwenye chunusi.

♀SABABU ZINAZOCHOCHEA KUONGEZEKA KWA CHUNUSI.

🙏Somo litaendelea.. †📚📖

❤Kwa msaada zaidi pamoja na tiba juu ya chunusi tupigie simu..

📞Piga/Whatsapp+255757911035

NI LAZMA Mwanamke APEVUSHE YAI yaani OVULATION itokee Ndipo MIMBA ITAPATIKANA.. Usipo Pevusha yai HUWEZI PATA MIMBA.... ...
29/11/2023

NI LAZMA Mwanamke APEVUSHE YAI yaani OVULATION itokee Ndipo MIMBA ITAPATIKANA..
Usipo Pevusha yai HUWEZI PATA MIMBA....

YAFUATAYO Yanaweza fanya Mwanamke asiivishe au kukomaza na Kupevusha Mayai...

Kuwa na hormone ambazo haziwiani yaani hormone imbalance Inatakiwa siku za Hatari LUTERNIZING HORMONE FOLLICLE STIMULATING HORMONE zinatakiwa Kuwa juu muda huo hormone zingine k**a Prolaction na estrogen ZIWE CHINI kiwa kinyume tuu mtu hawezi pevusha Yai.

Matumizi ya Njia ya uzazi wa mpango zenye Homoni vichochezi k**a Sindano huwa zinafanya mtu Asipevushe mayai kwa muda.

Kuwa na viuvimbe kwenye MFUKO WA MAYAI,Polycystic ovarian Syndrome(PCOS) hii hufanya mwanamke anakuwa na Androgen nying pia hufanya mwanamke Ananenepa Sana vyote HUFANYA UPEVUSHAJI wa Mayai uwe Changamoto.

UZITO Uliopitiliza yaani Overweight na wanawake wenye Uzito ulio wa chini huwa HOMONI zao zinakuwa Haziwiani vizuri wanakuwa na Hormone Imbalance inayofanya upevushaji wa mayai uwe Changamoto na wanawake wanaofanya MAZOEZI MAZITO SANA VIGOROUS EXERCISES huwa kuna jinsi upevushaji mayai unakuwa Chini

SLEEP DISRUPTION
yaani Kutopata muda Wa kutosha wa Kulala na Kupumzika ku naweza changia Mwanamke asipevushe Mayai. Kulala kunachangia sana Ubongo Kutulia na ku regulate yaani kufanya Hormone hasa LUTENAIZING HORMONE Na FOLLICLE STIMULATING hormone Kupanda na kushuka inapohitajika na ndio Maana huwa tunashauri Kupata muda wa kutosha kupumzika kulala na kurelax vinasaidia Pia mwanamke apate MIMBA

UMRI pia unaleta shida kwenye Upevushaji mayai mwanamke zaidi ya miaka 35 Uwezo wa kupevusha mayai unakuwa unaanza Kupungua,na Ubora wa mayai pia hupungua.ndio maana Tunashauri kushughulikia shida za Uzazi umri ukiwa bado unaruhusu zaidi.

INFECTION
haswa PID ikiwa imeshambulia mfuko wa Mayai na Mirija ya uzazi.

N:B KUPATA PERIOD HAIMAANISHI KUWA UNAPEVUSHA MAYAI na SIO KILA MWEZI KWANAMKE ANAPEVUSHA YAI.

JE,HAUPEVUSHI MAYAI? HAUPATI MIMBA?
Una PCOS? Au una PID?
Talk to CBK Health Care
Nitumie msg WhatsApp au nipigie simu 0757911035

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smile by CbK posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram