19/01/2024
FAIDA ZA TANGAWIZI
-Tangawizi inaweza kukusaidia kuongeza hamu ya kula, kupunguza kichefuchefu, kutapika, kuharisha, kisukari, shinikizo la damu, kuongeza msukumo wa damu na kutoa sumu mwilini.
-Kuondoka kwa kunywa tangawizi ni maumivu ya tumbo na gesi tumboni.
-Husaidia uyeyushwaji wa chakula tumboni.
-Husaidia kutuliza au kuondoa kabisa mafua au flu.
-Husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni.
What's app 0766883957
-Huthibiti shinikizo la damu.
-Huboresha afya ya kinywa.
-Hukinga matatizo ya ngozi hasa chunusi.
-Husaidia kukuza nywele {kulinda afya ya nywele}.