04/05/2018
Did you know that the items in a first aid kit expire? A first aid Kit contains medicines, creams and other drugs that have expiry dates. Even cotton wool, bandages and plasters have their own expiration date. Make sure that your First Aid Kit is still safe and effective in case you need it! Contact us to examine it and replace items that need it!
Je wajua kuwa vifaa tiba na dawa ndani ya sanduku la huduma ya kwanza hufikia mwisho wa muda wa matumizi?Sanduku la huduma ya kwanza lina dawa, na vifaa tiba ambavyo vina muda wa mwisho wa kutumika. Vifaa tiba k**a pamba na plasta vina tarehe ya mwisho wa matumizi pia. Hakikisha Sanduku lako la huduma ya kwanza lipo katika hali salama na bora muda wowote unaohitaji kulitumia! Wasiliana nasi kwa ajili ya kukagua na kubadili dawa na vifaa tiba vinavyohitaji kufanyiwa hivyo.