22/01/2022
ZIFAHAMU FAIDA ZA MTOTO KUNYONYA MAZIWA YA MAMA YAKE PEKEE.
1. Maziwa ya Mama Yana virutubisho vyote vinavyohitajika katika mwili wa mwanadamu.
2. Huumarisha Kinga ya mwili wa mtoto.
3.Husaidia kujenga ukaribu mkubwa baina ya mama na mtoto.
4. Huzuia maradhi yanayoshambulia mfumo wa upumuaji, masikio na kuharisha.
5. Huufanya ubongo wa mtoto ukomae na kuupa nguvu.
6. Hupunguza idadi ya vifo vya watoto wachanga.
7.Maziwa ya mama ni freshi na yana joto stahiki.
8. Hupunguza gharama.
9. Humkinga mama dhidi ya maradhi ya kansa, kisukari na magonjwa ya moyo.