Afya yako kwanza

Afya yako kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya yako kwanza, Nutritionist, Mwenge, Dar es Salaam.

28/10/2025

```MIONGONI MWA SABABU ZINAZOSABABISHA MTOTO KUKOSA HAMU YA KULA
-Upungufu wa Vitamini na madini
-Maambukizi kwenye mfumo wa chakula
-Kuzoea chakula

Mtoto wako hana hamu ya kula?
Anaonekana mchovu hata baada ya kula?

Start na DETOX – kwanza toa sumu mwilini, especially baada ya dawa au antibiotics.

Endelea na Appetite Booster – yenye mchanganyiko wa Vitamini na madini itakayorudisha hamu ya kula kwa nguvu.

Kisha Mpatie Immunity Booster-yenye mchanganyiko wa mbogamboga na matunda
Finalize na Omega-3 Salmon Oil – yenye familia zote 8 za omega, kwa ubongo makini na nguvu za mwili.

Formula kamili ya
Afya bora inaanza ndani ya mwili.!```

Tunapatikana SKY CITY MALL OPPOSITE NA MLIMANI CITY Barabara ya Kuelekea Chuo cha Ardhi na UDSM,
Kwa Mawasiliano zaidi Piga/WhatsApp 0672 651625

28/10/2025

OMEGA III SALMON OIL Imetengenezwa kwa Familia zote nane za FAT ACID na miongoni mwa familia hizo ni
☆DHA-Docosahexaenoic Acid
👉Inasaidia kuboresha Mfumo wa Fahamu na akili hivyo Husaidia kupata Relaxation sana

Hivyo K**a Mwanao Hapati Usingizi wa kutosha ama akilala anashtukashtuka Mpatie SALMON OIL 💃💃🤍

Inapatikana kwa Tshs 110,000 na inakuwa na Capsules 90

Ofisi yetu ipo SKY CITY MALL OPPOSITE NA MLIMANI CITY Barabara ya Kuelekea Chuo cha Ardhi....

Kwa Mawasiliano zaidi Piga/WhatsApp
+255 672 651 625

28/10/2025

FULL PACKAGE YA VIRUTUBISHO VYA WATOTO TULIZONAZO
✅Kuongeza hamu ya kula/Appetite
✅Kuongeza uzito
✅Kuimarisha kinga ya mwili
✅Kuondoa Allergies/Mzio
✅Kuboresha Afya ya ngozi
✅Kuongeza kumbukumbu
✅Kuondoa changamoto ya kukosa choo

Tunapatikana SKY CITY MALL OPPOSITE NA MLIMANI CITY Barabara ya Kuelekea Chuo cha Ardhi na UDSM..!!
Ulipo Tupo, Karibu uboreshe afya ya Mtoto wako..!
Tupigie 0672 651625 kwa huduma ya haraka zaidi🙏

Ya Mtoto💯💯



OFFER YA MOTOOOOOOOO🔥🔥🔥🔥☆☆☆MONTH END SPECIAL 💃💃💃☆☆☆Bidhaa Zooooote za Watoto ziko kwenye BONGE MOJA LA  OFFER..!!!!●Salm...
28/10/2025

OFFER YA MOTOOOOOOOO🔥🔥🔥🔥



MONTH END SPECIAL 💃💃💃



Bidhaa Zooooote za Watoto ziko kwenye BONGE MOJA LA OFFER..!!!!

●Salmon Oil utaipata kwa sh 95,000 tu badala ya 110,000
●Shower Gel n Lotion yake kwa sh 70,000 tu badala ya 90,000
●Vita Squares utaipata kwa 75,000 tu badala ya 95,000
●Vita-Guard utaipata kwa 110,000 tu badala ya 140000
●Chewable All C utaipata kwa 65000 tu badala ya 85000
●Nutrishake utaipata kwa sh 210,000 tu badala ya 230000

NJOO UNAMBIE K**A MWANAO ANA CHANGAMOTO KATI YA HIZI..
-Hana hamu ya kula
-Uelewa mdogo darasani
-Kinga ya mwili dhaifu
-Udumavu
-Anapungua uzito na haongezeki uzito
-Allergies ama Pumu ya Ngozi
-Hatua za ukuaji zinachelewa na
-Mifupa dhaifu

KILA MTU APATE💃💃💃💃

Tunapatikana SKY CITY MALL OPPOSITE NA MLIMANI CITY Barabara ya Kuelekea Chuo cha Ardhi..!!!

Kwa Mawasiliano zaidi Piga/WhatsApp
+255 672 651 625

28/10/2025

Lishe kwa mtoto ni muhimu sana kwa ukuaji na maendeleo yake ya afya. Lishe bora kwa mtoto inapaswa kujumuisha:

1. Maziwa ya Mama: Kwa watoto wachanga, maziwa ya mama ni chanzo bora cha virutubisho. Maziwa ya mama yana virutubisho vyote muhimu na kinga zinazohitajika kwa ukuaji na maendeleo.
2. Vyakula Vilivyopondwa: Baada ya miezi sita, unapaswa kuanza kuongeza vyakula vingine k**a uji, matunda yaliyopondwa, mboga za majani, na vyakula vya nafaka. Hakikisha kuwa chakula ni laini na kinachomeng’enywa kwa urahisi.
3. Protini: Nyama laini, samaki, mayai, na kunde k**a maharagwe na dengu ni vyanzo vizuri vya protini kwa watoto.
4. Matunda na Mboga Mboga: Matunda na mboga mboga ni muhimu kwa vitamini na madini. Hakikisha mtoto anakula matunda k**a maapulo, mapera, ndizi, na mboga k**a spinach, karoti, na broccoli.
5. Vyakula vya Nafaka: Nafaka k**a mchele, ngano, mahindi, na mtama zinatoa nishati inayohitajika kwa ukuaji wa mtoto.
6. Vitamini na Madini: Chakula cha mtoto kinapaswa kuwa na madini k**a kalsiamu, chuma, na vitamini mbalimbali k**a A, B, C, na D.
7. Maji: Hakikisha mtoto anakunywa maji ya kutosha kila siku ili kuepuka upungufu wa maji mwilini.

Epuka vyakula vyenye sukari nyingi na mafuta yasiyofaa, na pia epuka kumlisha mtoto vyakula vyenye chumvi nyingi. Lishe bora itasaidia mtoto kukua kwa afya na kuwa na kinga imara dhidi ya magonjwa.

28/10/2025

Mafuta haya ya samaki ya Omega-3 Salmon Plus yana faida nyingi kiafya kwa mwili. Hapa ni baadhi ya faida zake kuu:

1. Afya ya Moyo

Hupunguza kiwango cha mafuta mabaya (triglycerides) kwenye damu.

Husaidia kudhibiti shinikizo la damu.

Hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na kiharusi.

2. Afya ya Ubongo na Kumbukumbu

Husaidia kuboresha utendaji wa ubongo na kumbukumbu.

Hupunguza hatari ya matatizo k**a Alzheimer's na dementia.

Hupunguza msongo wa mawazo (stress) na wasiwasi.

3. Maumivu ya Viungo na Mifupa

Hupunguza uvimbe na maumivu kwenye viungo, hasa kwa wenye arthritis.

Husaidia kuimarisha mifupa na kupunguza hatari ya osteoporosis.

4. Afya ya Macho

Hupunguza hatari ya matatizo ya macho k**a macular degeneration.

Husaidia kudumisha unyevunyevu wa macho, hivyo kuzuia macho makavu.

5. Kinga ya Mwili

Husaidia kuimarisha kinga ya mwili na kupambana na magonjwa.

Hupunguza hatari ya magonjwa ya mzio (allergies) na athari za autoimmune.

6. Kuboresh Afya ya Ngozi n.k

📞0672 651625 Kuweka order yako

FAIDA ZA SALMON OIL (MAFUTA YA SAMAKI)  KWA MTOTO.🐟Omega-3 muhimu katika afya ya ubongo hvyo husaidia kupandisha IQ ya m...
27/10/2025

FAIDA ZA SALMON OIL (MAFUTA YA SAMAKI) KWA MTOTO.

🐟Omega-3 muhimu katika afya ya ubongo hvyo husaidia kupandisha IQ ya mtoto, huboresha kumbukumbu, na maendleo ya ubongo kwa ujumla.
🐟omega-3 ni muhimu kwa maono au kazi ya macho
🐟omega-3 inasaidia viungo kuwa na nguvu au huimarisha mifupa kuwa imara hivyo ni nzuri kwa watoto wenye matege( rickets)
🐟 Ni nzuri kwa watoto wenye changamoto ya ngozi ( Acne)
🐟 Omega-3 huimarisha moyo na kuepusha na maradhi.
🐟 Omega-3 husaidia mtoto kupata vitamin B na hvyo kumsaidia kupata hamu ya kula
🐟omega-3 husaidia kuondoa kuzuia mzio katika mwili wa mtoto
🐟omega-3 ni msaada kwenye ukuaji wa ubongo wa mtoto wakati mama akiwa mjamzito na baada.
🐟omega-3 inasaidia kuepusha na saratani.

Je mwanao anachangamoto hizi?
🔹 Kutoelewa darasani?
🔹Kukosa uwezo wa kuona vizuri
🔹Kutokuwa na kumbukumbu
🔹Mtoto anakosa hamu ya kula
🔹 Mtoto sio mchangamfu?
*Jibu ni 🐟🐟salmon oil🐟🐟
Inapatikana Kwangu Kwa Bei Ya Ofa Bado Siku Moja Tufunge Ofa Yetu Turudi Kwenye Bei Elekezi Wahi Mapema

27/10/2025

Umejaribu kila kitu lakini mtoto wako bado hapati uzito unaofaa?

Kukosa uzito unaostahili kunaweza kuathiri ukuaji wake wa kimwili na kiakili, na pia kumfanya awe rahisi kupata magonjwa. Lakini usikate tamaa.

Kuna njia za kumsaidia mtoto wako kupata uzito unaofaa kwa njia salama na ya asili. Jua kwamba suluhisho linaweza kuwa katika kuboresha lishe yake ya kila siku na kuhakikisha anapata virutubisho vyote muhimu anavyohitaji.

Shake hii ni Protein iliyojitosheleza haijaongezwa ladha wala rangi bandia hivyo husaidia kujenga mwili na kutia nguvu kadhalika..!!!!
Mpatie shake hii pamoja na Mlo wake wa kila siku..!!!!

Tupe maoni yako. Ni changamoto gani unazokumbana nazo na uzito wa mtoto wako?

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category