Medics Updates

Medics Updates HEALTH And MEDICINE

05/01/2026

🚨MEDICS UPDATES💊

Habari! Natafuta DLDM la kununua location, MWANZA.

Nichek kwa namba 0761919462

05/01/2026

🚨MEDICS UPDATES💊💥

Ana hitajika Mtoa Dawa Mwenye ADDO..hasa wa kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa k**a Geita,Bukoba,Kigoma n.k DUKA lipo Ngara-Mrunyinya.

Contact via 0658568846 au 0763585448.

🚨2026 YEAR OF CHANGES And JOYFULLY💫🎊
01/01/2026

🚨2026 YEAR OF CHANGES And JOYFULLY💫🎊

🚨MEDICS UPDATES💊Duka lingine hili Milion 2 lipo CHAMAZI linauzwakibali AmnaKODI 45000UMEME 5000Whatsap 0714302151Kwa Maz...
31/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Duka lingine hili Milion 2
lipo CHAMAZI linauzwa
kibali Amna
KODI 45000
UMEME 5000
Whatsap 0714302151
Kwa Mazungumzo
Call :0714302151

30/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Habari Wapendwa Natafuta DUKA LA DAWA la kununuwa Kwa DAR.

Mwenye nalo au Anaye fahamu Naomba Awasiliane nami Through 0753111169

Asanteni..

30/12/2025

🚨MEDICS UPDATES🧨

MADUKA YA DAWA YANAUZWA

(1) morogoro mkundi sheli
Bei; 2 million
Kodi ; 50 elf
Mauzo 40 mbaka laki

(2) Moshi mbuyini
Bei 3 million
Mauzo 30 mbak 60
Kodi ; 80 ina lipwa kwa miezi 6

(3) Iringa mjini
Bei 1.6 million
Kodi ; 80 elf

(4) Dar mwananyamara
Bei 2 million
Kodi :50 elf
Mauzo 20 mbaka 60

(5) Dar kimara korogwe
Bei 2.3
Kodi : 80 elf na bado IPO ina Isha mwezi wa 4
--------------------------------------------------


Inquired 📥 ( Whatsapp)
+ 255 684 566 813

30/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💉

CO wa k**e Anahitajika eneo la kazi ni MBEYA city simambwe

Contact via: 0754534898

30/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Mambo sorry naomb unitangazie Anahitajika Nurse wa Dilpoma au Certificate

Hospital ipo KARIAKOO mtaa wa Narung’ombe
Call +255 624 181 009

27/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Anahitajika Mtoa dawa Katika duka la Dawa (Dldm) mkoani NJOMBE

Wasiliana kwa :0764083206

27/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Naitwa RATIFA JUMA

Natafutaa kazi mm NI medical Attendant nipo Mpanda Mkoa wa KATAVI jinsia Mwanamke

Contact: 0626848229

27/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Anahitajika Medical Attendant kuuza duka la dawa muhimu(Dldm) Wilaya ya CHEMBA vijijini mkoa wa Dodoma.

Wasiliana kwa Namba 0658801818.

11/12/2025

🚨TANGAZO
inaitajika Licence ya pharm tech tu haitaji mtu.
0784278120

Address

583 Iringa Town
Dar Es Salaam
AFYANIUHAI��

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Medics Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Medics Updates:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram