16/12/2024
Baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu LMTM HERBAL CENTRE tumerudi tena na tunapatikana siku zote za juma karibuni sana...
Na leo tunaanza na offa ya dawa ya bure kwa wale wenye vidonda tumbo stage ya kwanza ;
Chukua ndizi mzuzu 4 osha kata kichwa na chini kisha kata ndogo ndogo bila ya kumenya maganda yake, na uweke kwenye chupa au kopo lenye mfuniko ujazo wa lita 1funika hifadhi kwa siku tatu siku ya nne anza kutumia mara 2 kwa siku..kila itakapoisha unatengeneza upya dozi ni siku 21.
Kwa huduma zingine za tiba usisite kuwasiliana nasi no ;0754217417/0786307353/0717150110 wote mnakaribishwa kuwahi offa zetu za punguzo za bei ya dawa kwa watakaoanza matibabu mwezi huu hadi januari 30.