14/10/2025
Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kiongozi aliyejitoa kwa upendo, umoja, na maendeleo ya Watanzania.
πππ€
MDM Urology Specialized Hospital tunatambua mchango wake mkubwa katika sekta ya afya na elimu. Urithi wake wa utu, uwajibikaji, na kujitolea kwa jamii unaendelea kutuongoza kila siku katika kutoa huduma bora za afya kwa Watanzania.
ποΈ "Maendeleo hayana maana k**a hayamgusi mwananchi wa kawaida." β Mwalimu Julius K. Nyerere