20/11/2023
Asalaam aleykum Ndugu zangu abali za jumatatu Leo tupo mjengon kwenye muendelezo wetu wa dawa tumia dawa izi kuoga na kuchoma loweka.nyota yako sawa
Mfungo
Mcheka
Manula
Nyange
Nyota nyeupe
Albat nuks
Na uvumba
Tumia kwa kuoga na kuchoma
Kwa siku 7